Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Malaya kweli watakufa mpaka waishe!
 
Wanawake wanaouwawa kwa sababu tofauti na tamaa?. Watetee wanaume kwenye hilo basi maana kuna wanaouwawa kisa mtoto kakojoa kitandani.
Mkuu, hata kwenye measures za cause ya kitu fulani, huwa tunabase kwenye major reasons, sio minor ones.


Kama 90% ya cases zinasababishwa na tamaa, hiyo 10% ndiyo sababu nyingine tofauti.

Ndiyo maana tunabase kwenye the larger causes hiyo 10% ni negligible kwenye general analysis, mkuu.
 
Wanatuliaje njia kuu wakati wengi wameolewa na Wanaume ambao hawana hisia nao?. Wake za watu wengi Njia kuu zao zipo nje ya Ndoa zao!
 
Kwani huko makazini wanaume mabosi sio arrogant mkuu, wanyanyasaji, hawajali??. Mimi niliwahi kufanya kazi sehemu viongozi wote wa juu ni wanaume, nilichokutana nacho, 😭😭😭nikaapa lazima nipambane nitoke kwenye kuajiriwa na nikatamani kila mtoto wa kike awe na uwezo wa kujiajiri mwenyewe ili asije akakutana na maboss kama wale niliokutana nao mimi. Je nianze kusema wanaume wanyimwe fursa za uongozi makazini kwa sababu tu nilikutana na maboss waliokuwa wananyanyasa wafanyakazi wa kike???
 
Wewe wasema ila nenda kwenye makasino na kumbi za starehe ushuhudie Ke ni chombo cha starehe au si chombo cha starehe?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Unashida na hii gender yetu tu?
Mwanamke sio bidhaa

Unataka kuseme hata dada zako nao pia ni vyombo vya wana heshimu basi Mwanamke
 
Wanaume acheni kutoa pesa zenu kwa mihemko mkiwa baa huna sababu hata moja ya kuua mtu


Kama unahisi umetumika na kutupwa kwa kupunwa fata sheria

Huu ndio ukomavu haya tuseme umeua umepata nini baada ya hapo
 
Wanaouwawa kisa mali ni familia bora ambazo ni chache hapa kwetu. Huko vijijini kwenye umaskini wa kutupwa ndo wanawake wanauwawa zaidi ni vile takwimu hazichukuliwi na hayaripotiwi popote maana familia zinamaliza kimyakimya.
 
Kwa mtazamo wangu, dini za kuletwa ndo chanzo cha yoote haya. Dini zimeleta hali ya umiliki na ubinafsi. Katika dini hasa ukristu tunaaminishana katika mwili mmoja hadi kifo kitenganishe ndoa.
Kabla ya hizi dini, waume hawakuwa na wivu kwa wake zao hata wanapojua mke anatoka na mwanaume fulani. Tunaambiwa baadhi ya makabila yaliweka hadi standard za aina ya mwanaume wa kuchepuka na mke kama maumbile, n.k. .
Makabila mengine, mkuki ulichomekwa nje kuashiria kuna mwanaume ndani. Lakini pia kitanda ndo kilikuwa hakizai haramu. Kwasasa ujasiri wa mwanaume kuhandle uchepukaji wa mke haupo, ni shaba tuu.
Enzi hizo, wanawake ndo usiseme kabisa hawakuwa na wivu, hata mume aoe wengi vipi, ni kazi kwake mwanaume na nguvu zake.
Kwasasa hatuzingatii maagizo ya dini zetu mpya lakini pia kwenye upagani hatupo. Tupo tupo tu.
 
Wanaouwawa kisa mali ni familia bora ambazo ni chache hapa kwetu. Huko vijijini kwenye umaskini wa kutupwa ndo wanawake wanauwawa zaidi ni vile takwimu hazichukuliwi na hayaripotiwi popote maana familia zinamaliza kimyakimya.
Upo sahihi baby girl wanajidanganya mali mali watanzania tunajuana wenyewe vipato vyetu
 
Hizi issue za dini ndio upuuzi wa mwisho wa kudumaza akili
 
Mkuu, arrogance kwa mwanamke inaweza kuwa adaptive, especially anapokuwa kwenye position of power.

Angalia hata baadhi ya wanawake wanaojua wazi kuwa they’re attractive then add status, authority, na influence kwenye equation the dynamic can become even stronger.


Kwa upande wa wanaume, leadership na dominance mara nyingi huhusishwa na biological and social factors.

while submissiveness is traditionally expected from women in many cultures.


But when women reach the very top of the hierarchy, the dynamics change completely.

Power can amplify personality, especiallywomen.

And when power women meets ego, the world eventually gets to see the consequences.
 
Na sisi wanawake jamani huyu dada haoni hiyo ni red flag akaondoka
Tatizo nini kipato mapenzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…