Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,215
- 1,594
Solution ni kutooana. Kila mtu aishi maisha yakeWanawake na sisi hatujijali, unakuta mtu anaona kabisa mwanaume ana dalili za kumfanyia kitu kibaya , halafu anabaki,mwisho wa siku anauwawa kweli. Hata Jennifer alihisi mume wake atamuua, ila hakuchukua hatua sahihi za kujilinda. Mi kwa niliyoyaona utotoni,mwanaume akiwa na dalili tu sizielewi, natoka mbio yaani mbio siangalii nyuma. Kule kwetu wanawake wanapigwa wanauwawa na waume zao kwa sababu za kijinga na familia zinapotezea. Utakuta mwanaume anamuua mke wake kisa mtoto wao wa miaka 6 kakojoa kitandani au kisa binti yao kabeba ujauzito au sijui mara mwanamke ameenda sokoni bila ruhusa ya mume.
Mi wanawake wanaovumilia wanaume wakorofi naonaga wanasubiri vifo vyao
Mkuu Hongera kwa maada mupya na mujarabu kabisa.Angalizo msomaji wangu bandiko ni refu kidogo
Naomba uwe mvumikivu katika usomaji wako
Karibu sana kwenye mada ๐
Hello Great Thinkers ๐ซก
Katika pita pita zangu huko IG nimekuta kuna dada mmoja amepost kuhusu vifo vinavyotokana na migogoro ya kimahusiano hapa Tanzania ๐น๐ฟ
Nimekuwa shocked baada ya kuona takwimu zinaogopesha na kushangaza
Ikanisukuma niende kwenye mtandao ku search na nione hali ilivyo kwa kujihakikishia mimi tomaso nimeshtushwa
Sikujua hali ni mbaya kwa ukubwa huu!
Nimepigwa butwaa
Hali inatisha
Chanzo cha takwimu (LHRC Tanzania)
Niweke sawa hapa
Hizi takwimu ni kati ya mwaka 2019_2023
Hebu tuangalie hizi takwimu za mauaji yanayohusisha wenza wa kimapenzi Tanzania
2019: LHRC ilirekodi wanawake 12 waliouawa na waume/wenza wao ambapo 8 ya matukio hayo yalihusishwa na wivu
2020: LHRC ilirekodi wanawake 32 waliouawa na waume/wenza wao, ambapo 23 ya matukio hayo yalihusishwa na wivu
Hii ilikuwa zaidi ya mara mbili ya matukio yaliyorekodiwa mwaka 2019
2021: LHRC ilirekodi jumla ya matukio 35 ya mauaji yaliyohusisha wenza wa kimapenzi
Kati ya waathirika hao, 31 walikuwa wanawake na 4 wanaume, huku wanawake wakiwa takribani 89% ya waathirika
Pia, 72% ya matukio hayo yalihusishwa na wivu
2022: Kulikuwa na matukio 33 ya mauaji yaliyohusisha wenza wa kimapenzi
Kati ya waathirika, 31 walikuwa wanawake na 2 wanaume, wanawake wakiwa takribani 94% ya waathirika. 52% ya matukio hayo yalihusishwa na wivu
2023: LHRC ilirekodi matukio 50 ya mauaji yaliyohusisha wenza wa kimapenzi, ikiwa ni ongezeko la matukio 17 ukilinganisha na mwaka 2022
Kati ya waathirika hao, 45 walikuwa wanawake na 5 wanaume, wanawake wakiwa 90% ya waathirika. Takribani 46% ya matukio yalihusishwa na wivu.
Mjumuisho 2019โ2023: Jumla ya matukio 162 ya mauaji yaliyorekodiwa katika takwimu hizi. Kati ya waathirika waliotajwa, wanawake ni 151
Mjadala๐
Sitaki kusema hakuna wanawake wanaofanya ukatili
Tumeona wapo na siwezi kufumbia macho hili hata kidogo
Wanawake wenzangu JF hakuna haja ya kukatisha maisha ya mtu kwa sababu tu ya mapenzi au migogoro mbalimbali
Ukiona mzigo ni mkubwa, tafuta msaada
Usimue mtu
Huna haja ya kuua, hilo sio jukumu lako
Kwa sababu hata usipomuua, kwa nature ya mwanadamu kila mtu lazima atakufa siku yake
Nina hakika wanaofanya mauaji huishia kwenye majuto ya milele
Tuje kwa wanaume ambao ni tishio...
Enyi wanaume, acheni kuua wanawake
Hawa ni mama zenu, dada zenu, wadogo zenu
Hakuna mwenye haki ya kuua mwingine kwa sababu tu amesalitiwa, amevunjwa moyo au amekataliwa
Ukihisi umefika sehemu huwezi kujidhibiti, tafuta msaada
Tafuta hata wataalamu wa saikolojia
Kama umechanganyikiwa na hujui ufanye nini, ongea uponeeee
Acha kubeba uchungu peke yako. Tafuta mtu wa kuongea naye
Kama unaogopa jambo lako kutangazwa, tafuta hata mtu asiyekujua, funguka na zungumza
Usiue Please
Hakuna mwenye haki ya kuua mwingine
Kama unaona hakuna future kwenye mahusiano, jikatae mapema na muachane kwa amani
Niseme hili๐
Wanaume, mkubali mkatae, mna udhaifu ambao mnatakiwa kuushinda
Kujifunza kustahimili maumivu rejection usaliti na kuvunjika moyo ni sehemu ya kukomaa
Chukulieni mfano hata hapa jukwaani
Watu wanaoongoza kuwakalia kooni wengine ni wanaume nyie hapo๐ซต
Nasikia wengine wanapita mpaka PM wakisambaza picha za wanawake ambao hawana hata uhakika nao
Kitu ambacho ni nadra kwa wanawake kufanya
Kuweni wakomavu
Jifunzeni kustahimili
Mbona wanawake wanahangaika na maisha?
Unakuta mama kaachiwa watoto, anakomaa na haui mtu
Amedhulumiwa anatulia
Anamfumania mume wake kitandani, tena na house girl kwenye kitanda chake mwenyewe lakini mama anapiga moyo konde
Mnazalisha nje huko, wanawake wanapiga moyo konde
Enyi wanaume, nyie mna roho za barafu?
Wanawake wana roho za chuma?
Sitetei yeyote
Sitetei mwanamke msaliti wala mwanaume msaliti
Lakini ukiona umeshindwa kabisa kuendelea na mahusiano, achaneni kwa amani
Tatizo ni nini mpaka hali imefika hivi?
Karibu tujadili kwa pamoja
Na kuelemishana ๐๐
ShesRise_1 โ๏ธ
Wewe ndio umewaita waomba talaka ni wajingaKwa maana hiyo unanishibitishia kwamba wanawake wanaojaribu kuomba talaka kwa lengo la kujichotea mali ni "wajinga period" ๐
Sijapanick kaka ๐Mimi nimenukuu tu msemo wa waenga, wala husipanick dada ๐
Hili nalo tatizo jamii ibadilike watu wakishindwana waache kuwazodoaHata hiyo kuachana Kwa amani hakuna anayetaka. Wanahofia 'jamii itawaonaje'.
Hii nzuri piaSolution ni kutooana. Kila mtu aishi maisha yake
Shukran mkuuMkuu Hongera kwa maada mupya na mujarabu kabisa.
Sawakatika maada ya Leo nimekusoma neno kwa neno, nimekuelewa na data zote nimezizingatia lakini bado mzizi wa fitna unaonekana ni mkubwa.
Kutokana na data tatizo limeonekana likiongezeka na chanzo Cha tatizo kwa asilimia kubwa ni wivu wa mapenzi.
Sasa mimi sitaki kujadili nani mbaya au nani mwenye makosa natamani tulijadili tatizo na tupate ufumbuzi wake.
Huenda kuna jinsia dhaifuKutokana na tatizo lilivyojielekeza, linasomeka kama ni ukatili wa kijinsia, Yaani jinsia moja (KE)inabeba madhira ya janga lote la wivu wa mapenzi.
Sasa tujiulize kwanini? Jinsia hii (KE) ibebe hili janga lote la wivu wa mapenzi? Maana mapenzi yanahusisha jinsia zote mbili (ME&KE). Sasa kwanini madhira ya janga lote ibebe jinsia moja?
ila mwanamke yeye hajaumbwa kutamani na kupenda ?Kwa asili mwanaume ameumbwa kutamani na kupenda.
SawaMwanaume akimpenda mwanamke anaweza kuibeba dunia yote kwaajili ya huyo mwanamke, mara nyingi mwanaume akimuoa mwanamke bhasi jua anampenda kweli.
SawaMwanaume akimpenda mwanamke atamuhudumia, atampa anachotaka mwanamke na wengine huenda mbali zaidi hata kufanya majukumu ya mke wake.
Haya unayosema ya mwanaume kujitoa kwa asilimia hizo unazosema kwenye uhalisia ni tofautiii sanaWivu unaanzia wapi?
Kutokana na mapenzi ya mwanaume kwa mwanamke kujumlisha kujitoa ambako mwanaume amesacrifice Kila kitu kwaajili ya huyo mwanamke, bhasi mwanaume hutegemea jambo moja tuu kutoka kwa huyo mwanamke ambacho ni ROYALTY.
Naunga mkono hoja ๐Sasa je! Hawa wanawake wanaonyesha hiyo ROYALTY kwa waume zao??
Binafsi mimi naona hapa ndipo penye mzizi wa fitna na huu ndio unahitaji kukatwa.
Mwanaume kama unamuhudumia mwanamke na kumpa Kila kitu lakini bado haoneshi ROYALTY yoyote kwako bhasi ni bora ukajiondoa mapema.
Usiongeze juhudi yoyote ya kumuhudumia mwanamke wa aina hiyo maana mwisho wake utakua ni maumivu na ni maumivu zaidi endapo umeshatumia gharama kubwa kwa huyo mwanamke.
Hapa wanaume tunahitaji kujifunza kuachwa, kuachwa isiwe kama ni changamoto kwetu bali tunahitaji kuona kama chura amepigwa teke.
Mwanaume mwenzangu tafadhari sana chukua tahadhali kubwa sana kwa mwanamke asiyeridhika na kidogo au kile unachompa. Usijitie sana ili kumridhisha mwanamke maana mwisho wake utaishia kuwaza kuua. Najua hii mara nyingi ndio huwa tunaona kama solution kwetu wanaume.
Pia mwanaume mwenzangu, tujifunze tabia za wanawake. Mwanamke akiwa na mwanaume mwingine huwa hajifichi huanza kukudharau na kukupuuzia. Ukiona hizo dalili sitisha haraka hayo mahusiano maana mwisho wake utakua mbaya tuu. Men's love by condition, only women and animals are love unconditionally.
Shukran sana mkuu๐๐๐Nije kwa nyie wanawake.
Kwenu swala ni Moja tuu, kuwa mkweli kwa huyo DUBWANA wako, kama upo kwake kimaslahi mwambie ukweli kwamba wewe UNAJIUZA, na hata akitaka kukuweka ndani na kukupa Kila kitu, mwambie wewe ni kunguru na hufugiki. Hili jambo litaokoa uhai wako kutokana na hasira na machungu usiyoyafahamu kutoka kwa huyo DUBWANA.
Pia mwanamke ukiwekwa ndani jitahidi sana kuwa royal kwa huyo mwanaume wako, usichepuke au kufanya mambo yatakayo mfanya akutilie mashaka. Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mpole,.mnyenyekevu, msikivu na muaminifu.
Kwa Leo yangu ni hayo tuu.
Ulianza vizuri tu huku chini umepuyanga kwani ule msemo wa kwenye familia zenu kuna watoto wetuAngalizo msomaji wangu bandiko ni refu kidogo
Naomba uwe mvumikivu katika usomaji wako
Karibu sana kwenye mada ๐
Hello Great Thinkers ๐ซก
Katika pita pita zangu huko IG nimekuta kuna dada mmoja amepost kuhusu vifo vinavyotokana na migogoro ya kimahusiano hapa Tanzania ๐น๐ฟ
Nimekuwa shocked baada ya kuona takwimu zinaogopesha na kushangaza
Ikanisukuma niende kwenye mtandao ku search na nione hali ilivyo kwa kujihakikishia mimi tomaso nimeshtushwa
Sikujua hali ni mbaya kwa ukubwa huu!
Nimepigwa butwaa
Hali inatisha
Chanzo cha takwimu (LHRC Tanzania)
Niweke sawa hapa
Hizi takwimu ni kati ya mwaka 2019_2023
Hebu tuangalie hizi takwimu za mauaji yanayohusisha wenza wa kimapenzi Tanzania
2019: LHRC ilirekodi wanawake 12 waliouawa na waume/wenza wao ambapo 8 ya matukio hayo yalihusishwa na wivu
2020: LHRC ilirekodi wanawake 32 waliouawa na waume/wenza wao, ambapo 23 ya matukio hayo yalihusishwa na wivu
Hii ilikuwa zaidi ya mara mbili ya matukio yaliyorekodiwa mwaka 2019
2021: LHRC ilirekodi jumla ya matukio 35 ya mauaji yaliyohusisha wenza wa kimapenzi
Kati ya waathirika hao, 31 walikuwa wanawake na 4 wanaume, huku wanawake wakiwa takribani 89% ya waathirika
Pia, 72% ya matukio hayo yalihusishwa na wivu
2022: Kulikuwa na matukio 33 ya mauaji yaliyohusisha wenza wa kimapenzi
Kati ya waathirika, 31 walikuwa wanawake na 2 wanaume, wanawake wakiwa takribani 94% ya waathirika. 52% ya matukio hayo yalihusishwa na wivu
2023: LHRC ilirekodi matukio 50 ya mauaji yaliyohusisha wenza wa kimapenzi, ikiwa ni ongezeko la matukio 17 ukilinganisha na mwaka 2022
Kati ya waathirika hao, 45 walikuwa wanawake na 5 wanaume, wanawake wakiwa 90% ya waathirika. Takribani 46% ya matukio yalihusishwa na wivu.
Mjumuisho 2019โ2023: Jumla ya matukio 162 ya mauaji yaliyorekodiwa katika takwimu hizi. Kati ya waathirika waliotajwa, wanawake ni 151
Mjadala๐
Sitaki kusema hakuna wanawake wanaofanya ukatili
Tumeona wapo na siwezi kufumbia macho hili hata kidogo
Wanawake wenzangu JF hakuna haja ya kukatisha maisha ya mtu kwa sababu tu ya mapenzi au migogoro mbalimbali
Ukiona mzigo ni mkubwa, tafuta msaada
Usimue mtu
Huna haja ya kuua, hilo sio jukumu lako
Kwa sababu hata usipomuua, kwa nature ya mwanadamu kila mtu lazima atakufa siku yake
Nina hakika wanaofanya mauaji huishia kwenye majuto ya milele
Tuje kwa wanaume ambao ni tishio...
Enyi wanaume, acheni kuua wanawake
Hawa ni mama zenu, dada zenu, wadogo zenu
Hakuna mwenye haki ya kuua mwingine kwa sababu tu amesalitiwa, amevunjwa moyo au amekataliwa
Ukihisi umefika sehemu huwezi kujidhibiti, tafuta msaada
Tafuta hata wataalamu wa saikolojia
Kama umechanganyikiwa na hujui ufanye nini, ongea uponeeee
Acha kubeba uchungu peke yako. Tafuta mtu wa kuongea naye
Kama unaogopa jambo lako kutangazwa, tafuta hata mtu asiyekujua, funguka na zungumza
Usiue Please
Hakuna mwenye haki ya kuua mwingine
Kama unaona hakuna future kwenye mahusiano, jikatae mapema na muachane kwa amani
Niseme hili๐
Wanaume, mkubali mkatae, mna udhaifu ambao mnatakiwa kuushinda
Kujifunza kustahimili maumivu rejection usaliti na kuvunjika moyo ni sehemu ya kukomaa
Chukulieni mfano hata hapa jukwaani
Watu wanaoongoza kuwakalia kooni wengine ni wanaume nyie hapo๐ซต
Nasikia wengine wanapita mpaka PM wakisambaza picha za wanawake ambao hawana hata uhakika nao
Kitu ambacho ni nadra kwa wanawake kufanya
Kuweni wakomavu
Jifunzeni kustahimili
Mbona wanawake wanahangaika na maisha?
Unakuta mama kaachiwa watoto, anakomaa na haui mtu
Amedhulumiwa anatulia
Anamfumania mume wake kitandani, tena na house girl kwenye kitanda chake mwenyewe lakini mama anapiga moyo konde
Mnazalisha nje huko, wanawake wanapiga moyo konde
Enyi wanaume, nyie mna roho za barafu?
Wanawake wana roho za chuma?
Sitetei yeyote
Sitetei mwanamke msaliti wala mwanaume msaliti
Lakini ukiona umeshindwa kabisa kuendelea na mahusiano, achaneni kwa amani
Tatizo ni nini mpaka hali imefika hivi?
Karibu tujadili kwa pamoja
Na kuelemishana ๐๐
ShesRise_1 โ๏ธ
AsanteUlianza vizuri tu
kwenye bandiko langu kuna huo msemo?huku chini umepuyanga kwani ule msemo wa kwenye familia zenu kuna watoto wetu
Kama unaogopa kuuliwa achana na mambo ya wanaume nenda kaishi mwenyewe, simpo tu.Watu kama hao nadhani wanaona Bibi zao, Mama zao, shangazi zao, Dada zao, wake zao, binti zao ndiyo maisha wanayoishi kwa hiyo wanadhani wanawake WOTE ndiyo maisha yao!!!
Sasa kuambiwa mtoto sio wake ndio ajinyonge si angepima kwa kuhakikisha then adai fidiaUmesema kwani sisi tuna roho ya barafu ndyo nimetoa hapo mfano ndoa nyingi tu mababa wanalea watoto siyo wao juzi tu hapa kule Mbeya kuna kijana kajinyonga kaishi na mama na mtoto mwisho wa siku anaambiwa siyo mtoto wake
Yaani kagongewa ndio adai fidia? Hauko seriousSasa kuambiwa mtoto sio wake ndio ajinyonge si angepima kwa kuhakikisha then adai fidia
Tupo tofauti sana katika kuhimili baadhi ya aibu mwingine hawezi kwa mfano mm siwezi hata nifumanie siwezi kuua mtu au kujinyonga tupo tofautiSasa kuambiwa mtoto sio wake ndio ajinyonge si angepima kwa kuhakikisha then adai fidia
Shukrani pia mkuu๐๐โฅ๏ธShukran mkuu
Huenda kuna jinsia dhaifu
Katika ya hizi mbili ambayo ni Me
Baadhi yenu mna roho za kuku
ila mwanamke yeye hajaumbwa kutamani na kupenda ?
tatizo linaanzia hapa AKA u selfish
Haya unayosema ya mwanaume kujitoa kwa asilimia hizo unazosema kwenye uhalisia ni tofautiii sana
Kuna wanaume sio provide na bado n wanyanyasaji
๐ค๐ค๐Naunga mkono hoja ๐
Asante pia na barikiwa sana mremboโฅ๏ธShukran sana mkuu๐๐๐
Hivi mkigongewa hua inauma hadi kwenye mizizi ya moyo eeeh ๐๐Yaani kagongewa ndio adai fidia? Hauko serious
Safiiiiii huna haja ya kufanya hivyoTupo tofauti sana katika kuhimili baadhi ya aibu mwingine hawezi kwa mfano mm siwezi hata nifumanie siwezi kuua mtu au kujinyonga tupo tofauti
โ๏ธShukrani pia mkuu๐๐โฅ๏ธ
Sasa anzeni kusema mtoe uchunguMkuu sio kweli sema baadhi yetu huwa tunakua na maamuzi magumu na maamuzi haya hutokana na kutunza maumivu kwa muda mrefu. Kumbuka mwanaume sio msemaji sana bali mtendaji.
Jifunzeni ku move on bana eboooooNdio inaweza kuwa ni udhaifu kwasababu wanaume wengi hatupendi kushindwa, hivyo hata kwenye mahusiano mwanamke anaweza kuondoka akaanza maisha mapya lakini kwa mwanaume bado atawaza na kufikilia mengi na katika kuwaza hayo mengi ndipo maamuzi ya kuua pia huja.
Baadhi yeenuuu mna roho za kuku mtu akihisi mke au bby wake ana m cheat pureshaaa inapanda na kushukaKuhusu roho za kuku usituseme tena, huwa hatupendi maneno kama haya๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Naunga mkonoMwanamke anaolewa hivyo kwa namna yoyote tamaa yake inafaa iwe kwa mume wake.
Hatujasema tuwe sawa ila nature inaonesha tofauti yetu ni ndogo sanaHapa ndio nahisi mnaanzaga kukosea, Yaani mtu akulipie mahari, akupe chakula na malazi na bado unataka uwe sawa nae๐ณ๐ณ๐ก. Hii tabia acheni kabisa msitake kuwa sawa na wanaume maana sisi tumeumbwa tofauti kabisa na nyie.
Eeeh , nashindwa kuaelewa (mchina voice)๐๐๐Pia kuhusu tamaa mnajiendekeza tuu, kama mnatamani kweli anzeni kututongoza๐๐๐.
Mimi nimekaa hapa nasubiri ShesRise_1 unitongoze au haujanitamani???
Hawa ndio kina mariooMwanaume ameumbwa kutafuta na kutawala. Ukiona anafanya kimoja na kingine hafanyi Huwa akili yake haiko vizuri.
Ukiona mwanaume anataka kulelewa mkimbie tuu dadaangu
โ๏ธ๐๐๐ค๐ค๐
Asante pia na barikiwa sana mremboโฅ๏ธ
Maumivu ya kugongewa hayamithiliki.Hivi mkigongewa hua inauma hadi kwenye mizizi ya moyo eeeh ๐๐
Lakini chaguo bora ni kumuacha aende kwanini uue mwisho wa siku ukaozee gerezani kuna mdau kasema gerezani sio kuzuri sabuni ikidondoka huokoti
Hata sisi inauma hivyo hivyo mkuu hakuna nafuuMaumivu ya kugongewa hayamithiliki.
๐๐ nomaIla hapo kwenye kuokota sabuni๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐, mgongo lazima ulindwe.