Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Ukute unaishi kwa hongoSijawahi kumtegemea mwanaume katika maisha yangu apart from Baba yangu tena nilipokuwa mdogo.
Ukute unaishi kwa hongoSijawahi kumtegemea mwanaume katika maisha yangu apart from Baba yangu tena nilipokuwa mdogo.
Na yeye anakubali?Bado ukandamizaji upo
Mwanamke anaambiwa afie ndoa ili asiitwe single mother
Watu kama hao nadhani wanaona Bibi zao, Mama zao, shangazi zao, Dada zao, wake zao, binti zao ndiyo maisha wanayoishi kwa hiyo wanadhani wanawake WOTE ndiyo maisha yao!!!Una safari ndefu sana kwahiyo wanawake hawafanyi kazi?
Wewe mke wako akikuzaba kibao utaona ni sawa tu??? Hivi nyie kenge nani kawaambia kuwa wanawake ni sawa na ng'ombe au mbuzi kwenye mahusiano?Kwako wewe mwanamke kuzabwa kibao ni sababu ya kukimbia ndoa.?
Ifike pahala msiolewe kabisa nyie sio wanawake ni wasichana
Nyie si huwa mnatamba kabisa kuwa mwanaume HAWEZI kuwa na mwanamke mmoja!!! Kwamba mna haki zaidi? Kwamba nyie ni binadamu zaidi? Kwamba mna tamaa zaidi?Lakini pia tamaa haiingii kwenye mali tu tunapo zungumza tamaa ni angle zote.
Kuna wanawake wanapenda sana wanaume zaidi ya mmoja hii ni nini ? Ni tamaa pia.
Mama yako, shangazi zako na dada zako wakiuza mbususu unadhani wanawake wote wanauza mbususu?Labda ya kuuza mbususu😄😄
Mama yangu= huyu aliolewa hadi kifo kinawatenganisha na baba nae aliishi kwa kumtegemea mwanaumeMama yako, shangazi zako na dada zako wakiuza mbususu unadhani wanawake wote wanauza mbususu?
Actualy si wanaume wote, kuna small percentage haswa wale ambao wameshajipata na wako emotionaly secure.Wanaume wengi wao ni maboya sana kwa wanawake, wanawake wanaendesha maisha yao, mwanaume si lolote wala chochote mbele ya mwanamke ndio maana wivu, wasiwasi, kutokujiamini vyote anavivaa yeye, pia wana ushenzj mmoja wakiwa na mwanamke huhisi yule mwanamke kamuumba yeye au kaumbiwa yeye anajimilikisha mazima, akija kupigwa tukio au hata kuhisi tofauti utaona anavyokua mbogo,
Wanaume ni mafala sana mbele ya mwanamke
Umeandika kwa uchungu sana. Lakini kila siku huwa nauliza. Hivi kweli katika maisha ya kawaida, mwanaume anafanya hayo YOTE mazuri uliyoandika kwa mke wake. Hivi ni mwanamke gani ambaye anapendwa na mume wake anafanyiwa kila zuri na mume wake atataka kuharibu huo uhusiano au ndoa from NOWHERE????Naingia hapa kwenye pointya The Worst
Mkuu, point yetu haijabase kwenye mali yenyewe tunaongelea investment na sacrifice.
Mtu anafanya kazi kwa nguvu, anaamka usiku, anahangaika kutafuta pesa.
mwisho wa siku sehemu kubwa ya juhudi zake inaenda kumhudumia partner wake kumlisha, kumvisha na kuhakikisha anaishi vizuri.
Sasa imagine baada ya all that, anakuja kuona kwamba yule mwanamke anaendelea kuwa na mahusiano na wanaume wengine.
Na akimuuliza, jibu linakuwa Sikukutuma unifanyie hayo yote.
Unadhani frustration, betrayal na wivu haviwezi kujenga mazingira hatari?.
Hapa si justification ya violence ni kujaribu kuelewa psychology ya mtu anayehisi kwamba years of sacrifice zake hazina value.
huku akiona mtu mwingine akifaidika nazo.
Kwa hiyo swali si kama kila mwanaume atafikia hatua ya kufanya kitu kibaya.
swali ni how much emotional pressure can resentment, jealousy and perceived betrayal create before someone loses control ?
Eeh wanawake wengine wanadhani bila ndoa maisha yana simama kutoka na shinikizo kwa jamiiNa yeye anakubali?
Hovyo kabisa wanaume heshima yao tunawapa ila wapunguze kujipa umuhimuWatu kama hao nadhani wanaona Bibi zao, Mama zao, shangazi zao, Dada zao, wake zao, binti zao ndiyo maisha wanayoishi kwa hiyo wanadhani wanawake WOTE ndiyo maisha yao!!!
Hawa watu wanajiona watakatifuWewe mke wako akikuzaba kibao utaona ni sawa tu??? Hivi nyie kenge nani kawaambia kuwa wanawake ni sawa na ng'ombe au mbuzi kwenye mahusiano?
Nani kawaambia kuwa wanawake wameumbwa kwa vyuma na siyo flesh and blood just like you? Siyo body and soul like you?
Kwa nini mnataka avumilie vitu ambavyo nyinyi wanaume HAMUWEZI kuvumilia???
Kwenye uzi wangu fulan wa Human NatureNyie si huwa mnatamba kabisa kuwa mwanaume HAWEZI kuwa na mwanamke mmoja!!! Kwamba mna haki zaidi? Kwamba nyie ni binadamu zaidi? Kwamba mna tamaa zaidi?
MEN can’t take what they dish out, Wanaume hawawezi kuvumilia/kupokea wanachowatendea wanawake. Hii kauli ni 💯Wewe mke wako akikuzaba kibao utaona ni sawa tu??? Hivi nyie kenge nani kawaambia kuwa wanawake ni sawa na ng'ombe au mbuzi kwenye mahusiano?
Nani kawaambia kuwa wanawake wameumbwa kwa vyuma na siyo flesh and blood just like you? Siyo body and soul like you?
Kwa nini mnataka avumilie vitu ambavyo nyinyi wanaume HAMUWEZI kuvumilia???
You never miss 📌 🔥Angalizo msomaji wangu bandiko ni refu kidogo
Naomba uwe mvumikivu katika usomaji wako
Karibu sana kwenye mada 😊
Hello Great Thinkers 🫡
Katika pita pita zangu huko IG nimekuta kuna dada mmoja amepost kuhusu vifo vinavyotokana na migogoro ya kimahusiano hapa Tanzania 🇹🇿
Nimekuwa shocked baada ya kuona takwimu zinaogopesha na kushangaza
Ikanisukuma niende kwenye mtandao ku search na nione hali ilivyo kwa kujihakikishia mimi tomaso nimeshtushwa
Sikujua hali ni mbaya kwa ukubwa huu!
Nimepigwa butwaa
Hali inatisha
Chanzo cha takwimu (LHRC Tanzania)
Niweke sawa hapa
Hizi takwimu ni kati ya mwaka 2019_2023
Hebu tuangalie hizi takwimu za mauaji yanayohusisha wenza wa kimapenzi Tanzania
2019: LHRC ilirekodi wanawake 12 waliouawa na waume/wenza wao ambapo 8 ya matukio hayo yalihusishwa na wivu
2020: LHRC ilirekodi wanawake 32 waliouawa na waume/wenza wao, ambapo 23 ya matukio hayo yalihusishwa na wivu
Hii ilikuwa zaidi ya mara mbili ya matukio yaliyorekodiwa mwaka 2019
2021: LHRC ilirekodi jumla ya matukio 35 ya mauaji yaliyohusisha wenza wa kimapenzi
Kati ya waathirika hao, 31 walikuwa wanawake na 4 wanaume, huku wanawake wakiwa takribani 89% ya waathirika
Pia, 72% ya matukio hayo yalihusishwa na wivu
2022: Kulikuwa na matukio 33 ya mauaji yaliyohusisha wenza wa kimapenzi
Kati ya waathirika, 31 walikuwa wanawake na 2 wanaume, wanawake wakiwa takribani 94% ya waathirika. 52% ya matukio hayo yalihusishwa na wivu
2023: LHRC ilirekodi matukio 50 ya mauaji yaliyohusisha wenza wa kimapenzi, ikiwa ni ongezeko la matukio 17 ukilinganisha na mwaka 2022
Kati ya waathirika hao, 45 walikuwa wanawake na 5 wanaume, wanawake wakiwa 90% ya waathirika. Takribani 46% ya matukio yalihusishwa na wivu.
Mjumuisho 2019–2023: Jumla ya matukio 162 ya mauaji yaliyorekodiwa katika takwimu hizi. Kati ya waathirika waliotajwa, wanawake ni 151
Mjadala👇
Sitaki kusema hakuna wanawake wanaofanya ukatili
Tumeona wapo na siwezi kufumbia macho hili hata kidogo
Wanawake wenzangu JF hakuna haja ya kukatisha maisha ya mtu kwa sababu tu ya mapenzi au migogoro mbalimbali
Ukiona mzigo ni mkubwa, tafuta msaada
Usimue mtu
Huna haja ya kuua, hilo sio jukumu lako
Kwa sababu hata usipomuua, kwa nature ya mwanadamu kila mtu lazima atakufa siku yake
Nina hakika wanaofanya mauaji huishia kwenye majuto ya milele
Tuje kwa wanaume ambao ni tishio...
Enyi wanaume, acheni kuua wanawake
Hawa ni mama zenu, dada zenu, wadogo zenu
Hakuna mwenye haki ya kuua mwingine kwa sababu tu amesalitiwa, amevunjwa moyo au amekataliwa
Ukihisi umefika sehemu huwezi kujidhibiti, tafuta msaada
Tafuta hata wataalamu wa saikolojia
Kama umechanganyikiwa na hujui ufanye nini, ongea uponeeee
Acha kubeba uchungu peke yako. Tafuta mtu wa kuongea naye
Kama unaogopa jambo lako kutangazwa, tafuta hata mtu asiyekujua, funguka na zungumza
Usiue Please
Hakuna mwenye haki ya kuua mwingine
Kama unaona hakuna future kwenye mahusiano, jikatae mapema na muachane kwa amani
Niseme hili👇
Wanaume, mkubali mkatae, mna udhaifu ambao mnatakiwa kuushinda
Kujifunza kustahimili maumivu rejection usaliti na kuvunjika moyo ni sehemu ya kukomaa
Chukulieni mfano hata hapa jukwaani
Watu wanaoongoza kuwakalia kooni wengine ni wanaume nyie hapo🫵
Nasikia wengine wanapita mpaka PM wakisambaza picha za wanawake ambao hawana hata uhakika nao
Kitu ambacho ni nadra kwa wanawake kufanya
Kuweni wakomavu
Jifunzeni kustahimili
Mbona wanawake wanahangaika na maisha?
Unakuta mama kaachiwa watoto, anakomaa na haui mtu
Amedhulumiwa anatulia
Anamfumania mume wake kitandani, tena na house girl kwenye kitanda chake mwenyewe lakini mama anapiga moyo konde
Mnazalisha nje huko, wanawake wanapiga moyo konde
Enyi wanaume, nyie mna roho za barafu?
Wanawake wana roho za chuma?
Sitetei yeyote
Sitetei mwanamke msaliti wala mwanaume msaliti
Lakini ukiona umeshindwa kabisa kuendelea na mahusiano, achaneni kwa amani
Tatizo ni nini mpaka hali imefika hivi?
Karibu tujadili kwa pamoja
Na kuelemishana 🙏🙏
ShesRise_1 ✋️
Aisee ,ni nomaChochote mwanaume anachowekeza kwako ni valid kwake, usikidharau maana kakitolea jasho, utasema kwa mali gani mwenzako anahesabu, kesho anakukuta na Me mwingine na hadithi itabadilika, sisi tunasema tu, nyie ndio muamue, mpo weaker physically so watawauwa bila huruma.
Ila kwenye hii battle wanawake mnatumaliza kweli kweli hapa tu ninapoishi bibi mchaga amemmaliza mumewe toka 1986 hadi Leo anakula bata kwenye jumba lake la kifahari na mazaga mengine kama fremu na sites mbalimbali za mapato alizoacha mumewe. Ndugu wanaoingizana hapa ni wajomba tu sio baba wadogo wala shangazi watuYou never miss 📌 🔥
View attachment 3687522
Badala ya kusoma wakajitafakari, wanashupaza vichwa kubishana.
Tushukuru kwamba wanawake wengi tumeumbiwa uvumilivu, tungekua na maamuzi ya kukurupuka kama wao basi tungemalizana kwa kweli!
HakikaSa hivi wameng’ang’ania ka point kao ka tamaa ya mali, hizo takwimu hapo ngapi zinaonesha mauaji yamefanyika sababu ya tamaa/ugomvi wa mali?
Mi natoa wito kwa wanawake wenzangu, it’s either muwe wapole au muache kuhusiana na hawa watu, Walahi mtaisha kweli.
Tungekua na roho za kuku kama wao kingewaka ila sasa sisi ni watu makini sana babes 😍You never miss 📌 🔥
View attachment 3687522
Badala ya kusoma wakajitafakari, wanashupaza vichwa kubishana.
Tushukuru kwamba wanawake wengi tumeumbiwa uvumilivu, tungekua na maamuzi ya kukurupuka kama wao basi tungemalizana kwa kweli!
We una Pepo la u feminismWewe mke wako akikuzaba kibao utaona ni sawa tu??? Hivi nyie kenge nani kawaambia kuwa wanawake ni sawa na ng'ombe au mbuzi kwenye mahusiano?
Nani kawaambia kuwa wanawake wameumbwa kwa vyuma na siyo flesh and blood just like you? Siyo body and soul like you?
Kwa nini mnataka avumilie vitu ambavyo nyinyi wanaume HAMUWEZI kuvumilia???