ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #81
Nimeshindwa kuelewa hata point yakoDuniani lazima tupungue ili vinavyozaliwa vipate pa kuishi, na the weakest will die first.
Usicheze na hisia za mtu hasa mwanaume, atakuuwa halafu tutasikitika tu. Sheria ziliwekwa ili zivunjwe, sina haki ya kuuwa ila kama mtu akivuka mstari watu wanauwa tu. Binafsi nitakuachia kila kitu niondoke nikaanze upya coz nina nguvu, afya, akili na uwezo wa kutafuta.
Mwingine hatakubali kuumizwa, atakuuwa, so ukiona unaweza kupambana just go ahead, ila sisi tutahuzunika for few days na maisha yatasonga.
Exactly kijana mdogo 🥰Hoja nzuri.
Hiyo ya kushirikisha watu matatizo itabidi niijaribu, naona inazungumziwa sana.
Nafikiri sio ushauri peke yake, bali hata ile kusikilizwa na mtu inaweza kuwa tiba tosha.
Hayajakukuta, na umri ukiwa umesonga mpumbavu mmoja anakufanya uanze upya regardless kwa sucrifice zote ulizofanya kwake
Bila kulambana tutaishije labda wakasomee usister.mtu anakula Milo 3 kudibuana lazima .Sa hivi wameng’ang’ania ka point kao ka tamaa ya mali, hizo takwimu hapo ngapi zinaonesha mauaji yamefanyika sababu ya tamaa/ugomvi wa mali?
Mi natoa wito kwa wanawake wenzangu, it’s either muwe wapole au muache kuhusiana na hawa watu, Walahi mtaisha kweli.
Wapo wanaitwa ving'ang'aa halitaki kuachika kama rubaIpo hivi Kuna baadhi ya wanaume ,mwanamke hamtaki jamaa analazimisha ,kwa kuwa kaishaonja kitumbua ni kitamu
Imekuchukua muda gani kugundua hili?
Mimi binafsi sikuwaza kabisa
Mzee, huu mstari umeuandika kwa makusudi fulani ambayo ni sisi wenye akili tu ndio tunatambua 😁Binafsi nitakuachia kila kitu niondoke nikaanze upya coz nina nguvu, afya, akili na uwezo wa kutafuta
Pesa inauma,wewe ukienda kuliwa unalipa ela ya chakula &,MATUMIZI mengneo .si analipa mwanaume .Wanaume wengi wao ni maboya sana kwa wanawake, wanawake wanaendesha maisha yao, mwanaume si lolote wala chochote mbele ya mwanamke ndio maana wivu, wasiwasi, kutokujiamini vyote anavivaa yeye, pia wana ushenzj mmoja wakiwa na mwanamke huhisi yule mwanamke kamuumba yeye au kaumbiwa yeye anajimilikisha mazima, akija kupigwa tukio au hata kuhisi tofauti utaona anavyokua mbogo,
Wanaume ni mafala sana mbele ya mwanamke
Unachoshindwa kuelewa nini, its a general topic tunaiongelea jamii kwa ujumla.Nimeshindwa kuelewa hata point yako
Yaan wewe binafsi unasema huwezi kufanya hivyo
Ila ni kama una wakingia kifua wanaofanya hivyo kwanini usiwashauri wawe kama wewe eleweka basi babu
Sasa itakuwaje?Bila kulambana tutaishije labda wakasomee usister.mtu anakula Milo 3 kudibuana lazima .
Majority ni tamaa n usalitiMtakufa kama kumbikumbi chungeni tamaa zenu.
Kwenye hoja nzito umeleta kitu cha kuchekesha, muulize lini aliwahi tu kulipia Lodge ili Me aje amuweke?🤣Pesa inauma,wewe ukienda kuliwa unalipa ela ya chakula &,MATUMIZI mengneo .si analipa mwanaume .
Hizo ni gharama au makaratasi
Kumbe u feminist ni talanta😊😅Sio kila kitu/talanta/uwezo mpaka mhusika auone, uwezo wa mtu unaweza kuonwa na mtu mwingine na mhusika akaambiwa tuu. 😊
Inauma sanaKwenye ndoa madharau hayafai hata kidogo. Imagine unatafuta Mali kwa miaka mingi, ukipata mtu mmoja anaanza kumtafuta mwanasheria kwa Siri.... 🤔
Mwanaume mmoja wanawake 413 au sijaelewa? Huyo ni roboti? Hapo atawalomba wote au? Kina madelu kimoja tu wamekoroma kama yamaha, je wakipewa hao 400?2.Angalia nchi kama Soud Arabia,mwanaume 1 anaoa wanawake au 4l3 lakini huwezi sikua hata siku moja mke wake amesaliti-why huku kwetu.
KabisaMajority ni tamaa n usaliti
Siamini kama mwanaume anaweza fikia stage ya kuua kama hana ushahidi wa kosa la mwanamke.Wenzio wameng'ang'ana mali mali
Ukute huyo mtu ana ki IST cha mkopo
Upo sahihi takwimu zinaonesha wengi wameuwawa kutokana na wivu wa kimapenzi
Lakini unaposema et wanauwa kisa usaliti
Ni nani mwenye haki ya kuua mwingine kisa kasalitiwa ?
Kwanza ukute hata huo ushahidi wa kusalitiwa hana
Na mbona wanawake wakisalitiwa hawauwi
Huoni kama nyie wanaume mna roho ndogo sana na makatili kwanini usimuache mwanamke kama unaona amekusaliti
Mwanamke Aishi maisha ya uhalisia asitake vyoteSasa itakuwaje?
Binafsi naua, hili silifichi.Inauma sana