Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Wanaume nyie ni wadhaifu mifano ni hiyo ya kukurupuka kuua

Hamna ukomavu wa kihisa dadeki zenu
 
Binafsi naua, hili silifichi.
Ua Tu Maana Hana maana yoyote, watu wanataka kuchekeana muda, eti uwachekee Tu wewe ukaanze moja, fikiria Kwa umri huu mtu kwa tamaa zake Tu anataka nikaanze tena kuoa Mke Mwingine ndio nizae nianze upya kutafuta Kiwanja? Labdda kwa watu wa ccm na system Wana hela lakini Sisi kupata nyumba Tu ni haso za miaka na miaka.

Hata Mimi naua
 
Wanawake wanamakando mengi sana
Mfano
Unaweza enda sehemu ya starehe ukatumia gharama kubwa ya vinywaji na chakula na demu alafu huyo mwanamke anakutoloka haya mambo hamuyaoni?
 
Wanaume nyie ni wadhaifu mifano ni hiyo ya kukurupuka kuua

Hamna ukomavu wa kihisa dadeki zenu
Sasa ukomavu ni upi, kukubali nikuachie hata kama bado nakupenda?!

Mwingine hawezi kukuachia halafu ukavimbe na mshamba mwingine mbele yake, bora wakose wote.

Kama ulijua toka mwanzo humpendi kwanini ukakubali kuwa na nae?

Kumbe wanawake wengi pia mna tabia za ulaghai, ni matapeli kwenye mahusiano, msilaumu wanaume.
 
Mia 300 tu
Kwamba ni idadi ndogo?
Ni idadi kidogo ukilinganisha na vyanza vingine vya vifo, kuharisha kunaua watu zaidi ya 17,000 kwa mwaka Tanzania, hapo ni availability heuristic bias tu ndio inasababisha hilo gumzo lote ila kiuhalisia serikali ilitakiwa iwekeze nguvu na kelele nyingi zaidi katika usafi wa namna bora ya kunawa kunawa mikono, usafi wa vyakula na vyoo kuliko mauaji ya wapenzi😁
 
Na mbona wanawake wakisalitiwa hawauwi

Huoni kama nyie wanaume mna roho ndogo sana na makatili kwanini usimuache mwanamke kama unaona amekusaliti
Wanawake nao wanauwa wakisalitiwa ila mauwaji yao ni very strategical, inaweza kuchukua hata miaka 10, ukaja kutiliwa sumu kwenye msosi, hapo mwanaume ushasahau na ndani mnacheka vizuri tu.

wanawake wana visasi. Sisi ni papo hapo hakuna kusubiri.

Na ukinisaliti nikakuacha utaniona boya, so it's better nikumalize usije endeleza usaliti wako kwa mwanaume mwingine.

Hata tamaa ya mali ni usaliti pia.

"Msaliti auwawe"
 
Hakika tusikae kimya hawa watu wamechanganyikiwa watatumaliza
 
Mimi huwa nawaambia watu, Mtu akikufanyia jambo baya jaribu kumsamehe, ukiona moyo wako haujaridhika, lipiza kisasi, kamwe usipende kukaa na kinyongo.
 
Wanawake na sisi hatujijali, unakuta mtu anaona kabisa mwanaume ana dalili za kumfanyia kitu kibaya , halafu anabaki,mwisho wa siku anauwawa kweli. Hata Jennifer alihisi mume wake atamuua, ila hakuchukua hatua sahihi za kujilinda. Mi kwa niliyoyaona utotoni,mwanaume akiwa na dalili tu sizielewi, natoka mbio yaani mbio siangalii nyuma. Kule kwetu wanawake wanapigwa wanauwawa na waume zao kwa sababu za kijinga na familia zinapotezea. Utakuta mwanaume anamuua mke wake kisa mtoto wao wa miaka 6 kakojoa kitandani au kisa binti yao kabeba ujauzito au sijui mara mwanamke ameenda sokoni bila ruhusa ya mume.
Mi wanawake wanaovumilia wanaume wakorofi naonaga wanasubiri vifo vyao
 
Kwenye takwimu hapo umeona wapi vifo vingi vikisababishwa na tamaa ?

Kama sio wivu wa kijinga unalia unasalitiwa huku mwenyewe unakuta unanuka umalayer

Acheni u selfish dadeki zenu
 
Huu ukweli mchungu sijaona ukiwaasa wanawake wenzako walio kwenye uhusiano au ndoa kuacha umalaya na kudanga, kwa sababu ulisema wanaume si watu wa kuvumilia kila kitu. Ni kweli, hasa linapokuja suala la usaliti. Mwanaume anaweza kuvumilia changamoto nyingi kwenye uhusiano/ndoa, lakini si rahisi kuvumilia kusalitiwa/kutafuniwa.
 
Tunachepuka ile mbaya ila hawatuui kama tunavyowaua.
 
Mabinti wengi wa mjini wa Tanzania wanapenda sana kitonga na kuishi maisha yaliyo juu ya uwezo wao kwa mbali sana. Binti hana kipato chochote, ni mwanafunzi au ni secretary tu anayelipwa laki saba kwa mwezi lakini anataka aishi nyumba ya laki mbili kwa mwezi, amiliki iPhone 19 pro, mawigi ya laki laki, cosmetics zote ghali na awe anakula kuku kienyeji nusu kila siku.
 
Hivi kweli wanaume wote mna mawazo ya namna hii shock 😲 💔

binti kiziwi 🙌🏼🙌🏼
 
Anayeoa ana obligation zipi na yeye, au anaruhusiwa kufanya chochote.
*Kutekeleza majukumu yake ya msingi ya Kila siku
*Haruhusiwi kufanya chochote lakin ngoja nikueke sawa
SISI ni waafrika na syo wazungu kikubwa zaidi tuna tamaduni zetu kama watanzania
*mwanamke ndye anaemuandalia mwanamme chakula na mambo mengne mengi
Kuna kitu kinaitwa hasira ( hapa Kuna utofauti wa Mimi,yeye au yule ) MAAMUZI hutegemea kiwango Cha mtu yalimfika
All in all

Wanaume tusiue ,,kataa kuua .ishinde nafsi
 
Ni kweli hujaona nikisema siungi mkono usaliti kwa pande zote mkuu
Au ulitaka niseme vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…