Miguel Angel Gamondi atangazwa kuwa Kocha mpya wa Yanga

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Klabu ya Yanga leo imemtangaza Miguel Angel Gamondi (59) Raia wa Argentina kuwa Kocha Mkuu wake mpya.

Miguel Angel Gamondi amewahi kufundisha timu mbalimbali ikiwemo Wydad Casablanca ya Morocco, Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini na CR Belouzdad ya Algeria.

Kocha Miguel Angel hadi anatangazwa Kama Kocha Mkuu wa Yanga alikuwa amefundisha jumla ya vilabu 13 katika maisha yake ya soka na Timu ya Taifa ya Burkinafaso



****

Je ataweza kukabiliana na changamoto zinazoendana na malengo ya Yanga? Hajawahi kufundisha timu kubwa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Mkataba wake huwa unavunjwa kutokana na utendaji usioridhisha; inasikitsha lakini tumwombee afanikiwe kuweza kuipa yanga kombe la CAF!
 
Ana kazi kubwa sana
 
Mkuu mbona CV yake imeshiba? Kapita Wydad Casablanca, Esperance, Mamelodi Sundowns, USMA, De Tunis, hivi hizi team huwa zinazowa matakataka kweli?
 
Kila laheri kwake.......huenda kwa Yanga akapata mafanikio.

Ina maana Ibenge na Pitso waligoma kuja jangwani ?

Scars OKW BOBAN SUNZU Kalpana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…