Miguel Angel Gamondi atangazwa kuwa Kocha mpya wa Yanga

Miguel Angel Gamondi atangazwa kuwa Kocha mpya wa Yanga

Binafsi kama yule wa ASEC Mimosa alituma CV, yule ndiye angekula shavu na sio huyu.
kumbuka hata Nabi alipokuja yanga alikuwa na historia chafu ya kufundisha soka. Nabi alifikia mahala alikataliwa na simba na alifukuzwa na Al mereik. sasa ni kitu gani alichokifanya Yanga mpaka leo hii kawa LULU ya Africa? wewe ngoja halafu mwisho wa msimu upost hiyo comment yako.
 
kwa sasa ni kazi ya kujenga benchi lake la ufundi na usajili wa wachezaji then tumpe muda
Mkuu mkuu wa zamani, hapo umeongea point nzuri sana , unastahili kuhudhulia mkutano wa bunge la EU belgium!
 
Mbona kula sehemu anafukuzwa!!!!!!
Ali kamwe! Ali kamwe! unanisikia? hebu mjibu huyu ndugu . Luis Felipe Scolali anaongoza Brazil kwa kufukuzwa ukocha na vilabu mbali mbali lakini ndiye kocha aliyeiinuka Palmeira miaka sita ilopita na kuifanya itwae ubingwa wa Copa libertadore mara tatu mfululizo, upo Mr mwashilingi?
 
Klabu ya Yanga leo imemtangaza Miguel Angel Gamondi (59) Raia wa Argentina kuwa Kocha Mkuu wake mpya.

Miguel Angel Gamondi amewahi kufundisha timu mbalimbali ikiwemo Wydad Casablanca ya Morocco, Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini na CR Belouzdad ya Algeria.

Kocha Miguel Angel hadi anatangazwa Kama Kocha Mkuu wa Yanga alikuwa amefundisha jumla ya vilabu 13 katika maisha yake ya soka na Timu ya Taifa ya Burkinafaso
View attachment 2667388
View attachment 2667390
View attachment 2667389
****

Je ataweza kukabiliana na changamoto zinazoendana na malengo ya Yanga? Hajawahi kufundisha timu kubwa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Mkataba wake huwa unavunjwa kutokana na utendaji usioridhisha; inasikitsha lakini tumwombee afanikiwe kuweza kuipa yanga kombe la CAF!
Kwa CV hiyo labda ataipa yanga kombe la mbuzi.
 
leo hii kwa kumsikia kocha mpya wa Yanga naishauli klabu ya yanga iende ikulu kumuomba mama samia atupatie siku ya mapumziko mwakani ili tukalipokee kombe la ubingwa wa africa kwa maelfu na kupita msimbazi street bila hasara!
 
Ali kamwe! Ali kamwe! unanisikia? hebu mjibu huyu ndugu . Luis Felipe Scolali anaongoza Brazil kwa kufukuzwa ukocha na vilabu mbali mbali lakini ndiye kocha aliyeiinuka Palmeira miaka sita ilopita na kuifanya itwae ubingwa wa Copa libertadore mara tatu mfululizo, upo Mr mwashilingi?
Msimu huu, yanga ni wakujipigia tu. Pona yenu: kwa kuwa kaiser chiefs wameachana na usajili wa nabi, nawashauri, yanga, fanyeni kila linalowezekana mumrudishe kudini.
 
Ungezingatia hayo kipindi upo shule ungekua mbali sana
JF imevamiwa na wajinga wa Facebook, anyway ni bundles zao na uhuru wa maoni. Ila mnakera kuandika kama bata anaakwenda haja
 
Ali kamwe! Ali kamwe! unanisikia? hebu mjibu huyu ndugu . Luis Felipe Scolali anaongoza Brazil kwa kufukuzwa ukocha na vilabu mbali mbali lakini ndiye kocha aliyeiinuka Palmeira miaka sita ilopita na kuifanya itwae ubingwa wa Copa libertadore mara tatu mfululizo, upo Mr mwashilingi?
Kwahiyo huyo kocha ni Felipe scolari mwenyewe
 
JF imevamiwa na wajinga wa Facebook, anyway ni bundles zao na uhuru wa maoni. Ila mnakera kuandika kama bata anaakwenda haja
Jikite kwenye mada mambo mengine ni kupoteza mda
 
Back
Top Bottom