Klabu ya Yanga leo imemtangaza Miguel Angel Gamondi (59) Raia wa Argentina kuwa Kocha Mkuu wake mpya.
Miguel Angel Gamondi amewahi kufundisha timu mbalimbali ikiwemo Wydad Casablanca ya Morocco, Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini na CR Belouzdad ya Algeria.
Kocha Miguel Angel hadi anatangazwa Kama Kocha Mkuu wa Yanga alikuwa amefundisha jumla ya vilabu 13 katika maisha yake ya soka na Timu ya Taifa ya Burkinafaso
View attachment 2667388
View attachment 2667390
View attachment 2667389
****
Je ataweza kukabiliana na changamoto zinazoendana na malengo ya Yanga? Hajawahi kufundisha timu kubwa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Mkataba wake huwa unavunjwa kutokana na utendaji usioridhisha; inasikitsha lakini tumwombee afanikiwe kuweza kuipa yanga kombe la CAF!