Miguel Angel Gamondi atangazwa kuwa Kocha mpya wa Yanga

Binafsi kama yule wa ASEC Mimosa alituma CV, yule ndiye angekula shavu na sio huyu.
Hata Mimi nilikua natamani Sana Yule bwana apewe timu. Mi nilijikuta Tu naanza kuishabikia Asec Mimosas Kwa sababu ya soka Lao Tamu Sana unaweza kuwafunga lakini [emoji28] lazima cha Moto utakiona . Anyway tusubiri huenda na huyu anakitu Ila moyoni mwangu kuna kitu kinanambia HATOBOI msimu
 
Hata Nabi alikuwa hajadumu zaidi ya mwaka mmoja, ameanzia Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…