Miguel Gamond ni kocha aliyekuja kuvuruga maana halisi ya "kikosi kipana"

Gamond anafaa sana
Match gumu sio za kufanya rotation
Kocha atapimwa kwa malengo aliyopewa
 
WATU KUJENGA HOJA HAWATAKI BALI WANAKIMBILIA KUPOROMOSHA MATUSI TU.
 
Toka nimeanza comment ya kwanza mpk mwisho hakuna aliesema MKUDE aingie kama sub...yani hapo kwa Mkude mimi namcheka mnoo siicheki Yanga namcheka yeye...hana impact,,kapotezwa mazima haongelewi...yani bora angeenda Ruvu shooting walai.. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Gamondi kapewa malengo na uongozi wamuache afanye kazi yake mambo ya nani anacheza nani hachezi ni maamuzi yake
 
November 5 Mkude alishiriki kutembeza kichapo kitakatitfu au umesahau?
 
Yanga ya saivi akiumia mchezaji mmoja tu benchi la ufundi linaanza kuumiza kichwa huu ni mfano mzuri alipoumia Lomalisa Mutambala mawazo yalikua mengi lakini enzi za Nabi Faridi Musa na kitasa Kibwana Shomari walicheza vizuri tu.
Kwa hiyo alipocheza Kibabage wewe uliona haikufaa? Tumwache mwalimu na falsafa, yake yeye anataka mataji na ndicho mashabiki wengi mnalilia! Uliona vijana walivyozingua pale alipofanya rotation pale kwenye majaruba ya mpunga! Hata timu kubwa za Ulaya zina vikosi vya kazi vya ushindi!
 
Sure boy, Faridi, Kibwana hata yule mganda Fred wangepewa nafasi huenda kuna vitu tungeona!!
Subirini kwanza tukusanye points watacheza ligi ikiwa ukingoni! Unataka Azam au Simba wachukue ubingwa kwa kupata ahueni ya Yanga? Gamondi amegoma kuwalegezea mpaka mseme!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…