Miguel Gamond ni kocha aliyekuja kuvuruga maana halisi ya "kikosi kipana"

Miguel Gamond ni kocha aliyekuja kuvuruga maana halisi ya "kikosi kipana"

Gamond anafaa sana
Match gumu sio za kufanya rotation
Kocha atapimwa kwa malengo aliyopewa
 
Rejea comment yangu ya kwanza ambayo ulikuja kujibu ulivyojibu.
Halafu kama ungekuwa makini ungegundua kuwa nilikuwa namtania mleta uzi (Nalia Ngwena).
Lakini pia assume kuwa nilitoa hayo maoni kinzani na wewe,kwa nini usipinge hoja yangu bila kuanza na huo msamiati wa kunitoa akili.
[emoji116]
"Lakini ujio wa Gamondi umekuja kuchuja na kuchukua wachezaji wake "First eleven" Hii ni sumu kubwa sana maana waliopo benchi hawapati match fitness siku wakipewa namba tutawakataa. Wapo wapi Abubakari Salumu (sureboy), Faridi Musa, Kibwana Shomari n.k" Nalia Ngwena

"Hapa mwanautopolo umenena uneni ulio sahihi kabisa.
Ila Gamond amewapa ushupavu wa hao waendesha mitumbwi wake wa pale Bwawani wa kucheza boli la Kifaransa au Kijerumani. Muacheni atawavusha."Doctor Ngariba

Jenga hoja, humu hatujuani ndugu yangu lakini jifunze kuheshimu kila mtu.
WATU KUJENGA HOJA HAWATAKI BALI WANAKIMBILIA KUPOROMOSHA MATUSI TU.
 
Toka nimeanza comment ya kwanza mpk mwisho hakuna aliesema MKUDE aingie kama sub...yani hapo kwa Mkude mimi namcheka mnoo siicheki Yanga namcheka yeye...hana impact,,kapotezwa mazima haongelewi...yani bora angeenda Ruvu shooting walai.. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Gamondi kapewa malengo na uongozi wamuache afanye kazi yake mambo ya nani anacheza nani hachezi ni maamuzi yake
 
Toka nimeanza comment ya kwanza mpk mwisho hakuna aliesema MKUDE aingie kama sub...yani hapo kwa Mkude mimi namcheka mnoo siicheki Yanga namcheka yeye...hana impact,,kapotezwa mazima haongelewi...yani bora angeenda Ruvu shooting walai.. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
November 5 Mkude alishiriki kutembeza kichapo kitakatitfu au umesahau?
 
Yanga ya saivi akiumia mchezaji mmoja tu benchi la ufundi linaanza kuumiza kichwa huu ni mfano mzuri alipoumia Lomalisa Mutambala mawazo yalikua mengi lakini enzi za Nabi Faridi Musa na kitasa Kibwana Shomari walicheza vizuri tu.
Kwa hiyo alipocheza Kibabage wewe uliona haikufaa? Tumwache mwalimu na falsafa, yake yeye anataka mataji na ndicho mashabiki wengi mnalilia! Uliona vijana walivyozingua pale alipofanya rotation pale kwenye majaruba ya mpunga! Hata timu kubwa za Ulaya zina vikosi vya kazi vya ushindi!
 
Sure boy, Faridi, Kibwana hata yule mganda Fred wangepewa nafasi huenda kuna vitu tungeona!!
Subirini kwanza tukusanye points watacheza ligi ikiwa ukingoni! Unataka Azam au Simba wachukue ubingwa kwa kupata ahueni ya Yanga? Gamondi amegoma kuwalegezea mpaka mseme!
 
Back
Top Bottom