SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kumbe washabiki wa Yanga na Simba ni kama pipa na mfuniko tu . Bure kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeanza kumkataa! Na badoZeelinazingua sana,viongozi sijui hawaoni huu ujinga wa gamondi
Huu ndo ukweliGamond akishindwa kufukia malengo ya Yanga afukuzwe tu.
Kumpangia kikosi na mbinu za kushinda mchezo ndani ya uwanja hiyo hapana.
Hivi kosa la kocha ni lipi?Gamond akishindwa kufukia malengo ya Yanga afukuzwe tu.
Kumpangia kikosi na mbinu za kushinda mchezo ndani ya uwanja hiyo hapana.
Kosa la kocha ni lipi?Huu ndo ukweli
JENGA HOJA MKUU.Kumbe washabiki wa Yanga na Simba ni kama pipa na mfuniko tu . Bure kabisa
Zingatia neno 'akishindwa' so far bado hajashindwa kufukia malengo.Hivi kosa la kocha ni lipi?
Zingatia neno 'akishindwa' kumbuka sijasema 'ameshindwa'.
WATU KUJENGA HOJA HAWATAKI BALI WANAKIMBILIA KUPOROMOSHA MATUSI TU.Rejea comment yangu ya kwanza ambayo ulikuja kujibu ulivyojibu.
Halafu kama ungekuwa makini ungegundua kuwa nilikuwa namtania mleta uzi (Nalia Ngwena).
Lakini pia assume kuwa nilitoa hayo maoni kinzani na wewe,kwa nini usipinge hoja yangu bila kuanza na huo msamiati wa kunitoa akili.
[emoji116]
"Lakini ujio wa Gamondi umekuja kuchuja na kuchukua wachezaji wake "First eleven" Hii ni sumu kubwa sana maana waliopo benchi hawapati match fitness siku wakipewa namba tutawakataa. Wapo wapi Abubakari Salumu (sureboy), Faridi Musa, Kibwana Shomari n.k" Nalia Ngwena
"Hapa mwanautopolo umenena uneni ulio sahihi kabisa.
Ila Gamond amewapa ushupavu wa hao waendesha mitumbwi wake wa pale Bwawani wa kucheza boli la Kifaransa au Kijerumani. Muacheni atawavusha."Doctor Ngariba
Jenga hoja, humu hatujuani ndugu yangu lakini jifunze kuheshimu kila mtu.
Tabia ya kuporomosha matusi bila kutusiwa ni tabia ya watu wa hovyo waliokosa ustaarabu.WATU KUJENGA HOJA HAWATAKI BALI WANAKIMBILIA KUPOROMOSHA MATUSI TU.
Malengo yapi hayoZingatia neno 'akishindwa' so far bado hajashindwa kufukia malengo.
November 5 Mkude alishiriki kutembeza kichapo kitakatitfu au umesahau?Toka nimeanza comment ya kwanza mpk mwisho hakuna aliesema MKUDE aingie kama sub...yani hapo kwa Mkude mimi namcheka mnoo siicheki Yanga namcheka yeye...hana impact,,kapotezwa mazima haongelewi...yani bora angeenda Ruvu shooting walai.. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kwa hiyo alipocheza Kibabage wewe uliona haikufaa? Tumwache mwalimu na falsafa, yake yeye anataka mataji na ndicho mashabiki wengi mnalilia! Uliona vijana walivyozingua pale alipofanya rotation pale kwenye majaruba ya mpunga! Hata timu kubwa za Ulaya zina vikosi vya kazi vya ushindi!Yanga ya saivi akiumia mchezaji mmoja tu benchi la ufundi linaanza kuumiza kichwa huu ni mfano mzuri alipoumia Lomalisa Mutambala mawazo yalikua mengi lakini enzi za Nabi Faridi Musa na kitasa Kibwana Shomari walicheza vizuri tu.
Hili jamaa linajizima data tu!November 5 Mkude alishiriki kutembeza kichapo kitakatitfu au umesahau?
Subirini kwanza tukusanye points watacheza ligi ikiwa ukingoni! Unataka Azam au Simba wachukue ubingwa kwa kupata ahueni ya Yanga? Gamondi amegoma kuwalegezea mpaka mseme!Sure boy, Faridi, Kibwana hata yule mganda Fred wangepewa nafasi huenda kuna vitu tungeona!!
Alikutembezea ww labda..hatukona madhara yake..November 5 Mkude alishiriki kutembeza kichapo kitakatitfu au umesahau?
Kwenye orodha ya waliotoa boko siku hiyo yumo!Alikutembezea ww labda..hatukona madhara yake..