Jamani tafadhari tusisafishe nyumba yetu na kufagilia uchafu kwa jirani.Hutu linatia aibu sana nchi hii ,Sasa mpaka n'nje ya Tanzania.
Sana tu mkuu! Nikimuona msaliti yoyote wa nchi yangu natamani kumtengeneza mishikaki. Hahahaha..Mbona una ujasiri kama wa mgambo hivi?
Unaonekana una uchungu sana na Tanganyika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli?Sana tu mkuu! Nikimuona msaliti yoyote wa nchi yangu natamani kumtengeneza mishikaki. Hahahaha..
Anayeshirikiana na adui kuisaliti nchi yake!
Hii sasa ndio inafaa!
Kamgusa moja kwa moja.
Unamaanisha adui wa nje?Anayeshirikiana na adui kuisaliti nchi yake!
Adui awe wa nje au ndani wote ni adui tuu
Kisha nae anatunga kitabu na kumwita raisi ajae akifungue(mgeni rasmi)huku akijutia mgawanyiko miongoni mwa watanzania kivyama chuki na kutokuwepo na utawala wa sheria kana kwamba hakuwahi kuyaona.The old boy is real a stone-head!Yupo tu jus' like a dumb boy!Anajidai haelewi!Akitoka madarakani utasikia anasema..."yaani najisikia machungu kweli taifa hili kuparaganyika"...!Hopeless material!!!!
Hakuna msukuma wa hivoAcha uongo huyo ni msukuma original.
Ataendesha ibada mwenyeweAnatakiwa asusiwe kanisa ndio solution akiingia mnatoka
Mkuu machizi ni wengi sana karibu wataenda kupita majalala kuokota mifuko ya ramboWewe una akili au chizi? Kwa ni Mambosasa ni mgambo? Kasema wanaye na wenzake wanawashikilia na wewe unasema polisi wamtafute tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutisha watu dogo .[emoji23][emoji23]Usisumbuke mimi ni zaidi ya Polisi na Mgambo mkuu usisumbuke sanaaa!
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona unababaika, kama wewe wamjua sana rais sema tu usiogope hili ni jukwaa huru, tueleze na wewe ili mwisho wa siku tupime kwenye mizaniAsante kwa uongo uliopindukia!