Miguna Miguna amvaa Rais Magufuli kuhusu kukamatwa kwa Tito Magoti

Miguna Miguna ni fala tu mchumia tumbo hapo anataka mabwana zake huko Canada wampe prom,ahangaike na yake kwanza
 
Inaonekana Miguna Miguna na Dunia nzima imeshamjua kiongozi wa wasiojulikana.

Kule PK anazidi kumpa matumaini hewa, eti asiogope azidi kukaza hivyo hivyo mwisho watakoma.


hahahahhaaa
 
Magufuli ni mzandiki sana. Sera zake za kipumbavu zishindwe IN JESUS NAME
 
Kweli karibu na uchaguzi
 
Keshokutwa utamuona kwenye ibada ya Christmass yuko mbele kapiga goti !
Hapo ndo huwa naamini MUNGU ANA HURUMA SANA SIKU HIZI KULIKO ZAMANI. Haiwezekani mtu anasababisha mateso kwa watu wengine harafu Mungu anamwonea huruma. Juzi kapata degedege akajilizaliza na wapambe wakalaani watu waliosema vibaya. Yeye anaumia anapougua lakini anaona wanaoteswa kwa amri yake hawapati maumivu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia inasema si wote wamwitao bwna! Bwana wanamaanisha kwamba wanamheshimu Mungu. Inasema wapo wanafiki wanaomwabudu Mungu mdomoni tu lakini rohoni ni mbwa mwitu wakali. Ndio hawa wa aina ya Jiwe.
Biblia pia kupitia kitabu cha kwanza cha Samuel inatuambia kuwa anayeona rohoni kwa binadamu ni mmoja tu, naye ni Mungu. Sio wewe na mimi.
 
Mi nilisikia kamanda mambo sasa ndo kamkamata sasa Miguna Miguna kaingia chaka mumtaka Magu. Ashughulikie uraia wake kwanza. Tunaoendesha nchi tunajua ndugu zetu wanavyotumika vibaya hadi kuhatarisha usalama wetu na.hasa hao wanaojiita kutetea haki wakati wanatetea matumbo ya familia zao.
 
Kwani Rais ndio aliyemkamata,wakati mwingine mnakosa kupata haki kwa kumshirikisha moja kwa moja Rais kana kwamba yeye ameagiza.
 
Mimi naona kama Dr.Magufuli anaonewa vitu vingine. Nchi inaendeshwa na Mfumo jamani.Inawezekana hata Magufuli hajui hilo sakata.Haiwezekani Magufuli akawa "on top of everything" itafikia wakati hata mtu akijikwaa na kudondoka tutasema Magufuli ndiye kampiga mtama,nk,nk.Non sense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…