Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Mookiesbad98, Mimi niliwaangalia tu wale vijana smart wa TWITTER. Wamemkandia mwanaume mwenzao vibaya sana ila mimi nikataka kujua ni nini chanzo, wengine tumelelewa marital conflicts tunaziona ambazo ni mbaya zaidi ya hiyo hivyo hatuemki katika kuhukumu issue kama hizo
 
Nikiangalia comments za "wanaume"(siwezi kuwa na uhakika cz ni ID feki) kwenye huu uzi nasema Mungu Alhamdulillah. Kwanza kwa kutokuwa mwanaume, pili kwa kutopata mwanaume wa kunishushia kipigo hadi hapa nilipofika.

In short kupiga mwanamke kwa wanaume wa Tanzania sio kosa. Kosa analo mwanamke kwamba alisababisha vipi apigwe. Kwa kipigo hiki, huyu Mihayo anaweza kubaka, anaweza kuua na vyote vibaya hapa duniani. HANA HURUMA HATA CHEMBE!

Ilikuwa short break karibuni muendelee kumfanyia Nackitia character assasination na kujustify matendo ya mwanaume anayempiga mkewe mambata na kumgaragaza chini watoto wake wawili wakishuhudia kisha anaenda public na kusema yeye ndo alikuwa victim kwenye ndoa yake.
 
Said it well,siungi magomvi ya kupigana kwa wanandoa ila wanawake wengi wanaopigwa ukifuatilia kwa makini utagunudua kuwa kilichomponza ni mdomo wake kutoutumia vizuri,ukimkuta mwanume anakwambia mimi siwezi kumpiga mke wangu ujue huyo hajakutana na mwanamke mwenye maneno ya hovyo,ni ngumu kwakweli kuvumilia,inahitaji sana kumuomba Mungu akupe hekima hasa inapotokea kuwa umegundua mkeo ni wa aina hiyo......
 
Bila shaka wewe ni mkurya,haiwezekani ukatetea mwanamke kupigwa namna hiyo

Mkuu banah usijaji mambo hivyo utapotoka, nenda kwenye content niliyoeleza hapo, mimi sio wa kabila hilo, wanaume hatujazaliwa kwaajili ya kuwapiga wanawake ila tu kuwapenda maana ni maua ya dunia, ila pia nikukumbushe kuna wanawake wanamdomo sana yani wanatia hasira kuliko unavyofikiri, mimi sina mkono wa kupiga ila napenda mwanamke aniheshimu kama navyomuheshimu yeye
 
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongelea kupigwa mbele ya watoto wake tu?Ongelea pia demu/mke kurudi usiku wa manane akiwa bwax huku akshushwa kwenye gari na mchepuko wake na watoto wake wakiona.

Mzee baba ulibugi big tym kuoa demu anaeshinda pale hyatt anachokifanya hata hakieleweki,ila kwny kichapo nakupa kongole nyingi saana.





dodge
 
ni hivi..... chunga sana mdomo wako la sivyo kipigo kitakuhusu tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akubariki mkuu kwa kusema ukweli, wanawake wengi sana wanatesa wanaume tena wanachepuka mpaka mchepuko wake analeta dharau kwa mume lakini hili jamii haisemi, kuna yule mtanzania aliua mke huko Marekani sababu mke alirudi kalewa na kumletea dharau, alifanya vibaya sana kuua lakini hakuna kitu kinaamsha hasira ya mwanaume kama kudharauliwa na mkewe tena mbele ya jamii na watoto ndio maana biblia imeandika wake watiini waume zenu. Ila sasa wengi wanachukulia upande mmoja tu kuwa mwanaume kwa sababu ana nguvu basi anaonea.
 
Hovyo kabisa, kwa madai hayamhusu; ila likishatokea lakutokea ndio wale wa kutoa breaking news
 
Ila nkiangalia ilikuwa 2015, ililetwa tujikumbushie ama
 
Daah anampiga demu mwenye msambwanda huo kwa ngumi? kwanini asimpige kwa Muhogo wa jang'ombe?
Kaka mwanamke mzurinwa mwenzako akiwa wakwako na ushamzoea basi kila kitu kwake unakiona cha kawaida tu.Hakuna maajabu plys kero za kifamilia hasa hawa watoto wa ushuani basi siku akizingua ukachoka ndio kama hayo sasa tunayaona hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…