Sijasema huyo Nacky ni mtakatifu. Issue hapa ni mwanaume kumpiga mwanamke. Yani hili la huyu jamaa kumbonda mkewe mbona mnalikwepesha kwepesha kwa hoja za makosa ya mke.
Kwamba nanyi mkichepuka na kutufanyia dharau tuwakodishie wakina Mwarabu Fighter wawabonde maana nguvu hatuna?
Huyu jamaa hana undugu na jaji mihayo.
Huyu ni mnyamwezi wa Tabora na Black American. Ana uraia wa marekani sababu Baba yake marehemu alikuwa ni African American. Dogo kapiga shule Mtoni na yuko super smart kichwani. Ana maadili pia ya kiafrika na heshima na mtu wa watu sana hajisikii.
Yuko njema cribs tatu nne za maana, Mandinga ndio kama yote ya maana halagu janki mdogo. Ana proffessional network ya kufa mtu duniani. Yukovizuri Us embassy inamtambua na inampa fursa sana kama kijana smart
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa picha hii waweza ona bigtimer wife alivyokuwaView attachment 1322728
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Zurie, Natamani tukubaliane kwamba huyo mwanamke kwa muoekano wake tu, anastahili kipigo, kwa sababu masikio yake naamini yameziba, mwanamke msikivu hapigwi, sisemi wanawake wote wapigwe.Na vitu kama hivi hutovisikia. Ushaambiwa ni mtu safi aliyekuwa provoked na umalaya wa mke. Wanaume hawanaga huruma kwenye vitu kama hivi mpaka anayepigwa awe mwanaye au dada yake na awe amepigwa hadi kukutwa na umauti.
Kwa picha hii waweza ona bigtimer wife alivyokuwaView attachment 1322728
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa hiyo unaunga mkono mwanamke mzinzi ?.Hao Wanaume/Baba hawapo katika sayari hii labda wa kwenye tamthilia za Wafilipino.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijifunza kitu kimoja. Sitakuja piga mwanamke tena maisha yangu yote. Najua wana maudhi watu hawa wakati mwingine... lakini beating a defenseless woman like that? Not again in my life. I did it once and never shall it happen again.
Unaona sasa mawazo yako yalivyo, yaani kwa mfano mimi ndio mumeo nimekukosea, eti unikodishie watu waje kuni attack !!, ukae umejiandaa, nikipona ujiandae kwa shurubaSijasema huyo Nacky ni mtakatifu. Issue hapa ni mwanaume kumpiga mwanamke. Yani hili la huyu jamaa kumbonda mkewe mbona mnalikwepesha kwepesha kwa hoja za makosa ya mke.
Kwamba nanyi mkichepuka na kutufanyia dharau tuwakodishie wakina Mwarabu Fighter wawabonde maana nguvu hatuna?
Namaanisha kwa mwanaume mwenye hekima, kushusha mipondo kwa Mkewe ni kawaida tuMkuu kwa hiyo unaunga mkono mwanamke mzinzi ?.
Sijasema huyo Nacky ni mtakatifu. Issue hapa ni mwanaume kumpiga mwanamke. Yani hili la huyu jamaa kumbonda mkewe mbona mnalikwepesha kwepesha kwa hoja za makosa ya mke.
Kwamba nanyi mkichepuka na kutufanyia dharau tuwakodishie wakina Mwarabu Fighter wawabonde maana nguvu hatuna?
Starehe isipitilizeHakuna mtu asiyependa maisha mazuri ya starehe, na kila starehe ina nafasi yake katka maisha apo wala akuna cha ajabu
Mwanaume hujawah kua mjinga wa kupiga bila sababu.
Kwa video ya 2015 kuonekana sasa..
Niwazi kua Demu alikosea..NA kwasababu uwajibishaji unatofautina...
BASI NICHUKUE NAFASI HII KUUNGANA NA MIHAYO !!!!! .......Broooo wanajaribu kukushusha, NEVER GIVE UP ...... USICHEKE NA MBWA !!!
Unaumwa weweMwanaume hujawah kua mjinga wa kupiga bila sababu.
Kwa video ya 2015 kuonekana sasa..
Niwazi kua Demu alikosea..NA kwasababu uwajibishaji unatofautina...
BASI NICHUKUE NAFASI HII KUUNGANA NA MIHAYO !!!!! .......Broooo wanajaribu kukushusha, NEVER GIVE UP ...... USICHEKE NA MBWA !!!
Hivi Mungu alipokupa utashi wa kung'amua mambo alikuwa hana akili? Kama hutaki shughulisha akili yako unategemea utofautishwe na ng'ombe kwa kusimama kwa miguu miwili pekee?'Akili za kuambiwa changanya na zako. Angalia video hadi mwisho, huyu mwanamke si mara ya kwanza kupigwa. Unajua kwanini?
Anajua kabisa tabia za mpigaji wake. Ndo maana alipokuwa anaondoka alimfuata nyuma sababu anamjua akishacalm down so anajua kabisa hapa “session” imeisha.'
Hahah kweli wabongo tuna vipaji maalumu kutoka kwa Mungu, yaani umeangalia hio video isiyo na sauti na ukacheki hizo movement za huyo dada ukajua kabisa hio sio mara ya kwanza kupigwa?hahah tuna vipaji maalumu bongo.
dodge
Nimesema HAPA! Rudia tena kusoma ukizingatia neno HAPA! Na usome maelezo yafuatayo. Soma kuelewa sio kujibu.Eti issue ni “kumpiga mwanamke” na sio “kumpiga mtoto” au “kumpiga mwanaume”
Wengine wote sio issue bali issue ni “mwanamke”?
Yall are delusional mongooses!