Mtu mmoja kuua watu sita hapana hii haingii akilini kabisa, na wanadai ilikuwa mida ya usiku wa kawaida baada ya kumaliza kula chakula cha jioni. Yaani mume, mke na wazazi wote wamekaa tu wanasubiri Jamaa achinje mmoja aende kwa mwingine hata kukimbia hamna? Na kwa kawaida binadamu siyo wa kukatwa panga moja akafa lazimu purukushani ziwepo, sa najiuliza iliwezekana vipi watu wazima wanne wasubiri kuchinjwa mmoja baada ya mwingine bila hata kupiga kelele? Hpn uyu muuaji hawezi kuwa peke yake lazima walikuwa wengi