Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Pole sana. Ilishawahi kunitokea kwa ndugu yangu mmoja hivi. Lakini mtuhumiwa alikaa jela kama theluthi ya muda aliotakiwa kukaa. Ila mimi ilikuwa ni kujeruhi siyo mauaji. Ila kama wana collude kwenye mauaji kwa kweli siyo fair. Tunasema Mungu anawaona lakini Dah!!! Mpaka lini?Polisi wajinga sana! Hawachelewi kupindisha ushahidi! Walivyovuruga kesi ya dadangu sina hamu nao kabisa! Yaani ushahidi wa msingi wameuficha ili kumwokoa mharifu aliyewapa rushwa! Hakika Mungu anawaona! Mwisho wa siku mwuaji ameachiwa!
Huyo hata kunyongwa mara moja haifai,huyo anatakiwa ateswe kidogo kidogo,Leo unanyofoa kucha,kesho kidole kimoja mpaka anaisha bwege huyo
NaamErtugrul Bay
Noyan nipo hapaNaam
Unatakiwa kuchukuwa hatua wewe. Kama kulikuwa na kupindisha ushahidi bado unaweza kupaza sauti na ukasikilizwa. Ni ujinga mkubwa kukaa na kusema eti Mungu anawaona. Bila kila binadamu kuchukia uovu na kuchukuwa hatua uhalifu hautaisha. Kwa mfano sasa hivi kuna mitandao ya Internet ambayo unaweza kuitumia kupaza sauti yako na kueleza ilivyokuwa. Pia kuna wanasheria wa kujitolea.Polisi wajinga sana! Hawachelewi kupindisha ushahidi! Walivyovuruga kesi ya dadangu sina hamu nao kabisa! Yaani ushahidi wa msingi wameuficha ili kumwokoa mharifu aliyewapa rushwa! Hakika Mungu anawaona! Mwisho wa siku mwuaji ameachiwa!
Pole SanaPolisi wajinga sana! Hawachelewi kupindisha ushahidi! Walivyovuruga kesi ya dadangu sina hamu nao kabisa! Yaani ushahidi wa msingi wameuficha ili kumwokoa mharifu aliyewapa rushwa! Hakika Mungu anawaona! Mwisho wa siku mwuaji ameachiwa!
MmmmmghItoshe kusema bara wanaume wengi ni malimbukeni wa mapenzi.
Unaua watu saba wasiohusika kwa sababu mke wako ameliwa??!
Aisee pole sana, watapata adhabu yao kutoka kwa Muumba wa mbingu na nchi.Polisi wajinga sana! Hawachelewi kupindisha ushahidi! Walivyovuruga kesi ya dadangu sina hamu nao kabisa! Yaani ushahidi wa msingi wameuficha ili kumwokoa mharifu aliyewapa rushwa! Hakika Mungu anawaona! Mwisho wa siku mwuaji ameachiwa!
Umewahi ishi kijijini madam?. Nyumba nying zipo scattered. Afu kumbuka watu wazima walikuwa ni wazaz tu.Hii nchi always miracle,
Walipozika waliwaza nini?
Au huyo muuaji kasema jamaa alizaa na mkewe ndo wanajihakikishia.
Mtu mmoja anaua watu saba, yaani hata mmoja hakuweza kupiga kelele au na majirani walimpingia ?
Tukisema TanPol ni hovyo watu wanatukana.Aliyeruhusu wazike ni nani na anayetaka kufukua ni nani?
Tuanzie hapo kwanza.
hii inayojiitaga kamati ya ulinzi na usalama ilishindwa nini kugungua kitu cha muhimu kama icho!ndio maana tunaonaga wauwaji wengi wanaishiaga kuachiwa na mahakama kila mara kumbe ni uzembe kama huu,unategemea uyo muuaji angeweka wakili msomi kama kina Kibatala siangetokaga tu.