Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

Ulipoiacha iringa sijakuelewa kabisa
Iringa
Bukoba mbona ishaanza kuandaliwa...kuna vyuo vikuu viwili vinajengwa UDSM tawi la bukoba na campus ya chuo cha Mandela....na hapo juzi kumefunguliwa chuo cha veta...

Jana wamefungua taa za kuongoza magari na zile za kuwasha mwanga...

Tender zimetangazwa za ujenzi wa stendi kuu na soko mwezi march ujenzi wa stendi unaanza...

Meli mv mwanza na mv Victoria zinaenda bukoba na mambo kibao tu
Yaa hivyo ndivyo ina paswa kua,yafanyike na miji mingine.
 
Hili taifa linafelishwa na makundi ya watu washenzi wenye malengo binafsi ya kujipatia utajiri kupitia mkwamo wa kimaendeleo.

1. Juzi nilikuwa nasoma article mtandaoni ambayo inazungumzia kampuni ya Starlink ya Elon musk ambayo inadeal na maswala ya satellite na anga na sasa wanatoa huduma ya internet popote duniani yaani hata ukiwa baharini utapata internet services bila shida sio kama hizi zingine ukipita porini imekata.

Nasikia yule mwamba na kampuni yake wametia nanga kwa baadhi ya nchi za africa ikiwamo East Africa kutaka vibali vya kutoa huduma.
Sasa hawa washenzi waliopo katika nyadhifa mbali mbali ambao kazi yao ni kuzuia maendeleo wameshaliona hilo na wamejua huyu jamaa akija hapa Tanzania basi kuna uwezekano mkubwa wa kuzinyang'anya wateja wa internet hizi local ISP kwa asilimia kubwa sana isiyopungua 90% sababu ya ufanisi na speed kubwa sana kwa sekunde plus jamaa yeye hauzi vifurushi ni full kujiachia yaani ukilipia haujutii. Plus anaweza nunua mtu kwa hela zake kisha akawauzia raia wenye kipato kidogo package za mwezi unlimited na wakapata speed kali kupita maelezo.

Haya mabwege ya Tanzania yameshajua hilo so yamezungumza na serikali kuwa hii kampuni ikija ianze fanyiwa urasimu na ukiritimba ili wao wasijekulala njaa kwasababu wanalipa kodi, wameajiri watu wengi kwenye hizi kampuni zao, wanafanya sana local philanthropies, na mengineyo ya kinafiki ambayo hayana maana zaidi ya kujibaraguza tu PUMBAVU hawa.

2. Kuna haya majinga yapo humu kwenye hizi parastatal za serikali na hata mamlaka zake, ambayo kazi yao kubwa wanayoona mbele ni kuzia , kukataza, kukwamisha na hata kutokomeza jambo lolote ambalo kwa mwananchi lina manufaa kwa asilimia kubwa na serikali kidogo sana.

Mfano tazama TCRA, TRA, hizi halimashauri, mipango miji, idara za maji, na kwengineko ambapo raia huwa tunakuwa na vitu vyetu kama kutaka kupimiwa viwanja maeneo mapya, kutaka kushushiwa bei au kuondolewa vibali visivyo na maana, kutolewa kwa tozo na ushuru ambazo si za lazima etc hautaona wanataka kukaa upande wa raia watakaa upande wao binafsi raia ateseke.
 
Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo.

Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama vyuo vikuu, viwanda, hospital, na kupima na kupanga mji mpya wa kisasa kama inavyofanyika Magufuli City Dodoma, ilituwe na miji ya kisasa inayovutia na kukidhi mahitaji ya wananchi.

Halikadhalika yafanyike miji ya Morogoro, Mtwara, Songea, Kigoma, Moshi, Sumbawanga na Kahama, pamoja na miji yenye idadi kubwa ya watu. Miji ipangwe na ijengwe kisasa atilist kila kanda tuwe na majiji walau mawili.

Hii itasaidia sana kueneza maendeleo makubwa katika pembe zote za nchi, na itapunguza watu kukimbilia Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma na Arusha. Hivyo selikali itahudumia watu kirahisi wakiwa hukohuko kwenye miji yao.
Bado sijaelewa mantiki ya hoja.
Nini vigezo vya mji kufikia vigezo vya kuitwa jiji?
Nini kinaongezeka katika maisha ya watu automatically kwa mji kupewa hadhi ya jiji?

Nini kinazuia mji kuwa na maendeleo kwa kuwa sio jiji?

Hivi unajua Dar sio jiji, jiji ni Ilala, nini kimepungua kimaisha kwa wakazi wa Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigamboni kukosa fursa ya kuitwa jiji?

Note
Kuhusu Moshi, hiyo ni manispaa ndani ya wilaya ya Moshi (ambayo inajumuisha manispaa ya Moshi, Halmashauri ya Moshi na Mamlaka ya mji mdogo Himo). Ili Manispaa ya Moshi ipate kihalali hadhi ya kuitwa jiji, inabidi vigezo vitatu vifikiwe (idadi ya watu wakutosha, Mapato yao ya ndani yawe ya kutosha na Eneo la ardhi la kutosha), vigezo viwili (watu na mapato) vilishafikiwa muda mrefu sana, tatizo liko kwa ardhi, ni ndogo. Na kufanikisha hilo itabidi kumega maeneo mengine yanayoizunguka Manispaa ya Moshi (kama Halmashauri ya Moshi na halmashauri ya Hai) au kuziua/kuzimeza mojawapo ya hizo halmashauri jambo ambalo halina faida kubwa kimaendeleo.
 
Mji hauandaliwi kuwa jiji ndugu, mji unafika hadhi flani ya juu ukikidhi vigezo husika. Ktk miji uliyoitaja bado hakuna mji uliofikia hadhi uliyoitaja. Hata Dodoma aliilazimisha Magufuli kuwa jiji pamoja na Kahama kuwa manispaa ilikuwa ni kile kiburi cha urais kujiamulia bila kufuata taratibu zilizowekwa. Hakuna mwananchi anayekimbilia mji flani eti ni jiji.
Ili ufike iyo hadhi kuna huduma lazima ziwepo hospitali ya rufaa,maji,barabara,vyuo vikuu, hizo huduma selikali ndio yenye wajibu wa kuzileta.mji ukipandishwa hadhi kuna faidi ya miradi mfano,benk ya dunia ina miradi ya tactic,majiji wana miradi mingi kuliko manispaa,na manispaa zina miradi mingi kuliko halmashauli za miji.lakini hata matumizi ya mapato ya ndani jiji wanatumia 80%,manispaa wanatumia 60%, miji wanatumia 40% ya mapato waliyo kusanya.
 
Kahama city, hiii sawa inafaa kuwekewa mikakati.Bukoba,Moshi na Tabora nikupoteza mda ni sawa na kutoa Mahalia kwa mazi ambaye hujawahi Kuonana nae/ hakutaki.
 
Bukoba mbona ishaanza kuandaliwa...kuna vyuo vikuu viwili vinajengwa UDSM tawi la bukoba na campus ya chuo cha Mandela....na hapo juzi kumefunguliwa chuo cha veta...

Jana wamefungua taa za kuongoza magari na zile za kuwasha mwanga...

Tender zimetangazwa za ujenzi wa stendi kuu na soko mwezi march ujenzi wa stendi unaanza...

Meli mv mwanza na mv Victoria zinaenda bukoba na mambo kibao tu
Kwani umeambiwa kujengwa vyuo Vikuu ndio kuandaliwa kuwa Jiji?
 
Kahama city, hiii sawa inafaa kuwekewa mikakati.Bukoba,Moshi na Tabora nikupoteza mda ni sawa na kutoa Mahalia kwa mazi ambaye hujawahi Kuonana nae/ hakutaki.
Hiyo Kahama yenu mnayoioigia chapuo zaidi ya kuwa na watu wengi kwingine kote ni hovyo..

Sasa Kahama na Tunduma wapi mjini? Kwa hiyo iandaliwe kuwa Jiji?
 
Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo.

Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama vyuo vikuu, viwanda, hospital, na kupima na kupanga mji mpya wa kisasa kama inavyofanyika Magufuli City Dodoma, ilituwe na miji ya kisasa inayovutia na kukidhi mahitaji ya wananchi.

Halikadhalika yafanyike miji ya Morogoro, Mtwara, Songea, Kigoma, Moshi, Sumbawanga na Kahama, pamoja na miji yenye idadi kubwa ya watu. Miji ipangwe na ijengwe kisasa atilist kila kanda tuwe na majiji walau mawili.

Hii itasaidia sana kueneza maendeleo makubwa katika pembe zote za nchi, na itapunguza watu kukimbilia Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma na Arusha. Hivyo selikali itahudumia watu kirahisi wakiwa hukohuko kwenye miji yao.
Na Chattle City iwemo.
 
Hiyo Kahama yenu mnayoioigia chapuo zaidi ya kuwa na watu wengi kwingine kote ni hovyo..

Sasa Kahama na Tunduma wapi mjini? Kwa hiyo iandaliwe kuwa Jiji?
Hahahaa Tunduma Kuna branch ngapi za Bank.. Kahama habari nyingine fatilia mkeka wa Mapato kwenye taifa utajua Kahama habari nyingine.
 
Ili ufike iyo hadhi kuna huduma lazima ziwepo hospitali ya rufaa,maji,barabara,vyuo vikuu, hizo huduma selikali ndio yenye wajibu wa kuzileta.mji ukipandishwa hadhi kuna faidi ya miradi mfano,benk ya dunia ina miradi ya tactic,majiji wana miradi mingi kuliko manispaa,na manispaa zina miradi mingi kuliko halmashauli za miji.lakini hata matumizi ya mapato ya ndani jiji wanatumia 80%,manispaa wanatumia 60%, miji wanatumia 40% ya mapato waliyo kusanya.
Hicho ulichokiandika hakiko sahihi sana.

Hospitali ya rufaa, Vyuo, Barabara, Maji hata majengo makubwa, marefu na kisasa sio vigezo vya kuwa majiji.

Kadri mji (manispaa) zinavyopandishwa kuwa jiji, basi mambo haya yanatokea (yanaweza kuwa positive or negative).
1. Wanakuwa na mamlaka makubwa ya kutumia mapato yao ya ndani.
2. Wanapunguziwa kupewa ruzuku kutoka serikalini
3. Misaada na mikopo nafuu ya kijamii inapunguzwa au kusitishwa kabisa.
4. Wanakuwa huru kuingia mikataba ya kiubia au kukopesheka kibiashara.
5. Wanaongeza bajeti ya ndani ya kujiendesha.
 
Kwangu mimi, mji kung'ang'ania kupewa hadhi ya kuitwa jiji ni kwa 99% ni suala la kutafuta sifa tu (Pride), hakuna kipya au kikubwa sana katika maisha ya watu.

Nini kimepungua kimaisha kwa wakazi wa Dar kunyang'anywa hadhi ya jiji?
Nini kimeongezeka kimaisha kwa wakazi wa Ilala wao pekee kubakia na hadhi ya jiji katika mkoa wa Dar?
 
Kipya kipo maana hizo hadhi Zina maana sana kwenye mgawanyo wa rasilimali..

Bajeti ya Jiji ni tofauti na Bajeti ya Halmashauri,Kuna upendeleo Fulani wa status
 
Moshi kwasasa ni chimbo la mashoga hata organization nyingi za mashoga zipo huko... Wanawake wa moshi wanalalamika wanaume wa moshi hawana nguvu za kiume inabidi kutafuta wanaume wa mikoa jirani. Ndio maana moshi ina migogoro mingi ya kifamilia kwasabab 90% ya watoto waliozaliwa moshi baba zao nikutoka nje ya ndoa...
Ina uhusiano upi na kuwa na jiji
 
Fursa zip zaidi ya utapeli tu!! Eti fursa za wajinga wakati hamtaki kukaa kwenu mtarogana ..
Ungekuwa na akili ungejiuliza nini wazungu walifuata america au Australiasian au hata Africa kusin wakazikalia mpaka Leo. Kwa akili zako ungesema wazungu wamekimbia utapeli na uchawi. Bro stuka mahali popote panakuwa pako ukiwa na hela huna hela subir wanaume watakuja kukuhamisha tu kama sio wewe wanao. Kama huamini waulize wazaramo kwanini hawapo dar wamekimbilia huko porin. Usipoteze muda chief katafute hela usikike hiz stor za kwenye kahawa waachie waliofilisika akili bro.
 
Hahahaa Tunduma Kuna branch ngapi za Bank.. Kahama habari nyingine fatilia mkeka wa Mapato kwenye taifa utajua Kahama habari nyingine.
Mkeka upi wa mapato Mzee,acha vichekesho,hakuna mapato yoyoye ambayo Kahama inazidi Tunduma kuanzia mapato ya Halmashauri Hadi TRA..

Kahama ni kelele tuu,kama unabisha leta ushahidi,uko nyuma sana ya mda Mzee Kila benki iliyoko Kahama ipo na Tunduma pia.
 
Ungekuwa na akili ungejiuliza nini wazungu walifuata america au Australiasian au hata Africa kusin wakazikalia mpaka Leo. Kwa akili zako ungesema wazungu wamekimbia utapeli na uchawi. Bro stuka mahali popote panakuwa pako ukiwa na hela huna hela subir wanaume watakuja kukuhamisha tu kama sio wewe wanao. Kama huamini waulize wazaramo kwanini hawapo dar wamekimbilia huko porin. Usipoteze muda chief katafute hela usikike hiz stor za kwenye kahawa waachie waliofilisika akili bro.
Eti wazaramo ukabila tu ...wajinga mmekimbia kuuliwa huko migombani..Kwani nan ambaye hafuati fursa .

Sehemu yenye maendeleo ndo inafuatwa sana mbona December mnaenda kwenu ,na sio kubaki kwenu na kuzipeleka izo kutengeneza fursa zikawa kwenu ?

Hili ni jiji hamna ukabila wala udini watu wote wanapiga mishe matajiri wakubwa bongo ni waarabu nyie wachuuzi Endeleeni kuwa madalali.
 
Back
Top Bottom