Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

Moshi kwasasa ni chimbo la mashoga hata organization nyingi za mashoga zipo huko... Wanawake wa moshi wanalalamika wanaume wa moshi hawana nguvu za kiume inabidi kutafuta wanaume wa mikoa jirani. Ndio maana moshi ina migogoro mingi ya kifamilia kwasabab 90% ya watoto waliozaliwa moshi baba zao nikutoka nje ya ndoa...
Hiz stor zaman zilikuwa tunaambiwa ni Zanzibar mara Mombasa lakin watu wanaendelea. We kila siku watu si wanawatuhum wazungu mashoga. Je sisi tunanini sasa cha kusema bora sisi zaid sana kujidanganya tu. Kwanza kwa kukusaidia hili tatizo lipo miaka yote kwa jamii zote za binadamu sema kila jamii ilikuwa inalimaliza kimya kimya sasa wakat huu lipo waz sana kwasababu ya exposure. Ila unachotakiwa kujua ni kuilinda familia yako na kuombea familia yako na sio kujifariji siijui watu flan ni mashoga wakat mnaish nao kila mahali utajuaje wakamuambikiza mwanao. Tafuta hela mzee acha mbambamba. Huwez kusema huu ni mkoa wako wakat huna kitu utanunuliwa tu uishie kuwa mlinzi wa godowns za watu kwenu. Dunia haihitaji maneno wala hatuna muda wa kupoteza. Sala kazi na elimu ndio uhakika wa future generations yako sio maneno.
 
Kipya kipo maana hizo hadhi Zina maana sana kwenye mgawanyo wa rasilimali..

Bajeti ya Jiji ni tofauti na Bajeti ya Halmashauri,Kuna upendeleo Fulani wa status
Huwezi kupewa ruzuku kubwa kwa sababu tu una hadhi ya jiji, bali unaweza kupunguziwa ruzuku kwa kuwa una hadhi ya jiji. Mji ukishatangazwa tu kuwa ni jiji, maana yake kimapato wanajiweza kujiendesha, mapato yao ya ndani ni toshelevu kujiendesha!
Hii ni kanuni rahisi. Wanasiasa wanapenda hizo hadhi za kuwa jiji ili wapige fresh kwenye miradi, maana wanapewa mamlaka makubwa ya kukusanya na kukopa bila kuingiliwa ovyo ovyo.
 
Eti wazaramo ukabila tu ...wajinga mmekimbia kuuliwa huko migombani..Kwani nan ambaye hafuati fursa .

Sehemu yenye maendeleo ndo inafuatwa sana mbona December mnaenda kwenu ,na sio kubaki kwenu na kuzipeleka izo kutengeneza fursa zikawa kwenu ?

Hili ni jiji hamna ukabila wala udini watu wote wanapiga mishe matajiri wakubwa bongo ni waarabu nyie wachuuzi Endeleeni kuwa madalali.
Si unaona sasa uwezo wako mdogo sana. Hiv ushaendaga kwa mfano China ukakuta China New year watu wanavyoenda kwao hilo nyomi au wakat wa Christmas ndege zinakuambia high seasons. Mzee jamii yote iliyoendelea lazima nyakat za mwisho wa mwako inaenda kwao au sehemu kupumzika. We unazungumzia mhind au mwarabu kwani hujui waliletwa na mzungu kwa kaz gan Africa. Tafuta mjin wowote hapa nchini halafu katika matajir 20 ukose hapo mchagga. We utabaki kusema mashoga sijui wachawi matapeli cjui mashetan Lakin wenzio ndio wanaenda hivyo wewe utarithi maneno tu sio mipango.
 
Huo utaratibu wa kizamani Tena ushamba ..most ya ndugu zako hawaedni kwa sasa kama unabisha fuatilia washastaarabika wale ni wachache sana.

Yaani mko kibao town wakiwa wengin wanaenda ,tulieni kwenu hatutaki matapeli ,mji gani wajane kibao
 
Tofauti yao ni nini? Tena bora wa Dodoma. We umefika Dar juzi inaonekana acha ulimbukeni acha kupotoshwa na maghorofa ya watu huko kuna umaskini haupo miji mingine Tanzania.
Tunajadili hoja hapa,hakuna aliyejifanya limbukeni.
Mwananchi wa Dar ni bora kuliko Dodoma kweli si kweli?
 
Huo utaratibu wa kizamani Tena ushamba ..most ya ndugu zako hawaedni kwa sasa kama unabisha fuatilia washastaarabika wale ni wachache sana.

Yaani mko kibao town wakiwa wengin wanaenda ,tulieni kwenu hatutaki matapeli ,mji gani wajane kibao
Haya ndio maneno utabakiwa nayo Chief nothing more
 
Bukoba mbona ishaanza kuandaliwa...kuna vyuo vikuu viwili vinajengwa UDSM tawi la bukoba na campus ya chuo cha Mandela....na hapo juzi kumefunguliwa chuo cha veta...

Jana wamefungua taa za kuongoza magari na zile za kuwasha mwanga...

Tender zimetangazwa za ujenzi wa stendi kuu na soko mwezi march ujenzi wa stendi unaanza...

Meli mv mwanza na mv Victoria zinaenda bukoba na mambo kibao tu
Yani Bukoba kulikua hakuna mataa ya kuongozea magari mpaka leo?
Inazidiwa mpaka na Musoma?
 
Hiyo Kahama yenu mnayoioigia chapuo zaidi ya kuwa na watu wengi kwingine kote ni hovyo..

Sasa Kahama na Tunduma wapi mjini? Kwa hiyo iandaliwe kuwa Jiji?
Nimefika Tunduma 2022 na nilifika Kahama 2020. Kuzilinganisha sehemu hizi ni kutotenda haki! Kahama level zingine na ukae ukijua palipo na watu wengi ndipo penye maendeleoo. Kahama pesa Ipo na Ukitaka kutoaboa maisha bila uchawi nenda Kahama.....

Fursa za kumwaga;
Kilimo,madini,biashara na harakati kibao zipoooo.
 
Kwa hiyo Kahama inaizidi Border ya Tunduma mzunguko wa pesa? Unaelewa unachokiandika kweli?

Watu wengi harafu maskini ni mzigo sio fursa ndio maana Dom inaingiza pesa kuliko Mwanza.

Baada ya kufika Tunduma ukakuta imekosa kipi ambacho Kahama kipo? Binafsi kama namwambia mtu katafute Maisha nitakwambia aende Tunduma badala ya Kahama.
 
A' ukute nabishana na mtu wa Kamsamba huko yeye kasimuliwa na shemeji yake aliifika Tunduma tu! Ninapoteza mdaa🤣🤣🤣. Utake usitake Kahama ni next level!

Hiyo Tunduma linganisha na Singida au Makambako hukooo😀😀.
 
Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama vyuo vikuu, viwanda, hospital, na kupima na kupanga mji mpya wa kisasa kama inavyofanyika Magufuli City Dodoma, ilituwe na miji ya kisasa inayovutia na kukidhi mahitaji ya wananchi.

Halikadhalika yafanyike miji ya Morogoro, Mtwara, Songea, Kigoma, Moshi, Sumbawanga na Kahama, pamoja na miji yenye idadi kubwa ya watu. Miji ipangwe na ijengwe kisasa atilist kila kanda tuwe na majiji walau mawili.
🤣🤣😆😅
 
Back
Top Bottom