Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

Kwan musoma kuna uwanja wa ndege? Kuna uwanja wa mpira wa nyasi bandia na wenye taa za usiku kama kaitaba, musoma kuna bandari yoyote inayofunction kama zile mbili za bukoba na kemondo, Angalia idadi ya majengo kati ya musoma na bukoba...musoma wanafeli wapi...musoma kuna chuo kikuu chochote kinachojengwa?


Maendeleo ni hatua na vipaumbele...kila mji una vipaumbele vyake..hats kuweka hayo mataa ya kuongoza magari sehemu zaidi ya tano mjini bukoba haikuwa lazima kiviile japo inasaidia kuongeza organisation ya mji....
Kwa hiyo hujui kwamba Uwanja wa ndege wa Musoma unaendelea na ujenzi as we speak?
 

Attachments

  • Mhe._Makongoro_akiizungumzia_Kahama(720p).mp4
    16 MB
Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo.

Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama vyuo vikuu, viwanda, hospital, na kupima na kupanga mji mpya wa kisasa kama inavyofanyika Magufuli City Dodoma, ilituwe na miji ya kisasa inayovutia na kukidhi mahitaji ya wananchi.

Halikadhalika yafanyike miji ya Morogoro, Mtwara, Songea, Kigoma, Moshi, Sumbawanga na Kahama, pamoja na miji yenye idadi kubwa ya watu. Miji ipangwe na ijengwe kisasa atilist kila kanda tuwe na majiji walau mawili.

Hii itasaidia sana kueneza maendeleo makubwa katika pembe zote za nchi, na itapunguza watu kukimbilia Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma na Arusha. Hivyo selikali itahudumia watu kirahisi wakiwa hukohuko kwenye miji yao.
Bukoba hii hii ya Kashai, Hamghembe na Migera😅 iwe bojooooo
 
Nimesema atilist miji miwili kila kanda,ukichagua miji miwili kanda ya nyanda za juu kusin,au kanda ya kati,huwezi kuiacha iringa.kwaiyo iringa nayo iandaliwe kua city.
dar ni mkoa ila uko ndani ya jiji la ilala
 
Mkeka upi wa mapato Mzee,acha vichekesho,hakuna mapato yoyoye ambayo Kahama inazidi Tunduma kuanzia mapato ya Halmashauri Hadi TRA..

Kahama ni kelele tuu,kama unabisha leta ushahidi,uko nyuma sana ya mda Mzee Kila benki iliyoko Kahama ipo na Tunduma pia.
Niletee branch ya KCB ,DTB,na Bank of Africa tunduma [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...nileft JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niletee branch ya KCB ,DTB,na Bank of Africa tunduma [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...nileft JF

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda DTB ndio sijawahi kujiona ila hizo zingine zipo kama zote.DTB huenda nayo ipo ila sijajua Iko wapi maana Mimi sio mkazi wa Tunduma japo ni nyumbani

Unaifahamu Tunduma nikuelekeze zilipo za KCB na BOA?
 
Moshi kwasasa ni chimbo la mashoga hata organization nyingi za mashoga zipo huko... Wanawake wa moshi wanalalamika wanaume wa moshi hawana nguvu za kiume inabidi kutafuta wanaume wa mikoa jirani. Ndio maana moshi ina migogoro mingi ya kifamilia kwasabab 90% ya watoto waliozaliwa moshi baba zao nikutoka nje ya ndoa...
Ushoga kwa sasa unanuka kila mahali hakuna mahali Kuna afadhali ,hii tabia imesambaa tokea tanga ,mtwara,geita,morogoro mpaka huko sumbawanga
 
Labda DTB ndio sijawahi kujiona ila hizo zingine zipo kama zote.DTB huenda nayo ipo ila sijajua Iko wapi maana Mimi sio mkazi wa Tunduma japo ni nyumbani

Unaifahamu Tunduma nikuelekeze zilipo za KCB na BOA?
DTB Huwa haiwekezi maeneo maskini yasiyo na mzunguko wa pesa ..na ndio maana huwezi wakuta wana mikopo ya wajasiriamali wadogo ,sijui account zisizo na charges ...,,ni benk ya matajiri na wafanya biashara wakubwa...ukiikuta tunduma niite mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha story leta ushahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
BOA Iko Sumbawanga road mkono wa kulia mbele kidogo ya Mjini Kati wanaitwa kisimani.

KCB Iko Pale Tanesco/Kilimanjaro ukivuka lami ya mtaa inayoenda Mjini Kati .

Nimekwambia hizo banks ziko siku nyingi sana wakati naishi Tunduma Sasa ni miaka Mingi nimetoka na Mji ulivyokuwa mkubwa bilas shaka banks nyingine kibao zitakuwa na matawi kama DCB na DTB,wanakoishi hapa wanaweza ongeza nyama.
 
Back
Top Bottom