Mji hauna hata mvuto sijui na alishuri mji ujengwe mlimaniNimesema atilist miji miwili kila kanda,ukichagua miji miwili kanda ya nyanda za juu kusin,au kanda ya kati,huwezi kuiacha iringa.kwaiyo iringa nayo iandaliwe kua city.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mji hauna hata mvuto sijui na alishuri mji ujengwe mlimaniNimesema atilist miji miwili kila kanda,ukichagua miji miwili kanda ya nyanda za juu kusin,au kanda ya kati,huwezi kuiacha iringa.kwaiyo iringa nayo iandaliwe kua city.
Sasa wewe mjinga,Songwe ni namba 6 Kwa mapato ya TRA Tanzania na 90% hizo pesa zinatooa Tunduma.DTB Huwa haiwekezi maeneo maskini yasiyo na mzunguko wa pesa ..na ndio maana huwezi wakuta wana mikopo ya wajasiriamali wadogo ,sijui account zisizo na charges ...,,ni benk ya matajiri na wafanya biashara wakubwa...ukiikuta tunduma niite mbwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu bwana ana matatizo gani?Mji hauna hata mvuto sijui na alishuri mji ujengwe mlimani
Utajiri unapimwa Kwa mapato ya TRA [emoji15].. you're dumb if not pathetic......mbeya inakusanya bilioni 70 .songwe inakusanya bilioni 117 ,,Kwa hyo tunduma ni mji Tajiri kuzidi mbeya [emoji849]..use your common senseSasa wewe mjinga,Songwe ni namba 6 Kwa mapato ya TRA Tanzania na 90% hizo pesa zinatooa Tunduma.
Tunduma TC inafuata baada ya Majiji Kwa mapato ,huo umaskini kama wa Kahama unatoka wapi?
Banks zinafuata GDP au kwenye pesa?Utajiri unapimwa Kwa mapato ya TRA [emoji15].. you're dumb if not pathetic......mbeya inakusanya bilioni 70 .songwe inakusanya bilioni 117 ,,Kwa hyo tunduma ni mji Tajiri kuzidi mbeya [emoji849]..use your common sense
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo swali unapaswa ujiulize wewe sio Mimi ..kwamba benki zanafata nini ....Banks zinafuata GDP au kwenye pesa?
Nionavyo mimi; majiji yaliyopo yaongezewe miundo mbinu inayofaa na bora. Kila jiji lilipo sasa- Tanga, Mbeya, Mwanza, Dodoma, na iongezwe Tabora kwa upande w Magharibi.Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo.
Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama vyuo vikuu, viwanda, hospital, na kupima na kupanga mji mpya wa kisasa kama inavyofanyika Magufuli City Dodoma, ilituwe na miji ya kisasa inayovutia na kukidhi mahitaji ya wananchi.
Halikadhalika yafanyike miji ya Morogoro, Mtwara, Songea, Kigoma, Moshi, Sumbawanga na Kahama, pamoja na miji yenye idadi kubwa ya watu. Miji ipangwe na ijengwe kisasa atilist kila kanda tuwe na majiji walau mawili.
Hii itasaidia sana kueneza maendeleo makubwa katika pembe zote za nchi, na itapunguza watu kukimbilia Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma na Arusha. Hivyo selikali itahudumia watu kirahisi wakiwa hukohuko kwenye miji yao.
Miji mingi ya Tz ni kama vijiji haina mpangilioHuyu bwana ana matatizo gani?
Kwani dar hakuna vumbi jekundu?Ondoa moshi na bukoba huko kumejaa vumbi nyekundu na ukabila na kujuana USSR
halafu usifananishe Moshi na uchafu boya wewe Kwanza taja mkoa unakotoka hapa ...Ondoa moshi na bukoba huko kumejaa vumbi nyekundu na ukabila na kujuana USSR
Toa uongo wako ..Hadi upate wajukuu ndo njombe iwe jijiUkiangalia kwa Sasa hata kimiradi mbalimbali utaona Kila kanda Kuna baadhi ya mikoa itatoa majiji kwa maandalizi ya Kanda ya ziwa MKOA WA SHINYANGA,nyanda za juu kusini MKOA WA NJOMBE, Kanda ya Kati SINGIDA, magharibi KIGOMA ,kaskazini KILIMANJARO, mashariki MOROGORO kusini MTWARA ukitembelea mikoa hii utagundua kitu
Naona jamaa njombe inakufanya mbaya na itaendelea kufanya mbaya mkoa una fursa lukuki ule subiri liganga na mchuchu waanze ndo utasaga meno mzeeToa uongo wako ..Hadi upate wajukuu ndo njombe iwe jiji
Mkoa Gani hauna fursa[emoji28][emoji12][emoji12].... mtwara wana gas lakin wako wapi[emoji12][emoji28][emoji28].we unadhani kuwa jiji ni suala la kuamka na kupewa [emoji28][emoji28][emoji28]Naona jamaa njombe inakufanya mbaya na itaendelea kufanya mbaya mkoa una fursa lukuki ule subiri liganga na mchuchu waanze ndo utasaga meno mzeeView attachment 2540418
Elewa mada lisikuchanganye Neno njombe maana inaonekana unaumia Sana na maendeleo ya mkoa wa njombe na bado utazidi kuwaletea moto Fursa zilizopo ndo Zinachochea mzee no other wise njombe go go pia serika inawekeza miundombinu ya kutosha ni mkoa ulio Anza jilan ila umeiacha mikoa mikongwe ya kutosha ni mwamko wa watu wa eneo husika na fursa zilizopoMkoa Gani hauna fursa[emoji28][emoji12][emoji12].... mtwara wana gas lakin wako wapi[emoji12][emoji28][emoji28].we unadhani kuwa jiji ni suala la kuamka na kupewa [emoji28][emoji28][emoji28]
Maana unakomaza shingo huijui Nini kinafanyika njombe 1 ujenzi wa bandari kavu ,2 ujenzi mantank ya mafuta kwaajili ya mikoa ya kusini, ujenzi wa soko la kimataifa la mazao ,ujenzi wa vyuo vikuu viwili , swala la miundo mbinu ya Barabara za lami na uwekaji taa huo umeshatandikwa Kila Kona inasubiliwa Barabara nne njombe to makambako masoko ya kisasa stendi zipo na zingine zinaendelea ko subiri utakujasikia kwanini tunakwambia ni moja ya mkoa unaoandaliwa na ardhi imepimwa ya kutosha na plan yake inafanana na dodoma Ina division nne ambazo kwa njombe saiz ni halmashauri kamili angalia hapo sio unabisha tu kumbe huijui loloteMkoa Gani hauna fursa[emoji28][emoji12][emoji12].... mtwara wana gas lakin wako wapi[emoji12][emoji28][emoji28].we unadhani kuwa jiji ni suala la kuamka na kupewa [emoji28][emoji28][emoji28]
Njombe inabahati sana ilipata kaupendeleo kama leo 2022 mkoa una watu lak8.ilikuaje ikatangazwa kua mkoa 2012.Maana unakomaza shingo huijui Nini kinafanyika njombe 1 ujenzi wa bandari kavu ,2 ujenzi mantank ya mafuta kwaajili ya mikoa ya kusini, ujenzi wa soko la kimataifa la mazao ,ujenzi wa vyuo vikuu viwili , swala la miundo mbinu ya Barabara za lami na uwekaji taa huo umeshatandikwa Kila Kona inasubiliwa Barabara nne njombe to makambako masoko ya kisasa stendi zipo na zingine zinaendelea ko subiri utakujasikia kwanini tunakwambia ni moja ya mkoa unaoandaliwa na ardhi imepimwa ya kutosha na plan yake inafanana na dodoma Ina division nne ambazo kwa njombe saiz ni halmashauri kamili angalia hapo sio unabisha tu kumbe huijui lolote View attachment 2540594View attachment 2541443View attachment 2541445