Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Acha kutuletea raman zako uchwara hapa..jiji sio Raman,,na jiji sio sifa za mkoa..jiji ni mji mkubwa wenye sifa zifuatazo .Maana unakomaza shingo huijui Nini kinafanyika njombe 1 ujenzi wa bandari kavu ,2 ujenzi mantank ya mafuta kwaajili ya mikoa ya kusini, ujenzi wa soko la kimataifa la mazao ,ujenzi wa vyuo vikuu viwili , swala la miundo mbinu ya Barabara za lami na uwekaji taa huo umeshatandikwa Kila Kona inasubiliwa Barabara nne njombe to makambako masoko ya kisasa stendi zipo na zingine zinaendelea ko subiri utakujasikia kwanini tunakwambia ni moja ya mkoa unaoandaliwa na ardhi imepimwa ya kutosha na plan yake inafanana na dodoma Ina division nne ambazo kwa njombe saiz ni halmashauri kamili angalia hapo sio unabisha tu kumbe huijui lolote View attachment 2540594View attachment 2541443View attachment 2541445
1 : population watu laki 5 + (njombe mjini hata laki na nusu hawafiki)
2: mapato independent asilimia 95
3 : asilimia 95 ya wakazi hawategemei kilimo
4: miundombinu ya kisasa, viwanda, recreation center,nk
.................
Kwa hyo kuzeni kwanza hako ka mji walau mfikie manispaa ndio muanze city dream
Sent using Jamii Forums mobile app