IringaUlipoiacha iringa sijakuelewa kabisa
Yaa hivyo ndivyo ina paswa kua,yafanyike na miji mingine.Bukoba mbona ishaanza kuandaliwa...kuna vyuo vikuu viwili vinajengwa UDSM tawi la bukoba na campus ya chuo cha Mandela....na hapo juzi kumefunguliwa chuo cha veta...
Jana wamefungua taa za kuongoza magari na zile za kuwasha mwanga...
Tender zimetangazwa za ujenzi wa stendi kuu na soko mwezi march ujenzi wa stendi unaanza...
Meli mv mwanza na mv Victoria zinaenda bukoba na mambo kibao tu
Nimesema atilist miji miwili kila kanda,ukichagua miji miwili kanda ya nyanda za juu kusin,au kanda ya kati,huwezi kuiacha iringa.kwaiyo iringa nayo iandaliwe kua city.Ulipoiacha iringa sijakuelewa kabisa
Bado sijaelewa mantiki ya hoja.Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo.
Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama vyuo vikuu, viwanda, hospital, na kupima na kupanga mji mpya wa kisasa kama inavyofanyika Magufuli City Dodoma, ilituwe na miji ya kisasa inayovutia na kukidhi mahitaji ya wananchi.
Halikadhalika yafanyike miji ya Morogoro, Mtwara, Songea, Kigoma, Moshi, Sumbawanga na Kahama, pamoja na miji yenye idadi kubwa ya watu. Miji ipangwe na ijengwe kisasa atilist kila kanda tuwe na majiji walau mawili.
Hii itasaidia sana kueneza maendeleo makubwa katika pembe zote za nchi, na itapunguza watu kukimbilia Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma na Arusha. Hivyo selikali itahudumia watu kirahisi wakiwa hukohuko kwenye miji yao.
Ili ufike iyo hadhi kuna huduma lazima ziwepo hospitali ya rufaa,maji,barabara,vyuo vikuu, hizo huduma selikali ndio yenye wajibu wa kuzileta.mji ukipandishwa hadhi kuna faidi ya miradi mfano,benk ya dunia ina miradi ya tactic,majiji wana miradi mingi kuliko manispaa,na manispaa zina miradi mingi kuliko halmashauli za miji.lakini hata matumizi ya mapato ya ndani jiji wanatumia 80%,manispaa wanatumia 60%, miji wanatumia 40% ya mapato waliyo kusanya.Mji hauandaliwi kuwa jiji ndugu, mji unafika hadhi flani ya juu ukikidhi vigezo husika. Ktk miji uliyoitaja bado hakuna mji uliofikia hadhi uliyoitaja. Hata Dodoma aliilazimisha Magufuli kuwa jiji pamoja na Kahama kuwa manispaa ilikuwa ni kile kiburi cha urais kujiamulia bila kufuata taratibu zilizowekwa. Hakuna mwananchi anayekimbilia mji flani eti ni jiji.
Kwani umeambiwa kujengwa vyuo Vikuu ndio kuandaliwa kuwa Jiji?Bukoba mbona ishaanza kuandaliwa...kuna vyuo vikuu viwili vinajengwa UDSM tawi la bukoba na campus ya chuo cha Mandela....na hapo juzi kumefunguliwa chuo cha veta...
Jana wamefungua taa za kuongoza magari na zile za kuwasha mwanga...
Tender zimetangazwa za ujenzi wa stendi kuu na soko mwezi march ujenzi wa stendi unaanza...
Meli mv mwanza na mv Victoria zinaenda bukoba na mambo kibao tu
"Wazee" tu!Bukoba Moshi na Tabora kamwe hawawez kupata majiji... Mikoa imejaa ushirikina ukabila ubinafsi na wazee tu...
Hiyo Kahama yenu mnayoioigia chapuo zaidi ya kuwa na watu wengi kwingine kote ni hovyo..Kahama city, hiii sawa inafaa kuwekewa mikakati.Bukoba,Moshi na Tabora nikupoteza mda ni sawa na kutoa Mahalia kwa mazi ambaye hujawahi Kuonana nae/ hakutaki.
Na Chattle City iwemo.Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo.
Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama vyuo vikuu, viwanda, hospital, na kupima na kupanga mji mpya wa kisasa kama inavyofanyika Magufuli City Dodoma, ilituwe na miji ya kisasa inayovutia na kukidhi mahitaji ya wananchi.
Halikadhalika yafanyike miji ya Morogoro, Mtwara, Songea, Kigoma, Moshi, Sumbawanga na Kahama, pamoja na miji yenye idadi kubwa ya watu. Miji ipangwe na ijengwe kisasa atilist kila kanda tuwe na majiji walau mawili.
Hii itasaidia sana kueneza maendeleo makubwa katika pembe zote za nchi, na itapunguza watu kukimbilia Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma na Arusha. Hivyo selikali itahudumia watu kirahisi wakiwa hukohuko kwenye miji yao.
Hahahaa Tunduma Kuna branch ngapi za Bank.. Kahama habari nyingine fatilia mkeka wa Mapato kwenye taifa utajua Kahama habari nyingine.Hiyo Kahama yenu mnayoioigia chapuo zaidi ya kuwa na watu wengi kwingine kote ni hovyo..
Sasa Kahama na Tunduma wapi mjini? Kwa hiyo iandaliwe kuwa Jiji?
Hicho ulichokiandika hakiko sahihi sana.Ili ufike iyo hadhi kuna huduma lazima ziwepo hospitali ya rufaa,maji,barabara,vyuo vikuu, hizo huduma selikali ndio yenye wajibu wa kuzileta.mji ukipandishwa hadhi kuna faidi ya miradi mfano,benk ya dunia ina miradi ya tactic,majiji wana miradi mingi kuliko manispaa,na manispaa zina miradi mingi kuliko halmashauli za miji.lakini hata matumizi ya mapato ya ndani jiji wanatumia 80%,manispaa wanatumia 60%, miji wanatumia 40% ya mapato waliyo kusanya.
Sio lazima kuwe jiji...bali ni kuwa na huduma zote muhimu za kimji...Kwani umeambiwa kujengwa vyuo Vikuu ndio kuandaliwa kuwa Jiji?
Kipya kipo maana hizo hadhi Zina maana sana kwenye mgawanyo wa rasilimali..Kwangu mimi, mji kung'ang'ania kupewa hadhi ya kuitwa jiji ni kwa 99% ni suala la kutafuta sifa tu (Pride), hakuna kipya au kikubwa sana katika maisha ya watu.
Nini kimepungua kimaisha kwa wakazi wa Dar kunyang'anywa hadhi ya jiji?
Nini kimeongezeka kimaisha kwa wakazi wa Ilala wao pekee kubakia na hadhi ya jiji katika mkoa wa Dar?
Ina uhusiano upi na kuwa na jijiMoshi kwasasa ni chimbo la mashoga hata organization nyingi za mashoga zipo huko... Wanawake wa moshi wanalalamika wanaume wa moshi hawana nguvu za kiume inabidi kutafuta wanaume wa mikoa jirani. Ndio maana moshi ina migogoro mingi ya kifamilia kwasabab 90% ya watoto waliozaliwa moshi baba zao nikutoka nje ya ndoa...
Ungekuwa na akili ungejiuliza nini wazungu walifuata america au Australiasian au hata Africa kusin wakazikalia mpaka Leo. Kwa akili zako ungesema wazungu wamekimbia utapeli na uchawi. Bro stuka mahali popote panakuwa pako ukiwa na hela huna hela subir wanaume watakuja kukuhamisha tu kama sio wewe wanao. Kama huamini waulize wazaramo kwanini hawapo dar wamekimbilia huko porin. Usipoteze muda chief katafute hela usikike hiz stor za kwenye kahawa waachie waliofilisika akili bro.Fursa zip zaidi ya utapeli tu!! Eti fursa za wajinga wakati hamtaki kukaa kwenu mtarogana ..
Mkeka upi wa mapato Mzee,acha vichekesho,hakuna mapato yoyoye ambayo Kahama inazidi Tunduma kuanzia mapato ya Halmashauri Hadi TRA..Hahahaa Tunduma Kuna branch ngapi za Bank.. Kahama habari nyingine fatilia mkeka wa Mapato kwenye taifa utajua Kahama habari nyingine.
Eti wazaramo ukabila tu ...wajinga mmekimbia kuuliwa huko migombani..Kwani nan ambaye hafuati fursa .Ungekuwa na akili ungejiuliza nini wazungu walifuata america au Australiasian au hata Africa kusin wakazikalia mpaka Leo. Kwa akili zako ungesema wazungu wamekimbia utapeli na uchawi. Bro stuka mahali popote panakuwa pako ukiwa na hela huna hela subir wanaume watakuja kukuhamisha tu kama sio wewe wanao. Kama huamini waulize wazaramo kwanini hawapo dar wamekimbilia huko porin. Usipoteze muda chief katafute hela usikike hiz stor za kwenye kahawa waachie waliofilisika akili bro.