Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

Acha kutuletea raman zako uchwara hapa..jiji sio Raman,,na jiji sio sifa za mkoa..jiji ni mji mkubwa wenye sifa zifuatazo .
1 : population watu laki 5 + (njombe mjini hata laki na nusu hawafiki)
2: mapato independent asilimia 95
3 : asilimia 95 ya wakazi hawategemei kilimo
4: miundombinu ya kisasa, viwanda, recreation center,nk
.................
Kwa hyo kuzeni kwanza hako ka mji walau mfikie manispaa ndio muanze city dream


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu lak tano si mchezo
 
Comment zinazotolewa hazioneshi uwezo wa watu kujua ni kwa nini wanahitani Miji yao kuwa Majiji!

Ningetarajia watu tuanze kuchambua maeneo yenye kufanyia kazi ili Uchumi wa Mji huo ukue...

Jiji maana yake ni UWEZO WA KIFEDHA....

SIYO ZA KULETWA TU NA SERIKALI BALI UWEZO WA WATU KTK KUKUZA UCHUMI...
 
Natokea kilimanjaro ila bado sana moshi kuwa jiji kuna kazi kubwa ifanyike tuwe wakweli. Naipenda sana moshi yetu ila dah hapana kuna namna ifanyike kwanza hata na wilaya zinazoizunguka moshi zichangamke kidogo ndio pawe jiji
 

Lakini pia halina hasara pia kwa maendeleo
 

Hili la Tunduma na Kahama linahitaji a thorough analysis. Binafsi nimeshafika huko kote na kila sehemu iko busy. Nafikiri, Tunduma inaweza kuwa juu kibiashara kuliko Kahama. Ki mpangilio Kahama inaizidi Tunduma, ila kwa mambo ya forex, Tunduma inaizidi miji yote Tanzania labda DSM pekee, na jamaa wako updated sana na kila bei ya fedha za kigeni
 
Mkoa Gani hauna fursa[emoji28][emoji12][emoji12].... mtwara wana gas lakin wako wapi[emoji12][emoji28][emoji28].we unadhani kuwa jiji ni suala la kuamka na kupewa [emoji28][emoji28][emoji28]

Kasi ambayo ilikuja nayo Mtwara, hakuna mji hata mmoja uliweza kuifikia. Tatizo likaja baada ya kubadili policy, kila kitu kikapotelea hapo, na kwa mtu aliyefika Mtwara ataona kuwa kuna kitu kikubwa kilikuwepo na kipo
 
wahaya banana...juz mama tibaijuka Kasema bukoba ni kma Rio de jenario Brazil
 
Mbeya ni jiji na Minessota ni jiji,
Dar es Salaam ni jiji na Dallas ni jiji.
Arusha ni jiji na Alabama ni jiji.
Mwanza ni jiji na Munich ni jiji.
Kwa Ivo ondoa shaka tutalifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…