Kibondo nadhani ndio inaongoza kwa Tz, kiangazi vumbi, masika tope la kuzamisha mpk miguu. Na masika huku safari ya saa moja mnaweza tumia siku nzima kwsbb magari yanatelezaKwa comments za humu inaonekana kila mahali Tanzania kuna vumbi ila Kibondo kwangu mimi ni balaa. Utofauti mara nyingi huletwa na rangi ya udongo. Vumbi la udongo mwekundu ni hatari sana bora kuna sehemu zina vumbi lakini sio jekundu hivyo halichafui sana.
Tarime napo Nomaaa...kama KasuluUmesahau Tarime mjini
Hapana. Tangu 1995 Karatu imekuwa CHADEMA. Kama sio Jiwe hata 2020 ingeendelea kuwa CHADEMAZote ni ngome za ccm
Hilo la kutembea Km 100 unawasingizia bana! Maendeleo pia sio hawayataki, ila wamecheleweshewa.Pole, Kibondo wenyewe wanasema hawataki maendeleo kwani siku zote walikuwa wanaishije? Waha kwa ubishi kwa kweli hawajambo, yaani wanawazidi wanyamwezi na waluguru kwa ubishi wa kijinga, Muha haoni hasara kutembea kilomita 100 na kulisusa basi kisa limechelewa kufika kituoni muda uliokadiriwa.
Safiri siku moja kwenda liwale lindi huko, kiangazi vumbi mpaka mafua kifuku ndo maji yanakata barabara kukwama kawaida serikali iwaonee huruma wakazi wa huko wanateseka sanaKibondo nadhani ndio inaongoza kwa Tz, kiangazi vumbi, masika tope la kuzamisha mpk miguu. Na masika huku safari ya saa moja mnaweza tumia siku nzima kwsbb magari yanateleza
Morogoro mjini mitaa ya Tubuyu/Tungi ni noma!Morogoro mjini kutokuwepo ktk orodha uzi huu ni batrih
Hicho kipande ni kisanga kwa podaSitoa sahau vumbi ndani ya treni kipande cha moshi to arusha,aisee na vile behewa letu lilikua mwisho,sijawahi kula vumbi kama hilo toka nizaliwe,fikiria ndani ya behewa huwezi muona jirani yako kisa vumbi[emoji28].
Makambako Kuna nafuuOrodha hii bila Makambako ni batili
Haifanyi lolote au mahitaji ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali? Unajua gharama ya kujenga km 1 ya Barabara? Kuna Miji mingapi hapa Tanzania? Ukuaji wa Miji unaosababishwa na Ongezeko la watu haiendani na uwezo wa Serikali.😂😂😂
Inatia aibu sana serikali yetu inayodai kazi iendelee haifanyi lolote kuondoa haya...
Watakusikia wenzako, urudi ndani ya Mwezi Moja utuambie vumbi sio tatizo tena hayo maeneo umetaja na mengineyo
Geita Iko wapi? Kiufupi Miji Yenye nafuu ni Ile ambayo walau Ina Ardhi ya kichanga tofauti na hapo ni majanga tupu.Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Kakudanganya nani? Miji inakuwa sana kuliko uwezo wa Serikali kuhudumiaNasikia Dodoma kila sehemu wametandaza lami kwa hio hakuna vumbi kabisa
Hata Mimi nawashangaa wakati Kuna Miji ya Wilaya hakuna hata km 1 ya lami au kama zipo haizidi hata 4 sembuse hiyo Miji mikubwa walau mjini kati Kuna lami.sehemu kubwa ya nchi ni vumbi, wana mpo US nini!
Dodoma Kuna Baridi? Acha mzaha basi hata huo upepo ni Kwa sababu ya msimu wa upepo ambao Huwa unaanza mwezi wa 6 Hadi wa 10Ila dodoma nyie kuna upepo na baridi sijawahi ona. Bahati nzuri nilifikia area D sikuona hata vumbi sikupata bahati ya kutembea kwa miguu ila baridi na upepo watu wa dodoma mtakuwa mmepauka balaa.
Hii ni kweli pale Mbinga Mjini ni vumbi jekundu kabisaOrodha bila Mbinga kuna ubadhirifu
Pandeni miti,kimji liko kama jangwani hovyo kabisaNiliposoma kichwa cha uzi nikasema kama Tunduma haipo basi hiyo list ni batili.
dah hatari sanaAfu sehemu za vumbi hazina nafuu ikiwa wakati wa mvua hilo tope lake ni balaa
Nakumbuka kasulu wakati wa mvua watu wanatembea kama wapo kwenye moon ni mwendo wa kutembea kwa kuinua miguu kama imewekewa mzigo
Mbeya Kuna miti inapunguza vumbi wakati wa upepo mkaliMbeya iko wap
Igunga home uniambii kitu kuna vumbi kinyamaHakuna vumbi pale
Usibishe mkuu kitu usichokua na uhakika nacho.Dodoma Kuna Baridi? Acha mzaha basi hata huo upepo ni Kwa sababu ya msimu wa upepo ambao Huwa unaanza mwezi wa 6 Hadi wa 10