Kibondo nadhani ndio inaongoza kwa Tz, kiangazi vumbi, masika tope la kuzamisha mpk miguu. Na masika huku safari ya saa moja mnaweza tumia siku nzima kwsbb magari yanatelezaKwa comments za humu inaonekana kila mahali Tanzania kuna vumbi ila Kibondo kwangu mimi ni balaa. Utofauti mara nyingi huletwa na rangi ya udongo. Vumbi la udongo mwekundu ni hatari sana bora kuna sehemu zina vumbi lakini sio jekundu hivyo halichafui sana.