Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Kwa morombo, Moshono, Lengijave, Kisongo, Ngaramtoni na Chekereni. Hizo sehemu sio poa
Kaka huko kusafi sana hujatembea .cheki chini mziki wa kasulu
 
Attachments

  • Screenshot_20230829-201405_Chrome.jpg
    Screenshot_20230829-201405_Chrome.jpg
    222.2 KB · Views: 6
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. BOMANG'OMBE, Hai
4. SONGEA
5 TUNDUMA
6. ORKESMET, Simanjiro.
7. DODOMA
8. MERERANI
9. KIBONDO
10. MTO WA MBU
Mlitaka vumbi liende wapi kwa mfano!
 
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. BOMANG'OMBE, Hai
4. SONGEA
5 TUNDUMA
6. ORKESMET, Simanjiro.
7. DODOMA
8. MERERANI
9. KIBONDO
10. MTO WA MBU
Mto wa mbu monduli umedanganya wasiopajua
 
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. BOMANG'OMBE, Hai
4. SONGEA
5 TUNDUMA
6. ORKESMET, Simanjiro.
7. DODOMA
8. MERERANI
9. KIBONDO
10. MTO WA MBU
Ondoa Dodoma,huko kwengine kote sawa,hiyo Dodoma unayojua wewe ya mwaka gani...,?
 
Back
Top Bottom