Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vumbi wanaliita Ngunja...yaani lile vumbi la brown11. Nachingwea
Mianzini, ilboru na sakina kabla ya lami hilo vumbi balaa,Kwa morombo, Moshono, Lengijave, Kisongo, Ngaramtoni na Chekereni. Hizo sehemu sio poa
10 vumbi lake sio kabisaHii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. BOMANG'OMBE, Hai
4. SONGEA
5 TUNDUMA
6. ORKESMET, Simanjiro.
7. DODOMA
8. MERERANI
9. KIBONDO
10. MTO WA MBU
Weeee thubutu! Tena tuliojenga mitaa mipya ndio tabu tunaipata sababu hakuna miti ya kutosha.Nasikia Dodoma kila sehemu wametandaza lami kwa hio hakuna vumbi kabisa
😂 😂 😂 😂Kibondo na Kasulu, ukitembea sana unaanza kucheua vumbi.....
na kulivyo na upepo ni hatari tupu.Nasikia Dodoma kila sehemu wametandaza lami kwa hio hakuna vumbi kabisa
hii wapi au ndio kasulu yenyewe
Geita vumbi LA poda lipo sana tuMianzini, ilboru na sakina kabla ya lami hilo vumbi balaa,
But Geita vipi
Ila Karatu balaa
Duuh Kwa hiyo serekali uzuie upepo aisee , Kwa mfano vumbi la Dodoma linatokana na upepo[emoji23][emoji23][emoji23]
Inatoa aibu sana serikali yetu inayodai kazi iendelee haifanyi lolote kuondoa haya...
Watakusikia wenzako, urudi ndani ya Mwezi Moja utuambie vumbi sio tatizo tena hayo maeneo umetaja na mengineyo
Mianzini kama unapanda kwenda Ilkiding'a balaa lake zito. Karatu wapinzani wake bado hawajapatikana.Mianzini, ilboru na sakina kabla ya lami hilo vumbi balaa,
But Geita vipi
Ila Karatu balaa