Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. BOMANG'OMBE, Hai
4. SONGEA
5 TUNDUMA
6. ORKESMET, Simanjiro.
7. DODOMA
8. MERERANI
9. KIBONDO
10. MTO WA MBU
Hii list bila Mbeya ni batili
 
Kibondo aisee, nilikosa basi nikapandishwa nyuma kwenye boot ya probox aisee kufika nyakanazi ilibidi tu nisitishe safari Kwanza nichukue guest niende kununua pamba mpya kwanza
Pole, Kibondo wenyewe wanasema hawataki maendeleo kwani siku zote walikuwa wanaishije? Waha kwa ubishi kwa kweli hawajambo, yaani wanawazidi wanyamwezi na waluguru kwa ubishi wa kijinga, Muha haoni hasara kutembea kilomita 100 na kulisusa basi kisa limechelewa kufika kituoni muda uliokadiriwa.
 
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. BOMANG'OMBE, Hai
4. SONGEA
5 TUNDUMA
6. ORKESMET, Simanjiro.
7. DODOMA
8. MERERANI
9. KIBONDO
10. MTO WA MBU
Bila Mvumi na Kongwa hii orodha Nina mashaka nayo....
 
Back
Top Bottom