Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

10 vumbi lake sio kabisa
 
Nasikia Dodoma kila sehemu wametandaza lami kwa hio hakuna vumbi kabisa
Weeee thubutu! Tena tuliojenga mitaa mipya ndio tabu tunaipata sababu hakuna miti ya kutosha.

Mtu nyumba ina madirisha 10, walau kila mwezi pqzia zishushwe zifuliwe, pazia zaidi ya 30 na madirisha yote yaoshwe ni tabu kubwa sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Inatoa aibu sana serikali yetu inayodai kazi iendelee haifanyi lolote kuondoa haya...

Watakusikia wenzako, urudi ndani ya Mwezi Moja utuambie vumbi sio tatizo tena hayo maeneo umetaja na mengineyo
Duuh Kwa hiyo serekali uzuie upepo aisee , Kwa mfano vumbi la Dodoma linatokana na upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…