Skid Row Boy
JF-Expert Member
- Mar 15, 2023
- 290
- 401
Lilac, Kona ya Mbulu walau zipo karibu na barabara ya lami. Kwingine ni urojo wa vumbi sio mchezo kama.Nimetembea karibu nchi zote za SADC na EAC bado mpinzani wa Karatu hajapatikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lilac, Kona ya Mbulu walau zipo karibu na barabara ya lami. Kwingine ni urojo wa vumbi sio mchezo kama.Nimetembea karibu nchi zote za SADC na EAC bado mpinzani wa Karatu hajapatikana.
Vumbi la Igunga mpaka upepo upige ndio unaliona. Tunduma unapotembea unakanyaga poda la kutosha, sijawahi kuona vumbi la kutisha kama hilo.Igunga home uniambii kitu kuna vumbi kinyama
Malila uiache uyole yetu🤒Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Hata tunduma sio sehem zote open space ambazo malori yana kanyaga ndio unakutana na hiyo poda hatariVumbi la Igunga mpaka upepo upige ndio unaliona. Tunduma unapotembea unakanyaga poda la kutosha, sijawahi kuona vumbi la kutisha kama hilo.
Bora, ilikuwa hatariWalau siku hz kuna lami
... nimefuatilia huu uzi kwa umakini sana. It seems maeneo yenye vumbi kali ndio yanayolisha hii nchi; ndiko kilimo kiliko kuanzia nafaka, jamii za kunde, mboga mboga, viazi ulaya, matunda, ndizi, etc. Cha muhimu ni serikali kuboresha miundombinu ya barabara kwa kuweka lami ila mashambani libarikiwe vumbi linalotupa chakula.Kuna maeneo yana vumbi ila kwa kuwa ina miti mingi ya kukinga nimeona niiache. Kule Buhigwe kuna poda ya ukweli ila kwa kuwa kuna miti mingi huwa haitajwi sana. Kusingekuwa na mazingira kama yale basi ingekuwa balaa. Hata Moshi kuna udongo kama wa Karatu ila kutokana na uoto wa asili maeneo mengi yanaonekana hayana vumbi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kakonko imefikiwa!uliwahi kufika kakonko & kibondo kigoma
Mara ya kwanza kupita Nyakanazi hadi Kasulu ilikuwa 2014 nilikua naenda harusini. Hiyo njia yote ilikuwa sio poa vumbi lake.... hadi leo huwa najiuliza watu wa Kigoma walifanyaga kosa gani kwa serikali hadi maendeleo kutopelekwa mikoa hiyo? Kwa mfano kwenye umeme wameunganishwa na gridi ya taifa majuzi tu Makamba akiwa waziri. Barabara ya Nyakanazi - Kasulu ndo inajengwa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kakonko imefikiwa!
Pamefikiwa huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kakonko imefikiwa!
Mbeya mjini kuna lile powder la JohnsonHii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Karatu kuna vumbi la kufa mtu,hakuna mabati meupe hukoHii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Cha kuchekesha wakati tunaenda Kanisani tukakutana na shoe shine tukajifanya kupolish....... asilimia kubwa tukiwa wageni,njia ya Kanisani sasa daah......baada ya kuuliza nikaambiwa nikwasababu eneo lile ni mkondo wa njia ya Tanzanite Arusha,na kipindi cha mvua kunakuwa kama Lami[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28] sipati picha
Joanah mambo, karibu unitembelee Kasulu.
Kama unabisha wewe waangalie watu Kigoma kama Baba Levo....Duuu!!!
Boy
Acha ujinga wew[emoji851][emoji851][emoji851]
Unacheuaje vumbi[emoji41][emoji41][emoji41]
Aliyesema "Kigoma Mwisho wa Reli" hakukosea kabisa....hiyo sehemu ni hatari sana, hiyo barabara ya kutoka nyakanazi to kasulu
Aisee🤔😂😂😂
Inatia aibu sana serikali yetu inayodai kazi iendelee haifanyi lolote kuondoa haya...
Watakusikia wenzako, urudi ndani ya Mwezi Moja utuambie vumbi sio tatizo tena hayo maeneo umetaja na mengineyo