Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Acha kujitoa ufahamu umesoma title ya thread au umekurupuka kutokana na chukizako+wivu kwa Dodoma.Kinachozungumziwa ni miji sio mikoa.Sikuzote huwa unakua negative kuhusu Dom wewe mdada.Sijui walikukosea nini watu wa huko ....sijawahi kuona ukicomment chochote positive kuhusu Dom.
Makubwa...mbona una hasira sana brother...wivu Kwa lipi?!!chuki Kwa lipi?!!Kwani hakuna vumbi?!!!
Una makasirikio sana brother punguza kisirani sio Mimi niliyekufanya uishi uswekeni[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]

Ndio km Kuna vumbi tusiseme?!!Wilaya ya Bahi,Wilaya ya Mpwapwa,Chamwino na Kongwa Kuna sehemu ya Vumbi la Kigoma hapo mjiji kwenyewe Kuna vumbi kama lote tembea sehemu zisizo na lami uone June July!!!!Kuna Vumbiiiii ukitoka nje ya alami kidogo Tena Vumbi bayaaaa la kufanya watu wapauke wafuabe fiiiii...ukikasirika shauri Yako!!!
Kumbe una hasira na miye weeee[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]pole sana bwana Masare njoo unipige Sasa Niko Hapa Msalato Maeneo ya Mondo Lodge KĂ ribu na kiwanda Cha alizeti
Ukiona nakukera niweke ignore list!!
 
Acha kutaja vijijini huko,kwa jinsi hiyo hakuna kijiji nchi hii kisicho na vumbi,ukiondoa vile vya mikoa ya pwani ambako ardhi yake ni ya kichanga,hapa tunazungumzia urban,Dodoma kwa sasa pako vizuri sana ukilinganisha na miaka 20 iliyopita...
Hapo dodoma mjini kuanzia bible kueleka nkuhungu hakuna lami, Toka ihumwa nenda maeneo ya kule juu hakuna lami,Toka mnada mpya elekea Zuzuz ufurahie shoo au elekea mbwanga Huku ukiacha kutembea kwenye lami kidogo TU unakutana na Vumbi takatifu sana,Wilaya za Mpwapwa,Chwamino ni Vumbi tupu...
Ukichepuka kidogo ardhini kusiko na lami unapauka balaa,Kuna dongo baya hasaa
Sehemu nyingi zina Udogo wa Vumbi hapo mjini...
 
Poleni nilikaa siku 2 ngozi ikabadilika na hapo natoka nje kwa masaa tu, nikajiuliza vip wakazi wa huku wana hali gani? Huko vijijini si watoto watakuwa wamepauka sana na kuumwa homa ya baridi? No siwezi ishi dom.
Wakija wenyewe watasema una wivu dada...na mkoa wao!!![emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kama Mbeya pana vumbi la kawaida basi kumbe Kuna sehemu Zina vumbi.

Vumbi la Mbeya linavyonikera,msinambie Kuna sehemu Kuna vumbi zaidi ya hili!
Tanzania hakuna sehemu isiyo na Vumbi miji yote Ina Vumbi ila Kuna wale funga kazi
 
Kumbe ulikuja na hausemi[emoji16].
Mbeya kuvaa open shoes unakuwa kama umetoka kuchunga ng'ombe miguuni.

Wataalam wanakuambia eti Mbeya hakuna vumbi.
Itabidi tutembelee na huko Kigoma na Arusha sijui Hai
Tukajionee vumbi la VIP.
Nilikuja boss najua uko town ndo mana nimechuna, vumbi mi jingi na ule upepo mkali na vile vibajaji ndo kabisa,hivi kuna mkoa una bajaji nyingi kama Mbeya?
 
Makubwa...mbona una hasira sana brother...wivu Kwa lipi?!!chuki Kwa lipi?!!Kwani hakuna vumbi?!!!
Una makasirikio sana brother punguza kisirani sio Mimi niliyekufanya uishi uswekeni[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]

Ndio km Kuna vumbi tusiseme?!!Wilaya ya Bahi,Wilaya ya Mpwapwa,Chamwino na Kongwa Kuna sehemu ya Vumbi la Kigoma hapo mjiji kwenyewe Kuna vumbi kama lote tembea sehemu zisizo na lami uone June July!!!!Kuna Vumbiiiii ukitoka nje ya alami kidogo Tena Vumbi bayaaaa la kufanya watu wapauke wafuabe fiiiii...ukikasirika shauri Yako!!!
Kumbe una hasira na miye weeee[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]pole sana bwana Masare njoo unipige Sasa Niko Hapa Msalato Maeneo ya Mondo Lodge KĂ ribu na kiwanda Cha alizeti
Ukiona nakukera niweke ignore list!!
huwa najibu hoja kwa hoja,facts kwa facts sio taarabu na ngonjera mdada....title ya thread inasema miji inayoongoza kwa vumbi tanzania wewe unakuja kutaja vijiji vilivyopo wilaya ya Bahi na Chamwino kwamba kuna vumbi .Vijiji vyote Tanzania ni vumbi tupu labda ukitoa ukanda wa Pwani kwenye kichanga na mkoa wa Kilimanjaro kidogo sasa sijui ulikua unataja vijiji vya kazigani kwenye thread inayohusu miji.
Rudi shule wewe Memkwa...tunajua una chuki+wivu na watu wa huko Dodoma unapoishi na kufanyia kazi lakini jitahidi kuwa positive kwenye facts
 
Watu wako Dodoma na wanavaa mashati meupe kama theruji.
Huyo inawezekana hajawahi kufika Dom City au amesimuliwa tu ndiomana.Dodoma mjini barabara zote za lami sasa hilo vumbi linatoka wapi.
Hakuna mji wowote Tanzania unaofikia Dodoma hata nusu kwa mtandao mpana pamoja na mpangilio mzuri wa barabara za lami kwenye mitaa na makazi ya watu. Mjini kati kote ni lami tupu,maeneo machache tu tena yaliyopo nje ya mji ndio unakutana na barabara ya vumbi mfano Michese ,Nala,Hombolo,Ntyuka
 
Kwahiyo hapa kwenu DSM huzioni bajaj kama ni nyingi?

Kwahiyo ukachuna hata kwenda kumuona mama Anne[emoji16]
Next time nitafika Nsalaga kumuona mamaaa[emoji1],Bajaji za Mbeya ni nyingi uchukue za dar na mikoa ya jirani [emoji3]
 
Haifanyi lolote au mahitaji ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali? Unajua gharama ya kujenga km 1 ya Barabara? Kuna Miji mingapi hapa Tanzania? Ukuaji wa Miji unaosababishwa na Ongezeko la watu haiendani na uwezo wa Serikali.

Serikali iliwaletea tozo mkakataa unadhani pesa italetwa na mvua? Kodi zenyewe mnakwepa,komaeni tuu na hapo ni sekta Moja tuu na sekta zingine ziko hivyo hivyo.
CAG kila siku analalamika watu wanaiba pesa ila hawachukuliwi hatua cha ajabu wanapandishwa vyeo alafu unamwambia mtu alipe kodi
Yaan ulipe kodi mtu mwingine akaibe na asifanywe chochote
 
CAG kila siku analalamika watu wanaiba pesa ila hawachukuliwi hatua cha ajabu wanapandishwa vyeo alafu unamwambia mtu alipe kodi
Yaan ulipe kodi mtu mwingine akaibe na asifanywe chochote
Wizi hautakuja kuisha hata China wanakonyonga watu Bado wanaiba Mzee,Marekani wanaiba na kukwepa Kodi nk.

Harafu muwe mnaelewa maana ya taarifa ya CAG,zile zinaitwa hoja za ukaguzi zinahitaji majibu Kwa mujibu wa sheria Wala sio ushahidi wa DPP.
 
Usiwalalamikie watu ambao hawalipi kodi makada wa ccm waendelee kuiba wengine waendelee kukwepa kodi
 
Back
Top Bottom