Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Kwahyo kwa akili yako kibera ni kusafi? Mathare?unaumwa akili wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia unapoingia maeneo hayo lazima utembee kwa mwondo wa kunyata, uvae gum boots na lazima uwe na mwavuli, hata kama ni mchana.
Just kidding!
Vv
Haha huhuhuhuNasikia unapoingia maeneo hayo lazima utembee kwa mwondo wa kunyata, uvae gum boots na lazima uwe na mwavuli, hata kama ni mchana.
Just kidding!
Vv
Hiyo nchi ya danganyika sijui ilipo ila kenya ni kuchafu, MK254 analijua hilo.
Hapa ni mjini kati nairobiWewe naona unang'ang'ania lakini ukweli unaujua, Bongo ni pachafu sana. Ni jambo la kawaida kwa nchi nyingi duniani kuwa na maeneo yenye uchafu, hususan kule mitaani, ila mjini katikati pasafi. Na ndio taswira ya Nairobi, ukienda kitaa huko nje kuna maeneo yenye uchafu lakini Nairobi mjini pasafi sana utahisi kama upo Ulaya vile, lakini Dar es Salaam hata mjini kati na ndani pachafu kweli kweli, harufu za ovyo na ukichanganya na joto la mji inaboa balaa.
Hapa ni mjini kati nairobi
Valley of no life nairobi
Hapa ni mjini kati nairobi
Valley of no life nairobi
Hapa ni mjini kati nairobi
Valley of no life nairobi
I like this Turkana people they very niceWell,It's not only in Dar where Drug abuse is prevalent,This Hadzabe woman in poverty striken rural areas of the small heaven on earth has nothing else to do for entertainment
View attachment 438041
Swali langu ni moja tuu, hizo nyumba zinajengwa kwa hao hao masikini wa Kibera au kwa middle class wengine? Oh swali lingine ....hao masikini watupwa wapi wakitoka hapo?This is how Kibera is being revamped to look like in the near future
I like this Turkana people they very nice
Hadzabe the world heritage poeple, kunavingi vya kujifunza kutoka kwao, but I still like Turkana peope. They are strong to endure hardship of Turkana. Sio kama wewe Blue Band baby.Those are your Aunties kijana....The Hadzabe.I know wewe umejufunika tu hapo Tandale hujui wenzako wanakaa aje
Hizi nyumba zajengwa na serikali na mashirika yake, Na zinajengewa watu wa hayo maeneo ya hali duni, Kibera watu hulipa kodi flani ya shilingi elfu kama mbili, kama sijakosea, lakini hapa watakuwa wakilipa elfu moja tu kwa mwezi!!!Swali langu ni moja tuu, hizo nyumba zinajengwa kwa hao hao masikini wa Kibera au kwa middle class wengine? Oh swali lingine ....hao masikini watupwa wapi wakitoka hapo?
Hadzabe the world heritage poeple, kunavingi vya kujifunza kutoka kwao, but I still like Turkana peope. They are strong to endure hardship of Turkana. Sio kama wewe Blue Band baby.
Hapa ni mjini kati nairobi
Valley of no life nairobi
Hata wale wazungu mnao wapenda na kuwakumbatia wapo huko wanajifunza.Hahaaa...kuna mengi ya kujifunza.Nenda huko na kiswahili chako cha vijiweni
Hata wale wazungu mnao wapenda na kuwakumbatia wapo huko wanajifunza.
http://proof.nationalgeographic.com...the-hadza-way-with-bows-arrows-and-ingenuity/