Miji midogo midogo Tanzania ambayo ina vibe na fursa za kibiashara lakini haivumi

Mkuu Hilo linafahamika kabisa,, Ila ukisema nafika KIDATU huwezi kupotea Mzee utafika palepale.
Ule mji unatumika kwa majina matatu
1. KIDATU
2. Ruaha
3. Wengine wanatumia kilombero.. Nimeishi pale miaka 2 mzee, So napaelewa vizuri.

Tazama hata hii picha, hiki ni chuo cha sukari klichopo mkabala na kile kiwanda,,
 
Mkuu Hilo linafahamika kabisa,, Ila ukisema nafika KIDATU huwezi kupotea Mzee utafika palepale.
Ule mji unatumika kwa majina matatu
1. KIDATU
2. Ruaha
3. Wengine wanatumia kilombero.. Nimeishi pale miaka 2 mzee, So napaelewa vizuri.

Tazama hata hii picha, hiki ni chuo cha sukari klichopo mkabala na kile kiwanda,, View attachment 3005537View attachment 3005537
 
Jamani msiisahau Namtumbo, ni Wilaya iliyojificha sana na si maarufu,, ipo umbali wa Kilomita 70 kutokea Manispaa ya Songea kuelekea kusini Mashariki..
Sasa hivi hii Wilaya inajenga sana, mara ya mwisho kwenda pale ilikuwa mwezi March 2024.
Kwa Sasa wana Mkuu wa Wilaya Mrembo sana pale namtumbo
 
Ni ujinga na utoto kutenganisha Tunduma na Mpemba,sijui mtoa mada zimetengana wapi ikiwa hapo Mpemba ni kata ya Tunduma na Mji umeungana wote.

On top of that Vwawa-Mlowo Zimeungana so sio sawa kutenganisha na inatakiwa kuitwa Manispaa ya Mbozi.
 
Mtwango Njombe
Kilyamatundu,Ilemba Rukwa
Majimoto,Katavi
Katoro Geita
Igawa,Ubaruku Mbarali
Igwachanya,Wanging'ombe
Makongolosi ,Chunya
 
Katoro-Geita

Kwa kanda ya ziwa baada Mwanza na Kahama, Katoro inafuata

Kama Kahama ilivyoipiku Shinyanga (mkoa) ndivyo Katoro inavyoipiku Geita. Katoro kuna soko linaitwa kariakoo.
Yaani Katoro ije kuipiku Geita? Acha stori za kutunga ,Geita TC ni Kati ya Miji mikubwa 10 ,Kwa Tanzania kwa idadi ya watu.
 
Katoro-Geita

Kwa kanda ya ziwa baada Mwanza na Kahama, Katoro inafuata

Kama Kahama ilivyoipiku Shinyanga (mkoa) ndivyo Katoro inavyoipiku Geita. Katoro kuna soko linaitwa kariakoo.
Yaani Katoro ije kuipiku Geita? Acha stori za kutunga ,Geita TC ni Kati ya Miji mikubwa 10 ,Kwa Tanzania kwa
Kuna Mikese Morogoro, Himo Moshi, Dumila na Dakawa Morogoro, Mlela na Doma Morogoro pia, Kiwangwa Pwani ya Bagamoyo, Kifanya Njombe, Ikungi Singida, Kinguluwira Morogoro,.
Seems Moro Ina Vimiji vidogo vinavyoibukia vingi sana
idadi ya watu.
 
Ni ujinga na utoto kutenganisha Tunduma na Mpemba,sijui mtoa mada zimetengana wapi ikiwa hapo Mpemba ni kata ya Tunduma na Mji umeungana wote.

On top of that Vwawa-Mlowo Zimeungana so sio sawa kutenganisha na inatakiwa kuitwa Manispaa ya Mbozi.
MPEMBA na Tunduma nakubali,, Ila Mlowo-Vwawa bado kuungana kihivyo, Pia kuwa na hadhi ya Manispaa bado sana,, wakazi na serikali inabidi kuzidi kuboresha miji hii zaidi Hadi ifikie huko.
Kwa mantiki hiyo kama Mlowo/Vwawa zikiwa Manispaa basi Moshi, Morogoro Mtwara, Iringa inabidi yawe Majiji😃
 
1. Ndanda
2. Matai
3. Lyanzumbi
4. Rungwa
5. Inyonga
6. Lupa Tinga Tinga
7. Dumila
8.Laela
9. Mangaka
10. Madaba
11. Makambako
12. Tinde
13. Ikwiriri
14. Tura

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha ujinga basi..Makambako sio Mji mdogo ni Mji mkubwa na una Halmashauri kabisa.

Lyazumbi,Ndanda,Matai,Lupa,Tinde,Tura hivyo ni Vijijini na Wala havijachangamka Kwa lolote na hakuna vibe.

Laela,Mataifa na Lyazumbi kuna vibe gani hapo? Kwanza hata Inyonga pamepoa watu wanakoboa mipunga tuu,Ungekuwa na akili ungetaja hata Majimoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…