Miji midogo midogo Tanzania ambayo ina vibe na fursa za kibiashara lakini haivumi

Miji midogo midogo Tanzania ambayo ina vibe na fursa za kibiashara lakini haivumi

Kwasasa unafanya inshu za kununua mazao?
Hii miji midogo kama una interest ya kulima na biashara ya Mazao kama Mimi unatoboa chap na haraka,,
Sema Mimi sijatulia tu.. hebu nitulie kwanza niende zangu Mangaka nikalime karame Karanga na ufuta
 
Wewe na Mzee wa kubujikwa machozi ni ndugu?

Mlowo sawa ila sio Vwawa
Nyangao i've been there hamna kitu labda miaka hii

Hio list ungeweka
Kasulu
Katoro
Ifakara
Matui
 
Hii miji midogomidogo mingine hebu niitaje tu ili wadau wengine waweze kuifahamu na kama wanahitaji kutafuta/kufuata fursa huko basi wafuate.
• Kibaigwa
• Nanyamba
• Mahuta
• Chimala
• Ikwiriri
• Mangaka
• Nagaga
• Nangurukuru
• Ilula
• Kalenga
• Mlimba
mlimba hapana aseee wachawi wmejaa huko
 
Hapo wapi? Maana umeandika sehemu kama tatu, na hao vijana wanapiga fedha kwenye inshu zipi?
Kwetu Kagera.
Kuna
Benako.
Mtukula.
Nkwenda
Hapo Kuna vijana ni matajiri wanapiga pesa ndefu hata Dar hawapajui
 
Hapo kwenye Kidatu sio kweli, pale panaitwa Ruaha ni wilaya ya Kilosa. Kidatu ni ukivuka daraja linalotenganisha wilaya ya Kilosa na Kilombero. Kidatu ni Kilombero sio Kilosa. Hata viwanda vya sukari pale viko viwili K1 na K2 kimoja kipo Kilosa kingine kipo Kilombero japokuwa vipo pamoja.
Nimejaribu kuwaza ruaha ya kilosa inakuwaje na ilhali wananchi hawana viwanja vya kujenga nyumba mpaka sasa. Juu ni milima wanakaa wavidunda na chini ni mashamba ya miwa ya kiwanda. Watu wana mashamba ya muwa pia kitete na ruhembe huko ambako ni nje ya Ruaha yenyewe. Kuna muda utafika pale patakuwa stagnant. Labda kidatu kuelekea mkamba hadi mang'ula
 
Yaani Katoro ije kuipiku Geita? Acha stori za kutunga ,Geita TC ni Kati ya Miji mikubwa 10 ,Kwa Tanzania kwa

Seems Moro Ina Vimiji vidogo vinavyoibukia vingi sana
idadi ya watu.
Geita TC bado sana,sijui ilikuwaje ukawa mkoa ghorofa ziko tano tu Otonde na nyingine nne,ule mji bado sana ,japo katoro haina mitaa haijapimwa ila kibiashara inaikimbiza Geita
 
Back
Top Bottom