Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Kwenye hiyo miji ndio wanaishi Waisraeli wa Tanzania kwa wingi, na asili yao ni miteremko ya mlima Kilimanjaro.
 
Duh! Arusha mbona kuna shida ya maji na wamasai wanahangaika na malisho ya mifugo yao au baraka ni Arusha mjini tu hebu weka wazi
 
Okay ungejua huko moshi vijijini sio kwa mchezo kuna kila kitu usingesema hivo
 
Hakuna mji uliobarikiwa Tanzania km TUKUYU..... nenda kokote utaambiwa
 
Sio kwamba hamna mkoa mkali zaidi ya Moshi ila tu nimemapenda Moshi dhidi ya mikoa yote niliyowahi ishi/tembea mkuu. Huu ni mtazamo wangu tu wala sio lazima iwe sawa na kila mtu!
Umeendelea kuniangusha mkuu.
Labda hapa nikuambie tu, ni MJI WA MOSHI(Manispaa ya Moshi) as Opposed na Mkoa wa Kilimanjaro!
 
we ni jinga la majinga kuhusisha huu uzi na Chama cha siasa
 
Nitakujibu kesho
 
Ndiyo maana mtukufu hawapendi kwa tabia zenu hiziiii....
Mkuu wa kaya yetu sio mbaguzi na hana chuki na raia wake yeyote..Yeye anasema hawezi kumbagua au kumchukia mtu kwa sababu ya kabila lake, dini yake,rangi yake,au ukanda anaotokea..nawewe pia ndugu yangu ninakusihi..usiwe na ubaguzi na chuki kwasababu yoyote ile.sisi sote ni ndugu haya mengine tunayotofautiana ni kuvumiliana tu
 
Ni mbaguzi kweli kweli
 
Type ameen ubarikiwe? Huu ni ujinga huwezi kubalikiwa kwa kutype JF tu, ni lazima ufanye kazi.
 
Kila mkoa una neema zake wakuu
Kwa.mfano MBEYA kuna kila aina ya chakula na kwa wingi
Kuna wagonjwa kibao wa dini aka warokole
 
Tatizo wakazi wengi wa mikoa ya kasikazini ni wabinafsi sana na ni wachoyo sana,eti mnasema miji iliyobalikiwa iweje majambazi mengi tena ya bunduki yatoke miji yenu,na iweje mafisadi mengi yaliotumbuliwa yatoke miji yenu,mji uliobalikiwa iweje mji unaongoza kua na ma bar na wanaume wake ni wanywaji wa kubwa wa migongo kiasi mnashindwa kuwatimizia haki za msingi wake zenu mbk wanatafuta uduma hiyo nchi ya jirani.jitahimini kwanza kabra ya kuongea msije mkasukumwa kwa asili yenu ya ukabira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…