Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

wenyeji wa dar hWawez kujivunia kwakuwa dar 95% waliojenga n wageni
wenyeji wapo busy kucheza baikoko huko mkuranga na kisarawe porini walikosukumizwa,sasa utajivuniaje ardhi yako uliouza?
 
Juzi nimepanda ki hiace (dar wanaita daladala) Kutoka pale stend kwenda maeneo ya Uru (kwa wanaojua maeneo ya mbole)

Wakati narudi wakapanda wazungu kama Wanne wakakaa kale ka siti ka wanafunzi ambacho kanatazamana na abiria.

Basi watu wote wakawa kimya, wanaskika wao tu wanaongea sjui kihispania kile maana skuambulia hata neno moja la kingereza .

Konda akadai nauli, mmoja akatoa, konda akamrudishia mia saba, ile miatano ya noti hakuwa na shida nayo nafkiri anaijua, tatizo likaja kwenye mia mbili.... Ajaikaguaaa ...mara akakunja sura na kuongea na wenzake, mara wote wakacharuka......

Konda kuona hivyo akawaongezea buku..... Mara nikaskia mmoja kamnyooshea kidole konda akamwambia "wewe ". Basi abiria walicheka.... Wazungu nao walichekaa... Dah nikasema kweli watu wa moshi wakarimu sana...

Spati picha wangekutana na wale wazee wa sato
 
Moja kati ya maajabu saba ya dunia utapata Arusha wazungu na mbwembwe zao zao zote lazima watue chugamaica wapi joseverest mmoja kati ya macomrade kutoka chugah.
si ulitakiwa u type Amen?
 
Wangewaibia ama??
 
Yaani sielewagi kwann nikifika arusha pumice inabana. Mji umejibana sana
 
Nyie watu wa arusha sijui mtaacha masifa lini?
Kila mahali pamebarikiwa kulingana na mahitaji ya eneo husika
Mkishiba mbege basi mnajiona booora
Sisi ndio sisi juu juu juu zaidi.hata Sizonje anatujua.
 
Ngoja waje wazee wa darisalama
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hasa hasa wale wa pale lumumba

Hawawezi kuja kuchangia, wengi wao wako nyumbani kwa mshana jr kuchukua dawa za kuongeza nguvu za kiume na wengine wako wanakata mauno kwenye bongo fleva na vibao kata.
 
haha
 
Mada umeielewa lakini?au unajiharishia tu..kubarikiwa ni kufanyaje?mburula wewe
kubarikiwa n
1_kuwa mkoa wa kwanza kitaifa kwa elimu
2_mji was
kwanza msafi tz
3_mkoa was
pili kwa watu wake kuishi maisha bora na makaz ya kisasa kW mujibu was
takwimu za wizara ya fedha 2017/18
haya una swali lingine ww mcheza baikoko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…