Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Vijana wa mikoani mnapenda kujipendekeza ili muonekane wa mjini. Dar na Pwani ndio mikoa iliyobarikiwa ndio maana mnaona wivu ikitajwa wenyeji wa Dar/Pwani wazaramo/wandengereko. Mkimbizi wa Burundi kamwe hawezi kuwa raia wa TZ.
Soon mtasema na Mwanza kwa wasukuma kwenu. BTW Wazee/wenyeji wa Dar wapo wengi haichukui hata masaa ku-notice ingawa hawapigi kilugha kama watu wa vijijini.
Kubalini na mjivunie kwenu.
 
Na hakuna effect yoyote mkienda kutambika kwenu Desemba.

Hii Dar ni yao pia.
Ukitaka kupima hili subiria December nitakukumbusha.
 
Haswaaa shemelaaa
 
Iringa ipi? wekeni utaratibu wa tohara vizuri kwanza...
Mungu hawezi kubariki kisichotahiriwa.
Kweli sasa nimeanza kumuelewa Nyerere kwanini kuna baadhi ya watu mikoa flani hawatakiwi kuongoza nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…