Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Ni kweli Moshi na Arusha pamebarikiwa, hayo ni matunda ya ILANI ya chama cha mapinduzi CCM
 
Dah... Operesheni ya madawa ya kulevya... hasa viroba, bangi na mirungi ikafanikiwa katika miji hiyo... Mleta uzi afanye matembezi Tukuyu na Lushoto kisha aje kucomment kwenye uzi wake[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Yaani hiyo miji ndo tanzania wengine watazunguka ila ukweli utabaki kuwa ukweli kwanza Moshi na Arusha zingestahili ziwe ulaya na sio Afrika
 
Sehemu nyingine nzuri hapa Tanzania ni lushoto Tanga aisee panapendeza sana.
Ni karibu na Kilimanjaro... Baraka ziliwamwagikia.

Nakubaliana na wewe.

Shule zilizopo wilaya ya Lushoto tu, ni sawa na shule za mkoa mzima wa Morogoro
 
Dah... Operesheni ya madawa ya kulevya... hasa viroba, bangi na mirungi ikafanikiwa katika miji hiyo... Mleta uzi afanye matembezi Tukuyu na Lushoto kisha aje kucomment kwenye uzi wake[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Lushoto wanepata baraka kwa kuwa ni majirani
 
Nilidhani ungetaja miji inayotegemewa kwa chakula ndiyo imebarikiwa sana. Nyanda za juu kusini.
 
Back
Top Bottom