- Thread starter
- #241
Ukitegemea sana kilimo ni dalili kubwa ya Umaskini...Nilidhani ungetaja miji inayotegemewa kwa chakula ndiyo imebarikiwa sana. Nyanda za juu kusini.
Msitaje taje kilimo hapa kwenye huu uzi mnaudhihirisha umaskini wenu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitegemea sana kilimo ni dalili kubwa ya Umaskini...Nilidhani ungetaja miji inayotegemewa kwa chakula ndiyo imebarikiwa sana. Nyanda za juu kusini.
Ukitegemea sana kilimo ni dalili kubwa ya Umaskini...
Msitaje taje kilimo hapa kwenye huu uzi mnaudhihirisha umaskini wenu...
Zimo za kunitosha mkuu...inamaana hujui kabisa moja ya viashiria vya nchi maskini ni sehemu kubwa ya pato la nchi kutegemea kilimo?Wewe jamaa hazimo kwelikweli.
Yafaa nini kuwa na hali nzuri sana ya mazingira halafu uwe maskini?Kwa sehemu ambayo ni tamu kwa mazingira na hali ya hewa tukuyu hiko juu kwa Tanzania nzima!
Zimo za kunitosha mkuu...inamaana hujui kabisa moja ya viashiria vya nchi maskini ni sehemu kubwa ya pato la nchi kutegemea kilimo?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hizo nchi hazitegemei uchumi wa hayo mazao wewe...Mkuu US wazalishaji wakubwa wa mahindi, China Mpunga, na Ngano. Na ni largest exporters.
maziwa na asali ndio mahindi na maharagwe? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe jamaa uko sober kweli? Hata Mungu alipowaahidi wana wa Israel makazi mapya, hakusema anawapeleka kwenye nchi ya milima mirefu, bali nchi ya maziwa na asali!
Yafaa nini kuwa na hali nzuri sana ya mazingira halafu uwe maskini?
Mapishi tu haya....Nadhani ulipitwa na report ya hali ya uchumi ya Tanzania toka BoT, ambapo Arusha na Moshi zilizidiwa na sehemu usizotegemea kwa terms za GDP. Sasa utajiri wa hiyo miji uko wapi? Dar (7.5 trilioni) ikiongoza na kufuatiwa na Mwanza (4.09 trilioni) na Mbeya (3.2 trilioni). Arusha ikiwa chini ya Shinyanga, Iringa na Morogoro.
Dar tops wealth list, Arusha 7th despite tourist charm
Report ya 2013....ha ha ha haNadhani ulipitwa na report ya hali ya uchumi ya Tanzania toka BoT, ambapo Arusha na Moshi zilizidiwa na sehemu usizotegemea kwa terms za GDP. Sasa utajiri wa hiyo miji uko wapi? Dar (7.5 trilioni) ikiongoza na kufuatiwa na Mwanza (4.09 trilioni) na Mbeya (3.2 trilioni). Arusha ikiwa chini ya Shinyanga, Iringa na Morogoro.
Dar tops wealth list, Arusha 7th despite tourist charm
Kwangu Bukoba, siwezi sema tuna baraka kama za WamoshiMuwamba ngoma huvutia kwake
maziwa na asali ndio mahindi na maharagwe? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Report ya 2013....ha ha ha ha
Kijana wa Kilimanjaro anaweza kupata deal la mlima kwa siku 6 akaingiza hata 200,000/= minimum for only six days...Labda hapa utachagua vizuri
1. [emoji480] [emoji518] + Maharage
2. [emoji480] [emoji518] + Milima yako
Mkuu data ni nini? Angalia uchumi wa mtu mmoja mmoja at least inaleta maanaTupe data za leo za hiyo miji. Au unadhani hiyo miji ililala toka kipindi hicho? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana wa Kilimanjaro anaweza kupata deal la mlima kwa siku 6 akaingiza hata 200,000/= minimum for only six days...
Huyo wa huko kwenu mkulima wa maharage ataihenyea hiyo pesa kwa siku ngapi?
Mkuu data ni nini? Angalia uchumi wa mtu mmoja mmoja at least inaleta maana