Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Nilidhani ungetaja miji inayotegemewa kwa chakula ndiyo imebarikiwa sana. Nyanda za juu kusini.
Ukitegemea sana kilimo ni dalili kubwa ya Umaskini...
Msitaje taje kilimo hapa kwenye huu uzi mnaudhihirisha umaskini wenu...
 
Wewe jamaa uko sober kweli? Hata Mungu alipowaahidi wana wa Israel makazi mapya, hakusema anawapeleka kwenye nchi ya milima mirefu, bali nchi ya maziwa na asali!

Mkuu US wazalishaji wakubwa wa mahindi, China Mpunga, na Ngano. Na ni largest exporters.

Zimo za kunitosha mkuu...inamaana hujui kabisa moja ya viashiria vya nchi maskini ni sehemu kubwa ya pato la nchi kutegemea kilimo?
 
Wewe jamaa uko sober kweli? Hata Mungu alipowaahidi wana wa Israel makazi mapya, hakusema anawapeleka kwenye nchi ya milima mirefu, bali nchi ya maziwa na asali!
maziwa na asali ndio mahindi na maharagwe? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nadhani ulipitwa na report ya hali ya uchumi ya Tanzania toka BoT, ambapo Arusha na Moshi zilizidiwa na sehemu usizotegemea kwa terms za GDP. Sasa utajiri wa hiyo miji uko wapi? Dar (7.5 trilioni) ikiongoza na kufuatiwa na Mwanza (4.09 trilioni) na Mbeya (3.2 trilioni). Arusha ikiwa chini ya Shinyanga, Iringa na Morogoro.

Dar tops wealth list, Arusha 7th despite tourist charm

Yafaa nini kuwa na hali nzuri sana ya mazingira halafu uwe maskini?
 
Nadhani ulipitwa na report ya hali ya uchumi ya Tanzania toka BoT, ambapo Arusha na Moshi zilizidiwa na sehemu usizotegemea kwa terms za GDP. Sasa utajiri wa hiyo miji uko wapi? Dar (7.5 trilioni) ikiongoza na kufuatiwa na Mwanza (4.09 trilioni) na Mbeya (3.2 trilioni). Arusha ikiwa chini ya Shinyanga, Iringa na Morogoro.

Dar tops wealth list, Arusha 7th despite tourist charm
Mapishi tu haya....
Uchumi wa kwenye makaratasi...
 
Nadhani ulipitwa na report ya hali ya uchumi ya Tanzania toka BoT, ambapo Arusha na Moshi zilizidiwa na sehemu usizotegemea kwa terms za GDP. Sasa utajiri wa hiyo miji uko wapi? Dar (7.5 trilioni) ikiongoza na kufuatiwa na Mwanza (4.09 trilioni) na Mbeya (3.2 trilioni). Arusha ikiwa chini ya Shinyanga, Iringa na Morogoro.

Dar tops wealth list, Arusha 7th despite tourist charm
Report ya 2013....ha ha ha ha
 
Labda hapa utachagua vizuri vinavyofanana

1. [emoji480] + [emoji518] + [emoji535]

2. [emoji480] + [emoji518] + Milima yako

maziwa na asali ndio mahindi na maharagwe? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Labda hapa utachagua vizuri

1. [emoji480] [emoji518] + Maharage

2. [emoji480] [emoji518] + Milima yako
Kijana wa Kilimanjaro anaweza kupata deal la mlima kwa siku 6 akaingiza hata 200,000/= minimum for only six days...
Huyo wa huko kwenu mkulima wa maharage ataihenyea hiyo pesa kwa siku ngapi?
 
Tupe data za leo za hiyo miji. Au unadhani hiyo miji ililala toka kipindi hicho? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu data ni nini? Angalia uchumi wa mtu mmoja mmoja at least inaleta maana
 
Hiyo GDP yao iko chini kwani wanafukia pesa? Hiyo milima imekuja mwaka huu?

Kijana wa Kilimanjaro anaweza kupata deal la mlima kwa siku 6 akaingiza hata 200,000/= minimum for only six days...
Huyo wa huko kwenu mkulima wa maharage ataihenyea hiyo pesa kwa siku ngapi?
 
Tuko watanzania zaidi ya milioni 45. Ndugu zangu tu siwezi wachunguza bila data. Au wadhani uchumi mzuri ni kununua Subaru na kupiga kelele mjini? Au kujiita milionea ukiwa na pesa za mboga?

Back
Top Bottom