leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
We nae upo ka wana ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wivu.Hawa jamaa wanafeel special kama umewahi pia kusoma nao. Nawachukia
Hawanunui unga madukani kama huko ulikoNingeamini kama mngenambia huko kilo ya unga ni 500/=
Ndiyo maana mtukufu hawapendi kwa tabia zenu hiziiii....Nyie watu wa arusha sijui mtaacha masifa lini?
Kila mahali pamebarikiwa kulingana na mahitaji ya eneo husika
Mkishiba mbege basi mnajiona booora
Siungani na weweComment Amen! Na wewe ubarikiwe acha maneno yako
Hizi ni baadh za setbacks za chadema kupewa nchi labda baada ya miaka 1000 ijayo.So proud kwa wazaz wote mmoja moshi,mmoja arusha,,ukiwa std 5 moshi ni saw na form 4 iringa,kigoma,ruvuma,ddma singida shinyanga n.k
Ukimaiza frm six moshi sawa na mastarz dar,mbeya,mwanza,Lind ,mtwara tanga,pwani,na Moro.
Ukizaliwa moshi na ukasoma mpka ngaz ya degree duh unatakiwa ukaishi huko botswana ,Swaziland,nabia maana kama form six anamiliki chama kikuu cha upinzani Tanzania je angekua na degree moja tu ingekuaje...
BARIKI MOSHI NA ARUSHA NAWE UBARIKIWE
Ha ha punguza povu,,,Mimi ni ccm kindakindaki na naukubali balaaa upinzani Ila nasifia kwetu na napakubali mpaka naumwa,,, kwan nan kaongelea ukawa hapo???/tiliza mshono we msafaHizi ni baadh za setbacks za chadema kupewa nchi labda baada ya miaka 1000 ijayo.
Mimi ni ukawa damu lakn ..,kutoaminika kwa watu wa huko ndo Kunako tugharimu ...sasa nyie endeleeni na upumbafu huu.
Watu tunajitahidi kuwaeleza watanzania watuelewe kuwa sisi hatuna ukanda, udini,siyo wezi kama dhana ambayo imejijenga ktk fikra za watanzania ,wapumbafu kama wewe unakuja kwenye mitandao unapost vitu vya kipuuzi vinavyozidi kutuondolea credibility ktk jamii.
Pumbafu kabisaaaa
Kumbe wewe ni ccm kindakinda!Ha ha punguza povu,,,Mimi ni ccm kindakindaki na naukubali balaaa upinzani Ila nasifia kwetu na napakubali mpaka naumwa,,, kwan nan kaongelea ukawa hapo???/tiliza mshono we msafa
Hakuna MKOA kama Moshi? Serious? Shule ulizozitaja inaonekana ulikua mkali lakini umetuangusha sana.Ingawa nimetembea na kuishi miji tofauti Tanzania..Kuanzia Dar nilipozaliwa, Morogoro nilipokulia na kusomea elimu ya msingi, Pwani Kibaha niliposomea elimu ya Sec. ,Moshi niliposomea Elimu ya Juu, Arusha na Tanga kwa matembezi sana, Mbeya kwa shughuli za kiofisi.
Nisiwe mnafiki hamna mkoa niliotokea kuupenda kama Moshi. Aisee ni kwa vile tu ni pagumu kutafuta riziki na jamaa hawauzi ardhi kizembe ila ukizingatia karaha za Dar es salaam hakuna mkoa nimeupenda kuishi kama Moshi. Hamna foleni, Mji msafi na umetulia sana na maeneo yenye uswahili yanahesabika. The rest of the places ni amani tu Shant town, Soweto, T.P.C, Pasua, Mabogini n.k
Hakuna MKOA kama Moshi? Serious? Shule ulizozitaja inaonekana ulikua mkali lakini umetuangusha sana.
Kwani moshi na arusha hakuna asalali niambie ni mkoa gani unaoingizia dola nyingi taifa ukiachilia mbali moshi na arushaWewe jamaa uko sober kweli? Hata Mungu alipowaahidi wana wa Israel makazi mapya, hakusema anawapeleka kwenye nchi ya milima mirefu, bali nchi ya maziwa na asali!