Kuna mtumishi aliniambia wanatumika kwenye ulimwengu wa giza, unaporudi na kuwaona wameongezeka hapo wanakuwa kazini kufanya ufukunyuku na kutuma taarifa kwa waliowatuma..Mimi kwangu Kuna mijusi mingi chakushangaza nikisafiri na mijusi hupotea siku nikirudi tu ndani ya nusu saa wamerudi, Hadi hushangaa sijawahigi kuwaza kuwaua maana Wana umuhimu wao.
Hii inaweza kuwa kweli maana nilishangaa KWA sasa siwaoni, Yani nikirudi tu hao ka wamepigiwa simu, no Wonder hii dunia ni zaidi ya uijuavyoKuna mtumishi aliniambia wanatumika kwenye ulimwengu wa giza, unaporudi na kuwaona wameongezeka hapo wanakuwa kazini kufanya ufukunyuku na kutuma taarifa kwa waliowatuma..
Ni shida sana, hadi mjusi anageuka kachero mbobezi..Hii inaweza kuwa kweli maana nilishangaa KWA sasa siwaoni, Yani nikirudi tu hao ka wamepigiwa simu, no Wonder hii dunia ni zaidi ya uijuavyo
Mijusi inakoroma?Alaf usiku huwa wanakoroma Hawa mijusi wanakera kinyama
Spy tena?Nu kweli wanatumika kichawi wapo kama ma spy
Aina namna kwakweli mana hata juzi kati wife alikuwa anawapiga na lijiti kuwauwa mana dah hii mijusi imezidi unaweza kuta tupo sebuleni tunakula eti mjusi anakusogelea kabisa eti wakulungwa hii sawa kweli aiwezekan ni kuwauwa tu kilichobakiMm nimeanza zoezi la kuwafukuza na hata kuwapiga kila niwaonapo kiasi flani nimewapunguza hata kunya ovyo wamepunguza
Fuga pakaWakuu habari ya uzima?
Kama mada inavyojieleza, ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu dawa za hawa mijusi wanao zurura ndani ya nyumba naomba anijuze tafadhari.
Sasa ukiwa haupo unajuaje kama wamepotea na wakati ukirudi unasema ndani ya 30min unawaona.Mimi kwangu Kuna mijusi mingi chakushangaza nikisafiri na mijusi hupotea siku nikirudi tu ndani ya nusu saa wamerudi, Hadi hushangaa sijawahigi kuwaza kuwaua maana Wana umuhimu wao.
[emoji1][emoji1][emoji1]Kama wanatumwa na washindwe kwa kweli Yani ukitoka safarini hao wanakuja nakupoteaNi shida sana, hadi mjusi anageuka kachero mbobezi..
Nyie ndo hamuelewi jambo jepesi unakuta nimesafiri mda mrefu narudi nafanya usafi wa kawaida siwaoni baada ya mda nashangaa hyo mijusi ilipotokea nikawa najiuliza kulikoni hawa mijusiSasa ukiwa haupo unajuaje kama wamepotea na wakati ukirudi unasema ndani ya 30min unawaona.
Ama ni mimi ndio sijakuelewa.
😀😀 Ila mijusi ya nyumbani kwako bwana🤣🤣🤣🤣inafurahishaNyie ndo hamuelewi jambo jepesi unakuta nimesafiri mda mrefu narudi nafanya usafi wa kawaida siwaoni baada ya mda nashangaa hyo mijusi ilipotokea nikawa najiuliza kulikoni hawa mijusi
Ndiyo 😀Spy tena?
Ponda vitunguu swaumu na weka kwenye kona zote ambazo wanapenda kujibanza..watatowekaWakuu habari ya uzima?
Kama mada inavyojieleza, ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu dawa za hawa mijusi wanaozurula ndani ya nyumba naomba anijuze tafadhali.
Umuhimu ganiMimi kwangu Kuna mijusi mingi, chakushangaza nikisafiri na mijusi hupotea siku nikirudi tu ndani ya nusu saa wamerudi, Hadi hushangaa sijawahigi kuwaza kuwaua maana Wana umuhimu wao.
Hii Kama inafanya kazi itabidi niijaribu mapema kabisaPonda vitunguu swaumu na weka kwenye kona zote ambazo wanapenda kujibanza..watatoweka
Ukiona hivyo mkifanya kale kamchezo na mwenzio wanakulieni deoMimi kwangu Kuna mijusi mingi, chakushangaza nikisafiri na mijusi hupotea siku nikirudi tu ndani ya nusu saa wamerudi, Hadi hushangaa sijawahigi kuwaza kuwaua maana Wana umuhimu wao.
Mlokole anaogopa nguvu za giza na kuua mijusi? So fun!Mkuu HV hii ya nguvu za Giza ni kweli, maana Nina Dada yangu kaokoka uwa anapambana nao anawaua Yani akimwona ndani kwake bas kifo Mimi uwa naona Kama anawaonea ukizingatia Mimi bado mchanga Sana kiimani
Ni harufu hawaipendi ama wakila wanakufa?Dawa ya mjusi ni kitunguu saumu paka kila kona
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hawana adabuUkiona hivyo mkifanya kale kamchezo na mwenzio wanakulieni deo