Mijusi ndani ya nyumba; Dawa inahitajika

Mijusi ndani ya nyumba; Dawa inahitajika

Navyofahamu mijusi hawana tabia ya kuishi karibu na mwanadamu au sehemu ambapo anahisi atakuwa anafikika kiurahisi. Ndio maana wanaishi kwenye cracks tena juu na kwenye dari. Huwezi kumkuta kabatini au kwenye begi kama Mende.
 

Attachments

  • IMG_20210206_222643.jpg
    IMG_20210206_222643.jpg
    27.6 KB · Views: 38
Navyofahamu mijusi hawana tabia ya kuishi karibu na mwanadamu au sehemu ambapo anahisi atakuwa anafikika kiurahisi. Ndio maana wanaishi kwenye cracks tena juu na kwenye dari. Huwezi kumkuta kabatini au kwenye begi kama Mende.
Mkuu unaona kazi hizo ukutani
 
Huyu ni ghecko ila nadhani mleta mada alimsema lizard. Ghecko wa nyumbani anakaa kwenye taa tu usiku ila mchana kwa uchache, lizard wa nyumbani anapenda jua na usiku anajificha ila anaogopa kabisa maji hata wingu likitanda humuoni.
Labda nisijue kwenye Kiswahili wote ni mijusi. Ingawa scientifically gheckos ni species za lizards.
 
Wakuu habari ya uzima?

Kama mada inavyojieleza, ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu dawa za hawa mijusi wanao zurura ndani ya nyumba naomba anijuze tafadhari.
Mkuu mbona hawanaga shida na mtu, mimi huwa Sina shida nao kabisa maana Wana Mambo yao, sema huku siku hizi siwaoni sijui wamekimbia corona
 
Faida ya mijusi kula vidudu...Ila hasara inatumika kwenye nguvu za Giza..mwagia maji ya baraka nyumbani kwako.
Mkuu HV hii ya nguvu za Giza ni kweli, maana Nina Dada yangu kaokoka uwa anapambana nao anawaua Yani akimwona ndani kwake bas kifo Mimi uwa naona Kama anawaonea ukizingatia Mimi bado mchanga Sana kiimani
 
Mimi kwangu Kuna mijusi mingi chakushangaza nikisafiri na mijusi hupotea siku nikirudi tu ndani ya nusu saa wamerudi, Hadi hushangaa sijawahigi kuwaza kuwaua maana Wana umuhimu wao.
Ukirudi wanaambizana malkia amerudi
 
Fanya hii biological control, chukua nyoka wawili dume na jike waweke ndani ziba mianya yote ya wao kutoroka waache wakue wakubwa kabisa wazaliane ndani ya mwezi tu mijusi itakua historia alikadharika wewe na familia
 
Back
Top Bottom