Mika Mwamba alitendea haki beat kwenye hizi nyimbo

Mika Mwamba alitendea haki beat kwenye hizi nyimbo

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Niko na JBL nasikiliza hizi nyimbo mbili ya kwanza ni dknob elimu mitaani aliitoa mwaka 2003 na hardman tamala ya mwaka 2004, hata baada ya miaka 100 hizi beat haziwez chuja, nyimbo hizi mbili zimenikumbusha mbali sana aisee asikuambie mtu Music is medicine na ukizingatia na huu ukimya wa usiku ubongo wangu unaburudika vizuri sana

Unaweza tupia yako Mika mwamba aliyokukosha
 
Hao walikuwa maproducer waliowashirikisha wataalam wengine wa kupiga vyombo si kama sasa producer anajikuta kujua kila kitu.

Sehemu za kinanda unaenda kwa bizman, sehemu za gitaa unaenda kwa mzungu kichaa, sehemu za flute kuna wataalam, n.k. mwisho wa siku producer anamalizia vitu vyake basi beat inakuwa bomba si kitoto ... Hata pfunk majani ile biti ya she got a gwain ni mzungu kichaa alicharaza gitaa, kinanda nacho kuna mhusika, mwisho wa siku priducer anaunaganishia kwenye beat yake ala zinaanza kuleta mgongano masikioni mwetu miaka nenda rudi biti halichuji
 
Niko na JBL nasikiliza hizi nyimbo mbili ya kwanza ni dknob elimu mitaani aliitoa mwaka 2003 na hardman tamala ya mwaka 2004, hata baada ya miaka 100 hizi beat haziwez chuja, nyimbo hizi mbili zimenikumbusha mbali sana aisee asikuambie mtu Music is medicine na ukizingatia na huu ukimya wa usiku ubongo wangu unaburudika vizuri sana
Bila shaka ninaomba tamala nami niipate nami mda kwa wasap yangu z nilikua naisaka sana ingia inbox
 
Hyo tamala ya hardmad haijawah kosekana kwenye playlist yangu
 
Pia kwenye Nizikwe hai ya Man dojo na Domo kaya Mika alitisha sana
 
Back
Top Bottom