Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Niko na JBL nasikiliza hizi nyimbo mbili ya kwanza ni dknob elimu mitaani aliitoa mwaka 2003 na hardman tamala ya mwaka 2004, hata baada ya miaka 100 hizi beat haziwez chuja, nyimbo hizi mbili zimenikumbusha mbali sana aisee asikuambie mtu Music is medicine na ukizingatia na huu ukimya wa usiku ubongo wangu unaburudika vizuri sana
Unaweza tupia yako Mika mwamba aliyokukosha
Unaweza tupia yako Mika mwamba aliyokukosha