Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Fatma anavyoitikia tamalaaaaaa one of the best partHiyo tamala ya hardmad huwa naisikiliza sana. Ni moja ya nyimbo zinzoishi.
Mjinga mwingine kwenye beat alikuwa pfunk majani. Ni kipaji cha ajabu.
Usiku kucha sijalalaaa nakusubiri wewe outsideFatma anavyoitikia tamalaaaaaa one of the best part
Good music imekua rare sana zama hiziSahiv ni mwendo wa
Koh Koh yaoow yaaoow Konde boi ko mi namba waan baakhresaaa🎶
Kuna tamal hiyo na "ni wewe" za hard mad ni shigdaHiyo tamala ya hardmad huwa naisikiliza sana. Ni moja ya nyimbo zinzoishi.
Mjinga mwingine kwenye beat alikuwa pfunk majani. Ni kipaji cha ajabu.
Ana hiyoó Mr sahani ni nomaSema dknob ananyimba kali kama niishike mkono,bad man,kitu gani unamaindi,sauti ya gharama ana una flow ya kipekee yake
Bila shaka ninaomba tamala nami niipate nami mda kwa wasap yangu z nilikua naisaka sana ingia inboxNiko na JBL nasikiliza hizi nyimbo mbili ya kwanza ni dknob elimu mitaani aliitoa mwaka 2003 na hardman tamala ya mwaka 2004, hata baada ya miaka 100 hizi beat haziwez chuja, nyimbo hizi mbili zimenikumbusha mbali sana aisee asikuambie mtu Music is medicine na ukizingatia na huu ukimya wa usiku ubongo wangu unaburudika vizuri sana
Kuna rafiki yangu alikua anaipenda kinoma hii nyimbo Ila alishafariki nikisikiliza hii nyimbo lazima nimkumbukeUsiku kucha sijalalaaa nakusubiri wewe outside
Sandra aliitendea haki videoMpenzi - dudu baya
Sanaaa ndio Chanzo cha zile sketi alizovaa kuitwa tentemete 😁😁Sandra aliitendea haki video