Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

Msicho kujua Mungu jamlazimishi Mtu kutenda jambo lolote lile

Lakin kwenye KUTOKA Kuna sehemu anasema Tazama nimekuekea mbeleyako njia mbili kulia na kushoto ...
Kwahiyo ni Kaz ya Mtu kuchagua jema au baya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kama binadamu hatuna mwanzo wala mwisho wanaokufa je?HUO SIO MWISHO?
 
Dini ina upande mmoja wa kulazimisha kwamba ,amini mungu yupo na anatenda unless jehanamu inakuhusu. By creating this fear people become psychological submissive and ignore their intelligence. Kuhusu elimu ya kumwonyesha mtu kwamba hizo ni kamba, e.g bible contradication hiyo elimu haiwezi kumwingia cause mtu huyo anakuwa tayari ni mateka wa akili na hisia kwaio amepoteza concrete thinking kwenye eneo hilo.kuhusu kukatazwa kwamba itapaisha imuhimu sioni kwa sababu kuna mambo mengi yamekatazwa katika baadhi ya maeneo dunia hii na yamefanikiwa kwa asilimia kubwa, mfano madawa ya kulevya, pombe n. K, why not religion?
 
Kwanini tuheshimu uhuru unaodidimiza maendeleo ya watu? Kwanini iwe kwenye dini tu ndo kuwe kunakuingilia uhuru na si maeneo mengine?
 
Roho ni nini?

Ulitambuaje una roho?
Kumbe hata maana ya Roho ujui
Alaf una bishaa tuuu

Ilo swali la PILI Sasa

Ndo nazidi kujua kua unabisha usivyo vijua unavisikia tuuu

Yani Mtu Ana kwambia asali tamu
We unataka mtu akuelezee utamu wa asali una pewa ulambe hautakii

Haya zamu Yangu Sasa

Naomba uniaminishe kwanini Mungu hayupo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hujibu unachoulizwa Unajibu usivyo ulizwa.

Naku uliza hivi, Roho ni nini?

Thibitisha unayo roho.

Mungu hayupo kwa sababu hajawahi kuwepo na mpaka sasa hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Thibitisha kama yupo.

Au mwambie Mungu huyo aje hapa ajidhihirishe yupo.
 
We wewe unajib kwa matakwa ya nafsi yako, watu wanataka majibu ya hoja with evidence from the book sio maneno kutoka mdomon mwako.
Asante.
 
Allah huyo anauliza, kwani yeye hajui?
كالابل ران عال قلوبهم ماكانوا يكسبون

AKOME. Bali yamejenga kutu juu ya nyoyo zao Yale mambo waliyokuwa wanayafanya

##Moyo wako unakutu hats ueleweshe vipi Hugo elewa halafu Qur'an haitafsiriwi kiholela namnaa hiyo
 
Swali lako wala halina maana
 
Yakobo anaambiwa umepiga na mungu na umeshinda, we unasemaje ni malaika? Musa alipanda mlimani pamoja na haruni na wazee 70 wakamuona.soma
KUTOKA 24:9-12
 
Kama binadamu hatuna mwanzo wala mwisho wanaokufa je?HUO SIO MWISHO?
Si mwisho wa kwamba Binadamu wengine hawa endelei kuwepo.

Kifo ni mwisho wa binadamu mmoja au kiumbe mmoja kuto endelea kuwepo.

Kwani mamilioni ya binadamu wangapi wamekufa lakini hadi leo idadi ya binadamu inazidi kuongezeka kwa kuzaliana?
 
Another petty bloated entitled brat throwing tantrums.

Huna ulicho jibu zaidi ya kukopi na kupesti pumba zenu za Quran mlizo pumbazwa na kuaminishwa.
 
Shida yenu nyie watu nimoja

Inaonesha Biblia hamja soma kabisa
Kama mmesoma Basi juu juu tuuu na kwakutumia akilizenu huku mkiwa na nia yakuikosoa Biblia tuu

Kitu ulicho kiongea Ukikutana na Mkristo jina Ataamini atasema alaf kweli(Kuna mwalimu wetu ana penda Sana hiyo kauli yakoo)

Lakin huyo mwalim wa chuo hata Biblia hajawai kusoma
Na shida ya wakristo wengi saiv hawana mda wa kusoma Biblia ni mitandao tuu

Ila kitu msicho kujua ww na wengine mnao tumiaa hiyo. Statement ya kuogopa jehanam

Kuamini kwamba Mungu yupo tuu. Hakumaanishi kwamba mtu ataepukana na Jehanam

Kutenda MIUJIZA hakumaanishi kwamba mtuu ata epuka jehanam

Biblia ina sema sio kila aniitaye Bwana Bwana Ataurithi ufalme wa Mungu

Nahisi umeenielewa Tunapoongelea swala la Mungu yupo jehanam haiusikii

Kwakua ata anaye amini Mungu yupo anaweza kwenda jehanam

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma kinagaubaga na kuichambua bible from genesis to revelation for many years,siwezipinga ambacho sikijui. Na kama mtu anaeamini anaenda motoni, kwaio wanaoenda mbinguni ni watu wa aina gani ili hali yesu mwenyewe alisisitiza imani hata kwa wanafunzi wake.
 
Hakuna maswali yasiyo hitaji majibu.

Allah huyo, Alishindwaje kuumba binadamu watakao mtii na kufuata neno lake siku zote?

Yeye si muweza wa yote?

Sasa kwa nini, Ashindwe kuumba Binadamu wenye kujua neno lake?
Surat Al Mulk (67)
تبر ك الذي بيده الملك وهو علي كل شيء قدير
(1) Ametukuka ambaye uko mkononi mwake ufalme na yeye juu ya kila kitu ni muweza

الذي خلق الموت والحيوة ليبلوكن أيكم أحسن عملا وهو العزيز الغفور
(2)Ambae ameumba mauti na uhai ili akujaribuni; ni yupi kati yenu mzuri zaidi wa vitendo. Na yeye in mwenye kushinda mwingi was kusamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…