Gocha the hero
Member
- Apr 13, 2022
- 31
- 11
Msicho kujua Mungu jamlazimishi Mtu kutenda jambo lolote lileUnataka kuniambia kipindi Mungu/Allah anakuumba alikuwa hajui kama utakuja kutenda dhambi???
Yaani amekuja kujua umetenda dhambi baada ya wewe kutenda???
Kwa hiyo Mungu/Allah Hana uwezo wa kujua kiumbe chake alichokiumba kama kitakuja kumsaliti au kutenda dhambi na kitaenda motoni, basi Mungu/Allah huyu anatofauti gani na binadamu wa kawaida?
Lakin kwenye KUTOKA Kuna sehemu anasema Tazama nimekuekea mbeleyako njia mbili kulia na kushoto ...
Kwahiyo ni Kaz ya Mtu kuchagua jema au baya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app